
Kwa mawasiliano na duka la Dream Wear
Piga simu Namba 0735 235 222
ama tembelea libeneke lao
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
vitu safi sana vinafanana na vile tunavyo viona huku majuu hasa hasa yale maduka ya bei mbaya kama National Liquidation Store,Dola store, Na warehouse.Safi sana.
ReplyDeletewe dada naomba uweke viatu simple vya kiume sio lazima ujaze vya kipedezshee mbele vyembamba virefuu wengine hatupendi..
ReplyDeleteduh kumbe bongo sasa tambarare, hatuna haja ya kupata hasara ya kubeba mizigo mingi na kuyilipia ushuru mkubwa wa kwenye ndege wakati bongo vitu ni vya kumwaga kama huku, hongera sana watu mnaokwenda na wakati katika mavazi ya kileo
ReplyDeleteKalumekenge nakubaliana na wewe kabisa.Viatu vimetoka kinoma,kama huna pesa huwezi kuingia ktk maduka uliyotaja.Loooool
ReplyDeletenatafuta mke michuzi....niweke hapo basi.........napatikana kunduchi ni mchimba kokoto by profeshen
ReplyDeletekaka issa nikipiga hiyo namba atapokea huyo dada,nataka anieleze kwa ukaribu kuhusu hizo bidhaa
ReplyDeleteMBIGIRI wewe ni bonge la genious una akiri sana, sikuwezi hahahaaaa hata michuzi haoni ndani hapo Asante Mwanangu..
ReplyDeletekwa style hii atawapata wengi
ReplyDeletetehetehee wee uliyetoa hii coment
ReplyDeletevitu safi sana vinafanana na vile tunavyo viona huku majuu hasa hasa yale maduka ya bei mbaya kama National Liquidation Store,Dola store, Na warehouse.Safi sana.
unelewa hayo maduka au nataka tu usema....maduka ya bei mbaya hayo au unataka kutania....teheteheheheheheh
wee unayesema hakuna hasara ya kubeba mzigo mingi utalia na roho yako ukifika bongo. wafanya biashara sijui ni mtaji mdogo au nikutokuelimika ( I am sorry to say this) lakini wanakua na vitu vingi wee vya kila aina lakini kimoja moja. Utaona kiatu au nguo unayoitaka lakini size hamna.
ReplyDeleteTulikoma tulivyokua tunamtafutia shangazi na bibi magauni ya kuvaa kwenye harusi ya dada yangu. halafu hiyo bei sijapata kuona...na brands sio za kawaida hata zingine hujui na brands gani.
mimi uyu dada tuuu basi...sihitaji ivo vitu vyake mana kwanza ntamtoa uko asihangaike kiivo
ReplyDeletenakuja dada apo millenium tower
asante balozi