Mama Salma Kikwete akiingia katika ukumbi wa mikutano wa Sirte tayari kuhudhuria kikao maalumu cha kamati ya Umoja wa Wake wa Marais wa Afrika dhidi ya Ukimwi OAFLA, mjini Sirte Libya
Mama Salma Kikwete akisalimiana na mke wa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Mama
Azeb Mesfin kabla ya kuingia katika ukumbi wa mikutano wa Sirte tayari kuhudhuria kikao maalumu cha kamati ya Umoja wa Wake wa Marais wa Afrika dhidi ya Ukimwi OAFLA, mjini Sirte Libya
Mama Salma Kikwete na Mama Azeb Mesfin katika mkutano huo


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 04, 2009

    Huyo ni kanali wa polisi na yule ni askari kanzu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 04, 2009

    kweli mama salama umependeza! napenda unavyovaa simple and clear!
    unanikumbusha sana miaka ya nyuma ulivyokuwa unanifundisha somo la english pale Mbuyuni primary! eh umetoka mbali mama enjoy while u can!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 04, 2009

    sii mchezo mke wa waziri mkuu ethiopia,,bombaaaa kinyama

    watoto wazuri sana awa wahabeshi

    mama kikwete nakuona nawe haujambo

    ila jaman mke wa gadhafi vipi mbona haonekani public??ata akiwa kajifunika baibui,ata km wako weeengi bt public figure huchaguliwa moja,

    twaitaji tujue

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 04, 2009

    Ubaya wa Michuzi ukisema lolote constructive kuhusu First lady anabania. Lakini ukimsifia kapendeza, kushusha weight, mama wa kuigwa atatoa maoni yako chapu chapu.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 04, 2009

    EEE, MAMA SLAM NYAMUKWACHU... WEWE JIPIGIE KILA SIKU MAIL MBILI HIVI KWA KUTEMBEA AU KWENYE MASHINE. LINDA AFYA YAKO, KATA FUTA; SISI AMABO TUNAKUFAHAMU TOKA ZAMANI NI MTU MWENYE MSIMAMO DHABITI NA MZURI SANA WA SURA NA MWEMA MOYONI; WEWE LINDA AFYA YAKO JIPANGE VIZURI PIA KISIASA. SISI KIMYA KIMYA TUNAKUOMBEA KATIKA SAFARI YAKO NA PIA KUKULINDA KWA KUTUMIA NYEZO TULIZONAZO

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 06, 2009

    Mama Salma you are cute and beutiful ila tu! MUHIMU sana hii punguza weight, fanya diet au hata funga japo upate thawabu kwa Mungu, upunguze unene utazidi kuwa bombaa na uzee utakukimbia, baba atazeeka wewe bado upo bomba - ILA PUNGUA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...