Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. MICHUZI HUU UJUMBE NAJUA HAUTO UTOA LAKINI UTAKUWA UMEUSOMA. MIMI NILIPO TOA MAONI YANGU KUHUSU HIVI VYAKULA VYA KUPIKWA KILA NYUMBA NA KULETWA KUUZWA VINA MATATIZO UMEBANIA HUTAKI KUTOA HAYA MAONI KWA SABABU UTAHALIBIA WATU BIASHARA YAO. WEWE FURAHA YAKO NI KUONA WATU WANAKULA MICHAKULA NA KUHALISHA MPAKA KUFA NDIYO ZURI KWAKO! HAKA KA MSEMO KAKO ETI GLOBU YA JAMII SI UKWELI HUU NI UNAFIKI. MIMI SINA FITINA NA HAO WATU. ISIPOKUWA NI MATATIZO YA NAYO JITOKEZA BAADA YA KULA HAYA MACHAKULA YA KUPIKWA KILA NYUMBA. WEWE UMEFIKA LANDANI AU UIGEREZA WAPI UTAPATA MLO WA KUJICHANA NA KUPATI KWA PAUNDI TANO ? KAMA SI KUUMIZANA? TOA HAYA MAONI KAMA WAANDAAJI WATAPINGA WAJITETEEE NA WAELEZE WAPI WATATOA HICHO CHAKULA CHA PAUNDI TANO NA GHARAMA ZOTE ZIKA FIDIWA. NAJUA UTAFICHA LAKINI HUU NDIO UKWELI NA UKIJA HUKU ULAYA TUTAKUONYESHA HII HALI.

    FICHA HUU UJUMBE KAMA KAWAIDA YAKO.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 06, 2009

    £5.00 ni kiingilio chakula nyamachoma unanunua, yaanivitu vyote vinauzwa humo ndani. Acha uzushi we anoni hiibash ya pili kwa Mwaka huu ya kwanza hamna mtu aliyeharisha

    ReplyDelete
  3. Michuzi mimi bado nina wewe tu . sasa umeona haya kumbe hiyo paundi tano ni kwa kuingia tu ambapo hapa kwenye tangazo hawa kusema hivyo. Kuna watu watakuja na paundi tano wakitegemea kuwa kila kitu ni inclusive- kumbe siyo hivyo. Hilo tangazo halikusema hivyo. Tangazo lina sema enjoy na u-party miziki na michezo ya watoto bure na machakula bure kwa paundi tano tu . hayo ndiyo mambo ya wabongo hawaeleweki, ni kazi sana. chakula kiwe kisafi please na bei wekeni hapa semeni ni huduma ya buffet yenye bei moja mfano poundi 10 kula unavyo penda. MIMI SIWAACHI MPAKA KIELEWEKE NA MICHUZI HAWASAIDII TENA KESHA SEMA!hahahahahaha.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 08, 2009

    mimi nadhani wewe mr pombe(kama unavyojiita)ni mshamba na mwenye wivu na usiye na maendeleo... kwani wewe inakuhusu nini wapi pesa zinapotoka au gharama gani zilizotumika? mimi nauhakiaka wewe ni wale watu wasio na kazi zaidi ya kutafuta kasoro katika kila kitu, na ni uhakika wewe mwenyewe unataka kwenda ila huna pesa kwa sababu huna kazi(hajira) wala akili ya kubuni mradi si ajabu hata mtaji hauna.. sasa waache wenzako wanaotafuta maisha yao na wanaofikiria jisi ya jamii yao ita enjoy vipi....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...