Lady Jay D akiwa na Mwinyi Modo kwenye shoo ya Machozi band ya Jumapili Thai garden
mikonozzzz ilikuwepo pia
Lebo ya WakaWaka iliwakilishwa vilivyo
Salama Jabir naye alikuwepo kutupa konozzz kwa jide jumapili
wadau wakiwa na kikundi cha muziki wa reggae toka jamaica ambacho kilitia timu kwa jide jumapili hii
AY na kikundi cha reggae toka jamaica waki-chill

Miss Earth 2008 Miriam Odema na Jide

Top songtress Lady JD pays tribute to Michael Jackson with 'Heal the World' during her last night's show with Machozi band at Thai Village in Dar.

---------------------------------------

This is fun! Eternal moonwalk - A tribute to MJ

I found this cool link which can put a smile on your face,

here it is: http://eternalmoonwalk.com

Enjoy and Submit yours..end.

Subi,

nukta77

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Al MusomaJuly 06, 2009

    Times have changed. Imagine walking the streets of Tarime of the 1970s or 1980s and coming across a lady in shorts! Yes, I mean three decades ago a lady in shorts roaming the streets of anywhere - from Mtwara to Kyaka, Kasulu to Magogoni - would have driven scores of believers into churches and mosques to prepare for the arrival of the Messiah...

    ReplyDelete
  2. safi sana Lady J dee, japokuwa maneno nilikuwa siya sikii vizuri ah! diyo hivyo hivyo twende twende tu yeah,yeah nyingi tu,lakini safi sana.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 06, 2009

    kwa hiyo sauti sijakubaliana nayo bado, japokua nyimbo zako nzuri lkn kwenye hiyo kidogo umeenda pembeni.. keep it up anyway

    ReplyDelete
  4. out of topic

    naomba mnisaidie blog ya huyu dada jade mbona niki weka www.lady jaydee.com hainipi ile page yake kama kaka Michuzi aliyotutolea hapa? Naomba msaada wenu.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 06, 2009

    Mhhh!! Wow jamani eeehh tuendelee na kiswahili chetu manake anameza maneno hata haeleweki duuu!!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 06, 2009

    umekosea inabidi uandike http://www.ladyjaydee.blogspot.com/

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 06, 2009

    ASANTENI KWA WIMBO LADY JAY D UMEJITAIDI SANA HONGERA, LAKINI WAITIKIAJI WAKO YAANI HAO WAVULANA, SAUTI ZIMEKUWA NZITO MNO , LAKINI POA KIBONGO BONGO AMINIA MWANANGU!!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 06, 2009

    Tulip, blog ya jide ni :- http://www.ladyjaydee.blogspot.com

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 07, 2009

    wow! wow ! simon cow yuko wapi?

    nimecheka jamaa hapo juu kasema kibongo bongo tu.....haha haaa

    Nadhani wamepiga key ya chini ndio maana wimbo unamchukua hata pumzi...ila maneno kweli hata mimi sisikii zaidi ya chorus tu make a better place

    ReplyDelete
  10. PhatlorenzoJuly 07, 2009

    Mi-thupu sio bure Ritta Paulsen anasema uache tabia ya kupiga mikonozzz na wakina dada wenye "vifua vikubwa"...cheki hiyo picha 2 hapo juu.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 07, 2009

    annon #1 na weweee???hahahahaaaaa

    aya icho kifua wee annon chakuhusuni na rita wako??mwache balozi apate raha zake,mchezo!mtoto uyo akikuegemea kiivo si RAHA tupu?

    teh teh balozi wee poa tu na vifua ivo km kawa

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 07, 2009

    Kaptula -nyeupe + nyeusi
    Shati-Kijani
    bangili- njano
    ....

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 08, 2009

    ningeshangaa sana

    mtu asiikomalia iyo bukta ya JIDE

    hahahahaaaaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...