profesa alec chemponda na mai waifu wake wakiwa katika shopping kwenye maonesho ya sabasaba. natumai da'chemi atafurahi kuona taswira hii ambayo inaambatana na salamu za sabasaba toka kwa wazazi wake hawa

Hi Michuzi,
ReplyDeleteAsante sana kwa kuposti picha ya wazazi wangu. Nafurahi kuona wanaendelea vizuri. Waliniamba kuwa walikuona huko Saba Saba. Kwenda Saba Saba ni lazima kila mwaka. Nilipokuwa Bongo mwaka juzi nilienda nao. Ilinikumbusha, 'THE GOOD OLD DAYS!'