KAKA MICHUZI,
TUNAPENDA KUTOA SALAMU ZETU ZA RAMBI RAMBI KWA NDUGU NA JAMAA WA MAREHEMU JUMA MATOKEO ALIYEFARIKI NA KUZIKWA JANA. TUNAMUOMBA MWENYEZI MUNGU AMLAZE MAHALA PEMA PEPONI.
AMEEN.
JUMA MATOKEO ALIKUWA KIUNGO MAHIRI WA PAN AFRICAN NA YANGA - NA PIA ALIJISHUGHULISHA SANA NA KUWAFUNDISHA VIJANA MPIRA BAADAE.
SISI WANA PAN AFRICAN SPORTS CLUB TULIOPO HAPA MUSCAT TUNAOMBA UTUFIKISHIE SALAMU ZETU ZA RAMBI RAMBI KWA WACHEZAJI WENZAKE NA FAMILY YAKE.
TO ALLAH WE BELONG AND TO HIM WE SHALL RETURN.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...