TV show mpya inakuja Bongo. Tunatarajia kuanza kutengeneza season ya kwanza mwanzoni mwa mwezi ujao (August).
Sasa hivi tuko kwenye heka heka ya kutafuta production company ambayo itashirikiana nasi kwenye utengenezaji wa show hiyo. Hivyo basi, tunakaribisha maombi kutoka kwa kampuni mbalimbali zilizoko nchini.
Kwa kifupi, utengenezaji wa show yenyewe utakuwa ndani ya ukumbi. Ukumbi huo una ukubwa wa kutosha audience isiyozidi watu 100. Hivyo basi, utengenezaji wa show mzima utafanyikia humo humo ndani ya ukumbi.
Katika maombi hayo, tafadhali orodhesha/zingatia yafuatayo:
Type (manufacture and brand) of the following production equipments:
Camera,
Microphone,
Sound System,
Mixer
Editing System
Any other
Cost of:
Each production equipment per day (or hour).
Each production crew (cameraman, sound system controller/operator, editor) per day (or hour).
Combination of one production crew and production equipment.
List of any production work you have ever done.

It would be helpful if you provide your company’s website (if have any) where we can visit the gallery of your work. Otherwise, we recommend that you prepare a DVD/VCD of your work, because we are going to ask for it on our very first meeting.
Hatuhitaji maombi ya director na producer.
Tunao hao tayari. Tuko interested na production crew na equipments tu.
NB: Samahani kwa kubadilishabadilisha channel (lugha).
If interested, please contact us at
NB: Samahani kwa kubadilishabadilisha channel (lugha).
If interested, please contact us at
ffm082009@gmail.com
Kila la Kheri
Kila la Kheri
Ukweli nimesha elewa kwamba bwana Michuzi unapendelea sana sijui unataka kuhongwa kwanza ama vipi. Tulikuomba utuwekee kitu kama hiki hiki kwenye glob yako na pamoja na maombi ya mrudio kama mara tatu hivi ulimezea. Sasa hawa wamekupa nini na sisi tukupe? kwani mzee ulifikiri tulishindwa kukupa kitu kidogo (kama hawa wengine) ama basi unajua tulidhani we muungwana.
ReplyDeleteHaya bwana cha mtu mavi
heehehhehehehehehehehehe,cha mtu mavi hehehehehehehehehhehehehehe
ReplyDeleteAnon wa kwanza...kumbuka kwamba
ReplyDeleteMKONO MTUPU HAULAMBWI!