katika muendelezo wa kuonesha vipaji bwelele bongo, leo tunaye msanii hodari k-sher ambaye ni mmoja wa walio juu katika safu ya wasanii wa kike nchini
Home
Unlabelled
kutana na k-sher
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
katika muendelezo wa kuonesha vipaji bwelele bongo, leo tunaye msanii hodari k-sher ambaye ni mmoja wa walio juu katika safu ya wasanii wa kike nchini
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nice song gaL, I love you so much jamani K sher.
ReplyDeleteVery very nice! I really like it! All the best K-Sher!
ReplyDeleteumejaaliwa sauti dada hongera sana,good lucky in your tallent keep it up.
ReplyDeleteYaani huu wimbo naopenda sana utafikiri naimbiwa mimi jamani! Asante K-sher!
ReplyDeleteKaka Michuzi huyu Dada uimbaji wake umetulia lakini ni shida kutafuta nyimbo zake kwani jina lake linafanana sana na majina ya waimbaji wa mamtoni hatujui ni Keisha, K-sher, Keysha, Keysher yaani jina linachanganya kaka.
ReplyDeleteNatafuta wimbo alioimba na Fresh Jumbe, mchanganyiko wa sauti ya mkongwe na kizazi kipya imetulia sana. Keep Up da'K-sher
K-Sher good job! nyimbo yako ni nzuri sana. Talent unayo! Keep it up.
ReplyDeleteI really liked this song when i was in bongo last dec.Thanks michuzi for the video coz i was lookin for this video kwa muda mrefu sana.
ReplyDeleteHongera sana mdogowangu,imetulia sana hii.Hongera sana K.
ReplyDeletehuyu mtu ni alibino? ah,,,nimedata jamaniiii
ReplyDeletekwa mara ya kwanza na-comment kwenye michuzi,yaani nakumbuka kishenzi nilipokua na-comment kwenye utamu..duu!! RIP utamu tutakukumbuka sana.
ReplyDeletekeisha big up wimbo umesimama shooting kali collable imesimama,yaani nashangaa kwa nini ulikua uonekani kwenye video wakati unabamba kiasi icho,umependeza sana...huyo dogo sqeezer yupo juu sana nimemkubali alivyocheza na script za video hadi mashairi bomba.
Hongereni vijana wetu
kaka huyu dadi shupavu sana ,J usalama wake ukoje kaka michuzi ?
ReplyDelete