Leadership issues in Tanzania.…….
Debate- By Mdau( John ) UK
Next year, Tanzanians are going to polls to elect a new government that will serve them for another five years term. There are issues I think, need to be considered . The vibrant and oppositional political system to scrutinise policies and conduct of executives effectively.
\
It looks notionally that the country is multiparty state but there is domination of one party effectively. Voters should assess stages of development initiatives they requested their MPs to represent .
During this term, the government at helm promised to better socioeconomic state and relieve people from objective poverty. Are there any changes? During uncertain times such as financial crisis, global recession, what were typical responses from leaders?
From economic uncertainty which breeds fear and fear render people less effective, what responses were prevalent. Responses such as:- Inability to act, rigidity which is a response with one action and continue with that action without deviation and become obscured to the reality.
This has potential effect of hitting a wall and form catastrophic results. Example sky rocketing inflation in food and oil prices, rising unemployment, poor tendering process of numerous contracts.few growth prospects, consumer and investors confidence declining etc Some decision makers could rely on looking backward on actions that worked and did not work in past.
There are downside factors such as failure to explore most great opportunities of all kind of innovation and technologies in dealing with answers that bring perfect outlook. Further responses on these worrying times could be that of leaders acting erratically hence no stability therefore more fear and hopelessness among people and businesses.
Fear of declining of exports and prices of commodities, postponements of foreign direct investments, lost of commitments and declining tourist numbers. What responsive plans took place? Example, adequate stimulation? Did it work or are there green shoots? Nevertheless, there are psychological responses that people crave for a new leader to come and make them feel better about their anxieties, to make them be secured about economic issues.
This is where charismatic leadership style such as that of Mr. president Obama comes. In fact, This transformational leadership style has the following attributes.
There is unwavering support from people-do you see opinion polls ratings?, establishment of long-term vision, creating climate of trust, change the current situation as threats such as global recession ,corruption, embezzlement of public funds, are seen as an opportunities to transform and change the culture etc, so, the support is enormous as people are looking to alleviate the situation.
Therefore, an effective leader make sense of the world in terms of expanding data sources, create a new map by having socioeconomic strategies, learns to persevere, create scenarios such as attracting direct investments, reducing deficit and monetary dependency and ensuring aid development assistance does not dry.
Make people solve their own problems by empowering in contrast to a transactional leadership style of maintaining status quo or improving a current situation. Moreover, most regimes work in cyclical timeframes such as fiscal years, annual period, tax years etc and when disruptive moments( e.g. country recession ) come to light, normally, there is breakage of rhythm and there is need to act certainly now and determinately.
This is when qualities of good leadership can be assessed as leaders must always overcome their own unproductive responsibilities. Time like this, tests their competence as they can make differences by moving people from inertia to action, from feeling of inadequacy to a feeling of confidence, from isolation to community, from fear to hope.
Conclusively, from my incomprehensive leadership issues analysis, I could stress the importance for our leaders to be visible, Tell the truth, say the truth on what you know and do not know, say repetitively and reach all stakeholders regardless of their power and interest marginalization.
Mdau ( John ) UK

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 34 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 28, 2009

    john mashaka hivi umeleta nini, huyu yaani aliyoandika hata hayalaeleweki. jamani kuandika kuna wenyewe, siyo kila anakipaji cha kuandika. bwana john (mwandishi) haueleweki hapa, umechemsha, nenda kwa shayo na mashaka wakufundishe kuandika. haya ni maji marefu na waosha vinywa watakumaliza wakiyasoma makala yako. subiria makombora yanakuja hasa lkugha yako haieleweki kabisa, pole bwana, hii ni pole kabla ya mashambulizi. ila urdi ujifunze kiingereza vizuri

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 28, 2009

    Mimi ni post kama hizi zinazonifanya nijiulize TZ tuna wazimu gani?

    Yaani jamaa anaandika theories za kufikirika mpaka inatia hasira! Hivi nyinyi waafrika elimu mliyoipata itawasaidia vipi watanzania wenzenu? Kama mlipelekwa ulaya na kodi za wananchi mrudi..watu wenye uwezo wa kupambanua mambo waende baadala yenu!

    Do you really think watanzania tunahitaji wewe kuanza kutupa hadithi za Obama na Financial crisis? (BBC na Deutsche Welle can do better in that aspec). Do you really think kabla ya Financial crisis TZ was better than now?

    Kinachouma zaidi unakuta watu kama hawa wanaohubiri theories hata kupiga kura hawapigi! Kazi yao ni kukaa ulaya na kuja kuanza "tathmini" issue za wapiga kura..Folks wake up! You are the change you have been waiting for(Obama)! Harafu wanakaa kwenye kompyuta zao huko ughaibuni wanaanza kutoa lecture namna ya kupiga kura! Hivi nyinyi wasomi...mbona mnataka ready made? njooni tuijenge TZ pamoja acheni longo longo zenu huko za kutupa lecturer zisizo na miguu wala mikono..

    Its disguisting watu mpaka leo kuiona tanzania katika mwanga wa Ki-Obama Obama..guys acheni ndoto..TZ itajengwa kwa mikono na nguvu na si hizi kelele zetu hapa kwenye kompyuta. US iko ilivyo kwa sababu kuna wapiganaji walipigana..na sio kuandikia chini ya keyboard..

    Iam really sad kuona mpaka leo kuna watu wanaona Tanzania ya kufikirika kama NY inavyoonekana kwenye CNN!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 28, 2009

    kaka hapa umechangaya, bwana wala haueleweki. bahati nzuri wewe siyo joni mashaka, angenikoma

    yeye ndiye tunayemuwinda, kwa maana anatunyanyasa sana jamaa. lugha yake utafikiri amekalili kamusi ya webster kichwani, mkurya mchunga ng'ombe

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 28, 2009

    MY FRIEND GO BACK AND LEARN GOOD ENGLISHI, YUO ARE ALL OVER THE PLACE, WHATS IS YOUR POINTI, ARE YOU JONI MASHAKA, THEN WE CAN START ATTACKING YOU?????????
    WEE JONI MASHAKA NIMESHATAYARISHA MDOMO WANGU NITAKUTUKANA SANA UKILETA TIKO NYINGINE YA KIINGELEZA KIGUMU

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 28, 2009

    hawa kina john mashaka sasa inabidi waache kufanya huu ukumbi wa mazoezi ya kuandika "kiingreza". Unapoandika kwa "kiingreza" si makosa; lakini inakuwa wazi kwamba hadhira uliyoikusudia si ya watanzania wengi wenye uwezo wa kufanya mabadiliko kiuchaguzi.

    nimemaliza.

    mdau john mapaka

    ReplyDelete
  6. Amina (Mtwara)July 28, 2009

    well done, haya ndiyo mambo tulikuwa tunahitaji. Kumbe alina shayo na mashaka wako wengi, hawavumi lakini wamo

    Kazi iko kweli kweli tanzania

    katika uchaguzi ujao tutahitaji performance management ya viongozi wetu, TOR walizopewa walipoteuliwa au kuchaguliwa wamefikia wapi? Wametekeleza yapi? na yapi ya kutekeleza baadaye? Hatutaki kila achaguliwaye aje aanze upya

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 28, 2009

    Good Job Mdau FROM UK. This is what I find to be the problem of Tanzania. NI SISI WATANZANIA!

    It may sound harsh to some, but unfortunately that's the truth. Until WE CHANGE, "NOTHING" GOOD WILL HAPPEN FOR THE MAJORITY OF TANZANIANS, period!! I repeat "NOTHING WILL HAPPEN FOR MAJORITY OF TANZANIANS UNTIL WE ALL CHANGE". Look, to develop like Nyerere said, we need "WATU, KAZI, SIASA SAFI NA UONGOZI BORA". We ain't got none of that!! NONE!~

    So, sisi kama watanzania, we need to develop the habit to push buttons that will wake up our law makers and leaders. QUIT CHOOSING THEM JUST BECAUSE THEY GIVE U A CELL-PHONE. THAT'S STUPIDITY! SORRY, IT IS. By the way, do you know we are the ones buying those cell-phones anyway as tax payers? EPA, RichMond etc? That's how they got the money to bribe you with that phone, REMEMBER THAT!!!

    What we need to do is look for value of what they had promised and indeed delivered (if already mbunge) or what value they will bring into the table if elected. "Nug" them back-to-back and if nothing was delivered, DON'T CHOOSE THEM AGAIN! I REPEAT, IF THEY DON'T DELIVER, DONT CHOOSE THEM...!! LET THEM GO!!

    Take the cell-phone if they give it to you! Then on voting day, just don't choose them. Get your money back people!!! Yes, take the phone and DONT CHOOSE THEM...

    IF WE DO THIS IS 2010, TRUST ME GUYS, WE WILL SEE BIG CHANGES BY 2015. WE CAN NOT MISS THE OPPORTUNITY!! PLEASE DONT CHOOSE ANY MBUNGE THAT DID NOT DELIVER DURING THEIR "UBUNGE" TIME! PLEASE LET'S NOT LET EACH OTHERS DOWN. WE ARE ON THIS TOGETHER, WE CAN DO IT!

    "YES WE CAN DO THIS!"

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 28, 2009

    DUH!! mdau John wa UK mbona kiingereza chako kimepindapinda hivyo????. si lazima kulazimisha gego kama kina mashaka, kama unaona halipandi mwanangu unalichunia tu. yani Gego mwanangu halijatulia kabisa!!!! nadhani ungetumia kiswahili ingekuwa heshima zaidi. samahani

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 28, 2009

    Man it's important that you do editing to yo' article before publishing it. look at it now, aibu tupu

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 28, 2009

    "The vibrant and oppositional political system to scrutinise policies and conduct of executives effectively."
    "It looks notionally that the country is multiparty state but there is domination of one party effectively."
    MTAALAM INAONEKANA HILI NENO "EFFECTIVELY" UNAPENDA SANA KULITUMIA HATA LISIPO-FIT VIZURI EEENH!
    ANYWAY NIMESHINDWA KUICHAMBUA ARTICLE YAKO YOTE SABABU INAHITAJI MUDA NA KAZI KUBWA KUFANYA HIVYO!!
    ALL IN ALL BINAFSI NIMEKUSOMA VIZURI INAONEKANA UNA POINTS NZURI SANA. KWAKWELI MALENGO YAKO KATIKA ARTICLE YANAONEKANA NI MAZURI SANA NA YALIYOKWENDA SHULE SANA TATIZO NADHANI LIPO KATIKA KUUNGANISHA VIZURI LUGHA ULIYOAMUA KUTUMIA ILI ILETE RADHA NA MAANA VIZURI. KWAKWELI LADHA KATIKA LUGHA YAKO HAKUNA KABISA!!!
    anyway big up sana tu ndugu

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 28, 2009

    To me you are right especially the last paragraph, keep it up

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 28, 2009

    blaza una bahati wewe siyo joni mashaka ungekula matusi kweli kweli. yaani hii engish yako siyo nzuri alafu mimi sielewi mambo yako. ushauli mzuli ludi shule piga msasa kisha uje kuandika kbwana joni haya ni maji malefu ya wakina shao na mashaka, nyie wanafunzi subilini kwanaza muhitimu

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 28, 2009

    Kwa kweli title imenivutia ikabidi nianze kusoma habari yenyewe, lakini nimeshindwa kuendelea baada ya paragraph ya kwanza tu. Nakubali kizungu sio lugha yetu lakini ni makosa sana kuharibu lugha za wenzetu tena kwa kujifanya ni mtaalamu kuliko wao (misamiati ya kubambikia).

    Lengo la habari ni kutoa ujumbe kwa lugha nyepesi na mtiririko sawia.Mwandishi amejikakamua kukaa na dictionary akidonoa misamiati na kutengeneza sentensi ngumungumu akasahau grammar,akasahahu mtiririko wa logic,akasahahu contents na zaidi akashindwa kumfanya msomaji aelewe anataka kuzungumzia nini.

    Mimi si mtaalamu wa lugha hii, ila nachukizwa sana na huu uandishi. Nimefundishwa na maprofesa kibao ughaibuni na wengi walikuwa hawapendi complex sentences, wanakwambia unataka kuficha nini? hebu tusome angalau makala za waingereza:ni rahisi,zinaeleweka,hazina vilaka vya misamiati ya kuibia au sisi tuko juu kuliko wenye lugha yao.

    Ningemshauri mwandishi, pamoja na wote watakaopenda kutupa ujumbe kwa njia ya makala,basi watumie kiswahili ili tuwaelewe wanasema nini,Kwa kweli huyu jamaa sijamuelewa kabisaa, na wala haeleweki anaongelea kitu gani, ngoja nisubili labda mimi ndio ninamatatizo ya lugha, lakini naamini matatizo yangu si makubwa kiasi cha kushindwa kusoma tu.

    Jamani, mbona kiswahili ni kitamu tu, tena swaafi kama kumsukuma mlevi. Naomba Bro,Michuzi usinibanie kwani sijamshambulia yeye bali najaribu kujenga hoja ya sisi kupenda lugha yetu na kuhakikisha anayeandika ujumbe aliodhamilia unawafikia walengwa bila matatizo.

    Muunganiko wa sentensi wa namna hii unatukatisha tamaa. Nashindwa kuchangia hoja kwa sababu sijaelewa bado

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 28, 2009

    Hii ni nzuri sana,itabidi watu mnaolalamika musome tena na kujua huyu jamaa anaandika nini.

    mpangilio kweli haujawekwa vizuri kwani kunaparagraph kadhaa hapo ambazo zina anza na maneno kama moreover,nevertheless,Therefore ..

    Labda kaka michuzi hujampa nafasi zaidi huyu kijana kwani anapoint hasa ya responses kadhaa za viongozi.

    Nyie mnaolalamika,ebu andikeni zenu basi kamamnaweza.vijiba tuuu

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 28, 2009

    wasiyojua kiingereza kaeni kimya siyo kukasirika eti hamjaelewa waachieni walioelewa, kama mimi mimeelewa and i think its a good point! usisome habari usiyoilewa!

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 28, 2009

    Haya,waliotaka kusoma na kuelewa kiingereza juu ya mambo wanayoandika hawa jamaa ni hiki.

    mdau John anaonesha anapoint na anaandika vizuri,nadhani ni mpangilio tuu hapo wa paragraphs.

    Complaints za watu zinazoenda negative straight away hazijadili mambo,Huyu si John Mashaka,ni kijana wetu mzalendo ambaye anataka kustir debate kuhusu uongozi.He has done very well!big up mdau.

    nadhani hawawaliochangia ni watu wanaojua huyu kijana anasema nini na anaeleweka.
    ANON;JULY 28,02:11AM
    ANON;JULY 28,01:50 AM
    ANON;JULY 28,04:47AM

    na wengine wengine wazalendo.ambao wanamuunga mkono kijana huyu.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 28, 2009

    Hebu acheni uvivu wa kusoma mbona anaeleweka tu na makosa madogo hayapindishi point bado inaeleweka, mbadilike wabongo msiwe wavivu wa kusoma hamtaki kusoma mpaka mwisho ili mradi siku isipite bila kucomment. Toeni umbumbumbu wenu na kujifanya nyie malaika hamkosei bila shaka hata huko makazini kwenu wanauma vidole jinsi gani mlivyo wavivu na kazi hamuwezi nyie mdomo tuuuuuu

    ReplyDelete
  18. Mokes GamaJuly 28, 2009

    WEWE JOHN (UK) HACHA ZAKO ZA KUPOSTI KOMMENTS HAPA KUJISIFIA. UMEZIPOSTI NYINGI TU, HEU CHUKULIA HIZI CRITICISM KAMA POSITIVE ILI UJIJENGE.

    UNAJIFANANISHA NA JOHN MASHAKA NA SHAYO, ILA NAKUWAMBIA KWAMBA, WEWE NI KAMA MTU ANAYETAKA KUVUKA KWENDA AMERIKA YA KAZKAZINI KUTUMIA JAAZI NDOGO. DHORUBA NDANI YA BAHARI NI MBAYA HAUTOWEZA. WAKINA SHAYO NA MASHAKA NI WATAALAMU NDO MAANA WANA CONFIDENCE KUWEKA MAJINA YAO.

    MASHAKA NA SHAYO SIYO KWAMBA KUNAWACHUKIA, HAPANA, HATUWACHUKII KWA MAANA TUNAJUWA KABISA HATUWAWEZI. TUNA WIVU NAO, WIVU WA MAENDELEO. LUGHA ZAO ZIMETULIWA NDO MAANA TUNABAKI KUNG'ATA MENO NA KUWAMWAGIA USHUZI ILI MRADI TU AKOME KUANDIKA. KILA MTU ANAJUA WALE NI WATAALAMU NA LUGHA INAPANDA KWAO

    KWA HIYO MDAU JOHN WA UK, MTAFUTE SHAYO KWA SABABU YUKO HUKO UK AKUSAIDIE. WEWE KAMA WADAU WALIVYOSEMA, TUMEKURUHURUMIA KWA SABABU HAUJUI UNALOLITENDA. UKNGEKUWA JOHN MASHAKA, HAPA PANGEKUWA HAPAKALIKI ANGEANDIKA LUGHA KAMA HIYO ANGECHAMBWA, KWA MAANA KILA MTU ASHAMUWEKEA STANDARD AMBAYO NI LAZIMA AIVUKE SIKU ZOTE.

    MIMI SIKUANDIKII KWA UBAYA, ILA NI KWA WEMA, KWA MAANA KUNA SIKU UTAWEKA ATIKO HAPA ALAFU UTUMIE JINA LAKO, NAKWAMBIA UTAKOMA UBISHI NA HAUTARUDIA TENA. WAKINA US BLOGGER NI WATU WENYE UPEO MKUBWA KUKULIKO, LAKINI ONA WANAVYOCHAMBWA. MIMI MWENYEWE NAANDIKA VYA MAANA LAKINI WAPI.

    MARA YA MWISHO NILIIBA "KOPY NA KUPASTE" NILIKOMA UBISHI, NA HAPO NDO NAONA UNAELEKEA KWA KUKOPY MANENO MAKUBWA USIYOJUA MATUMIZI YAKE. SENTENSI ZAKO HAZIELEWKI NA WALA HAZIIANI. KWA HIYO NDUGU YANGU, MIMI NAKUSHAURI TU UHACHAGE KUNYWA MBEGE KABLA YA KUANDIKA MA UPUPU WAKO KWENYE GLOBU YA JAMII.

    MIMI HUWA SICHANGII, NA WALA SIKUTAKA KUCHANGIA, LAKINI ILI KUKUEPUSHA NA AIBU, BASI NILIAMUA TU ILI KUKUSAIDIA, NAKUTAKIA KILA LA KHERI LAKINI JARIBU KUWA NA MPANGILIO SIYO KURUKA KILA SEHEMU BILA YA SABABU MAALUM ILIMRADI UMEANDIAKA KWA MITHUPU

    WAKO

    MOKES GAMA a>k>a COPY AND PASTE

    ReplyDelete
  19. AnonymousJuly 28, 2009

    Hoja sio wote tugeuke walimu wa lugha, cha muhimu ni kuwa je hoja yake tumeielewa. Kama Kiingereza chake hakieleweki vyema, lakini hoja ya msingi tumeielewa au sio. Mambo kama ya uongozi na uchumi hasa kwa vile tunakaribia uchaguzi ni vyema yakajadiliwa sana,ili watu waelewe huko tunapokwenda.
    Sioni haja ya kugeuka kuwa wataalamu wa lugha. Hapa tunataka hoja, hoja iwasadie watu.Sidhani nia yake huyu jamaa ilikuwa kuandika ili ajulikane anajua Kiingereza!
    Mimi ninachomsuta huyu jamaa ni kuwa mtumwa wa wenzetu, ina maana hujui Kiswahili, au hii hoja haiwahusu waswahili! Kalagabawhe
    M3

    ReplyDelete
  20. AnonymousJuly 28, 2009

    john was UK mdau, elewa unachoambiwa. hacha kubishana na watu kwenye comments humu. wewe lugha hauijui. kila mtu anaweza kufikiri lakini kuyaweka sawa ni ngumu kweli, waachie shayo na mashaka. rudi ubebe boxi mkuu

    ReplyDelete
  21. AnonymousJuly 28, 2009

    Mdau unatisha. Kesho tena weka article nyingine. Unafaa kuwa mshauri wangu mambo ya siasa Lumumba.

    ReplyDelete
  22. AnonymousJuly 28, 2009

    Mimi wala sitaki kukatisha watu tamaa, mdau naona ana nia nzuri.
    Kwanza anataka kuangalia kama ujuzi wa kuandika na pili kuangalia kama anaweza lugha za watu.
    Issue iko hivi, lugha nafikiri unaifahamu ila I can almost guarantee kwamba wewe umesoma muda mrefu Bongo na sio kiwanja. Tena inawezekana umesoma degree/diploma Bongo. Kwanini nasema hivyo? kwasababu naona kila ninaposoma napata hisia kwamba inawezekana unatafsiri kiswahili kwenda kiingereza na matokeo yake u end up confusing urself and ur readers.
    If that's not the case, then something is terribly wrong with your english structure. U just allover the place my friend.
    Juzi juzi kuna jamaa anaitwa Mukuru kaweka article yake humu, I don't know this guy ila I like his way of thinking, go and read it.
    Arafu kujifunza ni part ya maisha, try to take some creative writing classes. U will be good in no time

    ReplyDelete
  23. AnonymousJuly 28, 2009

    mimi nafurahi sana ninapoona watu wanajitokeza kuzungumza yaliyo wajaa moyoni. siangalii huyu ni shayo,john mashaka,john UK,mkuru. wote hawa wana lengo huenda zuri tu ama huenda wanalo lijua wenyewe. lakini kama lengo ni kuamsha ari kwa wananchi, basi nadhani ni wakati mzuri wa kuokota kinachofaa kikatumiwa! sidhani kuwa kila mtu atatoka aliko ili akatembee nyumba kwa nyumba na kufikisha ujumbe kwa jamii.
    tumeshuhudia ktk blog hii kwanza alitafutwa mdau wa MILIONI MOJA, kisha wa MILIONI 6. tena ukizingatia kuwa wengine humu tunavinjari mara 10 kwa siku au zaidi.hii inatoa picha kuwa sio watu wengi ktk jamii ta tz inaweza kupata habari kwa mtandao. sasa kama chachu ya maendeleo ni kulinganisha sehemu moja na nyingine kisha kuchukuwa mazuri ya kule na kuleta nyumbani. basi tuwe mawakala wazuri wa kuielimisha jamii.
    Mwisho sasa niseme hivi, mimi hadi sasa nashindwa kuelewa jambo moja, hivi tunadhani kwamba kuna siku sijui serikali italeta maendeleo kwa watu wote kwa asubuhi moja? jibu ni hapana, kama nipo sahihi basi nadhani tuna overlook vitu vya kuzungumzia na kuzungumzia visivyo faa kwa level ya maendeleo tuliyo nayo tz na tunayo hitaji.kwa kifupi inaonekana hata hatujui nini tatizo letu pamoja na afrika kwa ujumla. siku tutakapo liona na kulishughulikia badala ya kujifanya kujilinganisha na mataifa makubwa kama USA,UINGEREZA,URUSI,UFARANSA N.K tukajua wapi tuliposimama na niwapi tunahitaji na tunaweza kusimama, na ni jinsi gani tufike huko,hapo utakuwa mwanzo mzuri wa ku-move one step forward. vinginevyo itakuwa ni blah blah blah za kusoma theory na articles za magazeti na journals za nchi zilizo endelea na kuzi modify kisha tunazileta kutaka kuzi-apply hapa kwetu na matokeo yake hatutafika kokote,maana tuna historia tofauti. ila nashukuru tu kwamba huu ni mwanzo mzuri. maana knowing that you have a problem is asingle step towards solving it.

    mdau-ughaibuni masomoni.

    ReplyDelete
  24. AnonymousJuly 28, 2009

    Mdau wa 03:54 nadhani wewe ndo unahitaji msaada maana hata kiswahili chenyewe huwezi kukuandika si makubwa haya, Unaandika ARAFU mhh hovyo

    ReplyDelete
  25. J- Meena Igunga -LiverpoolJuly 28, 2009

    Ndugu yangu hapa siyo pako umejitajidi na hatutaki kukukatisha tamaa Ila ushauri nzuri safisha lugha na style ya Kipanga maneno hapo utakuwa mswano. Naona wengi humu ukiangalia wananyofoa maatiko za mashaka na kutumia maneno yake mengi kwenye uandishi wao. Nadhani una mawazo mazuri Ila kuyapanga ndobshida kwako. Nadhani library nyingi za huko uk Zina vitabu vya writing skills kwa hiyo chukua muda wako usome styli ya kuvutia, hapa utabakia kutukanwa na wabeba boxi ambao ni wazuri kweli kwa kuchokonoa kazi za wengine wakati wao hata majina Yao hawajui kuandika

    ReplyDelete
  26. AnonymousJuly 28, 2009

    tatizo la wabongo...
    WAVIVU MNOOOOO!, hawapendi maendeleo, wakiona mwenzao anataka kutoka wanajaribu kila njia kuaribu.. sasa for your information.. nyie wooote mlio mkatisha tamaa kaka wa Uk.. hamjasoma na kama mmesoma hamjui kutumia elimu yenu...mkiambiwa tukutane bar wa kwanza... mnaenda wapi?
    mambo ya maendeleo wala hamtaki...
    John (UK) umejitahidi.. tumia eleimu yako kaka.. hawa magarasha wa bongo ambao wamekukatisha tamaa usiwasikilize kabisaaaa... Tanzania everywhere in the world inajulikana kwa mdomo.. maendeleo hamna!
    watanzania badilikeni esp. nyie mlioponda article ya John (UK)...
    yaani kuponda kwenu hakuna maana yoyote.. mlichoongelea ni ENGLISH,ENGLISH,ENGLISH.. usikute hata wewe mwenyewe hata kuandika barua hujui...
    by the way....nyie magarasha CHANGE FOR BETTER!
    hamuwezi kusoma full artcle kalale ondoka kwenye computer...tena inawezekana huna hata kazi unabaki kuchat tuuu, na kuangalia facebook....
    bora ya John (uk).. anakaa kwenye computer anafikiria kitu cha maana cha kuwachangamsha watanzania werevu..
    i repeat.. wewe garasha uliebandikwa Tanzania kalale huna kazi.. wewe kula ulale...
    namalizia JOHN KEEP IT UP BOY!

    ReplyDelete
  27. AnonymousJuly 29, 2009

    I would like to thank everybody for constructive comments on the leadership issues article.

    I agree with plausability of the arguments especially responses our leaders ought to have taken during their duties in serving your interests.

    Touchy issues such as demonstration of competences and ability to impact significantly on your constituency issues,should have been key debate points.We have unproductive representatives,don't we?

    For those who are contradicted with an article and interested,I will take on board your comments and work to ensure understanding next time when is right.

    I agree that we need to bridge the gap and emphasize on accountability of our leaders to their unproductive initiatives.

    From positive comments,such as Anon Jul 10:10Pm,Aon July 04:45,Anon Jly 28 11:50,Anon July 28 11:11, and others, I appreciate your concern and recognition of my intent on the article.other than that of showing off or comparing to other brilliant writers.

    I am a Tanzanian and patriotic to stress issues pertaining to our country.

    thank you for reading.

    mdau ( John ) UK

    ReplyDelete
  28. AnonymousJuly 29, 2009

    sasa tunataka mdahalo kati ya John UK na John Mashaka na Dr. Shayo na US Blogger.

    ReplyDelete
  29. AnonymousJuly 29, 2009

    JOHN (UK), HONGERA SANA.. KEEP IT UP... KAMA UNASIKILIZA HAWA VIMEO WALIOKUPONDA YOU ARE NOT A FIGHTER, KAMA UTAENDELEA YOU ARE A VICTORIOUS...
    MESSAGE KWA VIMEO....KAMA WEWE NI MWANAUME KWELI MENTION YOUR NAME.. ILI TUWAFATILIE KAMA MNAJUA ENGLISH....
    NGOJA NIWAULIZE NYIE VIMEO MLIOKOSA KAZI.. UNAJUA MAANA YA ENGLISH? LET ME OPEN YOUR LITTLE BRAIN.. ENGLISH IS TO MAKE SOMEBODY UNDERSTAND WHAT YOU WANT TO SAY.. HUYU KAKA ANATAKA KUWAAMSHA WATANZANIA WALIOWEREVU SIO WEWE MDUDU WA PORINI ULIEPONDA... KUWA NEXT YEAR KUNAUCHAGUZI .. SOMA KWANZA KAKA ACHA UVIVU THEN COMMENT.. KWASABABU WATANZANIA WALIO WENGI NI MIDOMODOMO UMESHINDWA HATA KUKATUMIA HAKO KA AKILI ULICHOPEWA NA MUNGU...SHAMELESS MEN...WEWE UNATAKIWA UWAFANYIE KAZI WAHINDI TENA CHOONI FOR REAL!
    MNANISIKITISHA WATANZANIA WALIOWACHACHE AMBAO HAMHITAJI MAENDELEO.. HIVI WEWE UMESHA KAA NJE UKAONA WENZETU WANAVYOENDELEA?.. SISI WASOMI NDO TUYTAKAO CHANGE TANZANIA .. SIO NYIE VIMEO...
    SO MY REQUEST.. NAKUOMBA MENTION YOUR NAME..KAMA UNAJIAMINI
    john.......keep it up!
    from..kile

    ReplyDelete
  30. AnonymousJuly 29, 2009

    mimi nikipata nafasi ya kuanza kuwaadhibu watu wanaokwamisha maendeleo nadhani breki ya kwanza itakuwa ktk vyuo vya teknolojia,hasa kitivo cha uhandisi UDSM kisha ndo kwingineko, nitawapiga bakora kuanzia ma professor hadi madenti ili wajue kwamba wanajukumu la kuanza kuweka elimu yao kwa vitendo tumechoka nadharia. maana bila teknolojia kwa vitendo hatutaendele hata kidogo, si kuanzia kilimo hadi chochote utakacho taja!
    wote hawa wamegeuka kuwa wanasiasa, na matokeo yake maneno kibao, vitendo hakuna! kilamtu anataka kuwekeza ktk siasa badala ya nyanja zingine kama teknolojia,uchumi,kilimo n.k
    leo hii tunazalisha madini ya ulanga unaotengeneza glass(kama sijakosea),chuma tunacho cha kutosha,matokeo yake hivi vyote wananunua watu wa nje,kisha wakitengeneza finished products tunazinunua kwa bei ghali!! mfano tu microscope za kupimia magonjwa hazitoshi hapa tanzania, lakini lakini malighafi ya kuzitengeza si ni lensi na chuma tu,hata mbao inaweza tumika kupunguza matumizi ya chuma,lakini nini basi kinawashinda kuigeuza nadharia wanayoijua kwenda ktk reality ili tupate na kuzigawa ktk zahanati na mashuleni? hili ndilo nalo liona tatizo la kwanza. kisha namba mbili ndiyo siasa na utawala!maana hili ni kundi ambalo limesheheni wale wote waliotamani kufika huko ilikuwekeza ktk hiyo siasa maana inalipa. hawa nao pia ningewaadhibu hadi wakome kuringa na waione siasa kama kituo cha polisi anavyokiona mhalifu.
    kwamaana kwamba unajuwa ukiingia huko unawajibika,unaubeba mzigo na sio ku-relax. ikifikia hatua hiyo tutaendelea,bila kufika huko hapa tutakuwa tunacheza tu. sasa wenye uchungu wote tuungane kumjulisha yule mtanzania wa kijijini na uswahilini kwamba anapaswa kubadilika,anastahili kuishi vizuri na anaweza kuishi vizuri kama ataamua kubadilika kwanza yeye kisha aubadili mfumo wa siasa uliopo sasa na kuufanya uwe kama kwinini kwa kila anayeusogelea,yaani kuwajibika!!!

    puff.

    ReplyDelete
  31. Please address yourself short and clear(Wakati).Blog maanake ni kwa minajili ya breaking news na/au kufikisha ujumbe kwishnei.

    ReplyDelete
  32. mokes O. gamaJuly 30, 2009

    I'm disappointed to the degree that somebody has decided to use my name to write
    those above comments of which i have only just discovered on the blog.
    It seems that the comments i have had posted in the past on bloggers' articles have either wronged some or infuriated many; despite being of "constructive" in nature and appeal.
    I'm sorry, but am also extremely disappointed. In short, your articles is well constructive and intelligent.
    I have learned a lesson of which will guide my future endeavours. Thanks.

    ReplyDelete
  33. AnonymousJuly 30, 2009

    mdau Joni,mimi nadhani uliyoyaandika hapa ni mambo ambayo yanawahusu wapiga kura na viongozi.
    nimekuelewa vizuri tuu na jinsi ulivyo pose maswali ulitaka watu wadebeti hizo responses na uhakiki wa maamuzi ya viongozi.
    pia,nadhani watu wanakukatisha tamaa bure tuu kwenye hii blogg,watanzania bwana ndio walivyo ilimradi tuu wakwamishe watu maendeleo.Usihofu wee andika tuu na najua.
    Watu humu bwana wavivu kama alivyo andika anon July 28 10 : 10 pm,pia anon July 29 08 : 18 am,pia wengine kutumia majina ya watu,Mimi namjua jamaa mmoja anaitwa US Blogger,huyu jamaa ni balaa,akiamua kuchamba watu atachamba kweli kweli sidhani atakucomment vibaya akisoma.
    Msubirie akitia timu,US blogger,unasemaje kuhusu mdau john uk,Tuwapange katika timu two on two muliendeleze libeneke la midahalooo,tunataka kucheka bwanaa,madongo munayompiga mashaka na shayo
    Us blogger tunasubiri maoni yakooo,mbona umepotea kiasi hikiiii

    mimi mdau ninapenda bifu

    ReplyDelete
  34. AnonymousJuly 31, 2009

    Anonymous wa July 30, 02:46

    Hoja zako nimezisikia.

    Katika globu hii ya jamii kuna maradhi ya kuunga watu mkono ama kuwapinga kwa kuwa tu aliyesema ni fulani.Hao ni muflis wa fikra. Ni wachache mno hapa wame challenge hoja za John wa UK , wengi wameamua kumshambulia Bw. John personally.

    Ushauri wangu wa John wa UK ni kwamba focus on hoja of your critics, kama ni za msingi zifanyie kazi kama ni kelele usizijali.Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji.


    Anonymous unayeniulizia, mimi ni mzima wa afya ila majukumu yameongezeka lakini nitajitahidi kuleta mchango.

    Wadau munanidai sehemu ya pili ya 'Tanzania; rich country, poor nation'. Nitaifanyia kazi mapema iwezekanavyo.

    Happy blogging.

    (US Blogger)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...