profesa alec chemponda na mai waifu wake wakiwa katika shopping kwenye maonesho ya sabasaba. natumai da'chemi atafurahi kuona taswira hii ambayo inaambatana na salamu za sabasaba toka kwa wazazi wake hawa
msanii wabogojo akionesha vitu vyake ikiwa ni mojawapo ya vivutio katika banda la zain kwenye maonesho ya sabasaba barabara ya kilwa rodi dar
wadau kibao wanatembelea maonesho hayo

pamoja na kuangalia bidhaa pia kunakuwaga na shopping la nguvu

wadau wakijipatia bidhaa za dezo kwenye moja ya mabanda

kwa mwaka huu banda la home shopping centre limeleta taswira mpya ya maonesho






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hi Michuzi,

    Asante sana kwa kuposti picha ya wazazi wangu. Nafurahi kuona wanaendelea vizuri. Waliniamba kuwa walikuona huko Saba Saba. Kwenda Saba Saba ni lazima kila mwaka. Nilipokuwa Bongo mwaka juzi nilienda nao. Ilinikumbusha, 'THE GOOD OLD DAYS!'

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...