Mamelodi akasawazisha kwa kusema katiba ya FIFA inatambua Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa ni nchi moja na mwakilishi wake ni TFF pekee na kwamba ZFA haiwezi kamwe kuwa mwanachama wa FIFA kwa mantiki hiyo
Home
Unlabelled
mjumbe wa FIFA aliyenyamazisha mgogoro wa TFF na ZFA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mimi huwa sipost comment, ila hiki kitambi cha huyu mwanababa hapana jamani!! huu ni ugonjwa, namshauri aanze mazoezi mana anapoelekea sipo...anatisha!! its too much
ReplyDeleteHEEE JAMANI MWANAUMME MZURI HUYUU NIMEPENDA UNENE WAKE..MICHUZI UNA NAMBA YAKE YA SIMU..NATAKA KUMPIGIA KUMSADIA PIA KUPUNGUZA UNENE..KWELI HII CHEKA UNENEPE
ReplyDeleteEhe he he he he! Jamani anahitaji emergency service ili apunguze ze kitambiz!
ReplyDeleteUncle Michuzi
ReplyDeleteHapa naona soka imevamiwa, duh jamaa mbona hajakaa kimpira mpira?
Duh huyu jamaaa ni mnene sana .................... ana kilo ngapi vile???
ReplyDeleteNimeipenda afya ya huyo msuluhishi. Usikute wazenji walikuwa wanastaajabu afya wakasahau poiti!
ReplyDeleteMmmmmmhhh! Mashaaallahh.
ReplyDeleteSina usemi bora niseme neno moja tu, TOBAAAAAAAAAAAAAAA.
ReplyDeletehao ZFA ni watikisaji wa kiberiti tu ila ukweli wanaujuwa.
ReplyDeleteHuo mkutano ulifanyika ndani au nje? Kama ni ndani naomba mawasiliano ya mwandisi wa jengo ulimofanyika mkutano tafadhali...
ReplyDeleteDouble-man, huyu hahitaji baunsa, ndio majibu yake ni `direct'
ReplyDelete- "kanyela mumo"?...
ReplyDeleteI feel sorry for this guy na hiyo afya yake. Kama unene huo uko kwenye genes, namwonea huruma, kama ni matokeo ya kula mbovu, he will be responsible for his actions! kuna siku atalala ashindwe kuamka, jamani joto la dar analimuduje na hiyo afya, bora majuu A/C hadi kwenye matreni, huku kwetu kimanzichana, mhh!
ReplyDeleteDu! Huyu kweli ni mjumbe maalum, siyo mchezo!
ReplyDeleteAkitaka Mkopo usimpatie maana akilala kuna uwezeakano kutoamka mzima, pia Pole kama nayo maisha ya ndoa....
ReplyDeletedu, akipanda kakorola, katashindwa kutembea...du akiwa ndani ya us airlines itabidi alipe ticket ya watu mbili au tatu.
ReplyDeleteHii ngoma naona imetoka pretoria naona jina lake la KISAUZI wapo wengi dzaini hiyo sauzi hii ni shida si unene akianguka nani ataweza kumbeba kama si winch
ReplyDeleteukubwa dawa, unaweza kusoma jinsi watu walivyoelewa ujumbe wako. hata hivyo nia yako nafikiri ilikuwa kuvuta atention za watu kwa umbo la huyu mheshimiwa, the south african. alisema ukweli, na anahitaji plastic surgery kumweka katika umbo lake halisi. vinginevyo anaugonjwa uitwao Adisonian disease. copy.
ReplyDeleteTumbo kubwa utazani ananyea humo humo...Kahhh!
ReplyDeleteHii ilijulikana tangu mwanzoni kabisa kwani Zanzibar ni koloni la Tanganyika> tangu tuwatawale hawana hata uhuru wa kuamua mambo yao. Kama hawasadiki fimbo nyengine kama hii itaamua mzozo wa mafuta. Lakini tujitayarishe, wenyewe wakipata uhuru bongo itapata taabu sana.
ReplyDeleteDaa! ebwanaaaaaaaaeee hakika hicho kitambi ni Master Suit yaani kina kila kitu (kimekamilika)
ReplyDeleteplease malizia usemi ufuatao
ReplyDeleteUki staajabia ya Musa hujayaona ya .................
huyu sawa na mbunge wa mbinga pamaja na mbuge mmoja wa singinda jina limenitoka kaka. ila hatari sana kaka
ReplyDeletei guess all he said to them is "shut up you little punk go buck to your little nest and stay in there because next time am gonna break u and eat all your cookies" wapemba wakafyata mkia
ReplyDeleteMkuu wa nanihii embu kwanza tuwekee sawa swala hili za zanzibar kutokutambuliwa kama nchi pekee kisoka. Kama FIFA wanakubali kwamba England, Wales na Scotland ni nchi tofauti kisoka, sasa kwa mantiki hiyohiyo, kwanini hilo lisiwezekane kwa Tanganyika na Zanzibar?
ReplyDeletehebu acheni huo ujinga wa kumkashifu mwenzetu...tuumpe mawaidha ya kibusara ili ajitekeleza kiafya...
ReplyDeleteJamani kweli huyu mtu anashughulia michezo kweli hata dalili hamna nadhani huyu kazi yake ni kukusanya mapato tumbono
ReplyDeleteFiFA ni chombo cha michezo leo unakwenda kumpa mtu kama huyo hivyo alivyo nafasi kama hiyo sasa utakuwa unaleta ujumbe gani kwa vijana wadogo nafikiria nafasi kama hiyo apatiwe mtu mwenye muelekeo wa michezo na afya
ReplyDeleteDuh huyu jamaaa ni mnene sana .................... ana kilo ngapi vile???
ReplyDeleteHuyu kwa kweli ni jitu nene, sasa kwenye ndege anakaa vipi kwenye kiti jamani?
ReplyDeleteHalafu muhimu zaidi, kitandani akiwa na demu anafanya style gani?
Hiki kitambi si mchezo
HUYU BABA NA SOKA WAKA HAWAENDANI, HATA MPIRA SIDHANI KAMA ANAWEZA KUUPIGA HATA HATUA KUMI
ReplyDeletewabongo !tumejawa na kufuru,ya kumkosoa Mungu! midomoni mwetu na vichwani mwetu tunatoa pumba na mawazo machafu kila kukicha,
ReplyDeleteDu jamani mie yangu meno...manake nimecheka mpaka basi.....kweli hii shughuli....manake hawa ndio wanakusanyia mapato yote matumboni mwao na hasara yenyewe ndio hiyo.....amna kitu apo!
ReplyDeleteshavu dodo
ReplyDeletemuda si mrefu atahitaji kitorori
Kwa mtazamo huu na mawazo haya tutaendelea kuwa wa mwisho mpaka kiama, Issue hapa sio unene wa jamaa ni maswala ya suluhisho. Sasa watu wamekalia kumwongelea jamaa. Hivi watu wanaotoa comment hizi wamesoma hata darasa moja ? Shuleni hamkufundishwa heshima na ustaarabu. Kama mtu huna ufahamu wa mpira ukashindwa kuchangia ni bora ukae kimya usilize wenyewe positive ideas. Huku muumba wewe wala humlishi wewe kwa hiyo ni bora unyamaze. Ni shame kuona out of 32 comments more than 25 wanaongelea umbile na jamaa badala ya mpira.
ReplyDeleteHuyu jamaa yaani ananikumbushia umbo la lodi lofa wa gazeti la sani long time ago.hivi huyu mzee kweli hajioni yeye mwenyewe jamani?
ReplyDeleteMimi nampongeza huyu bwana kwa usuluhishi wake katika suala hili la kisoka ambalo kwa ujumla wake ni matokeo ya muungano.
ReplyDeleteSidhani kama ni sahihi kumkashifu huyu bwana kwa umbile lake lakini kwa wale wote watakaosoma hapa nawashauri kulinda afya zao kwa kupunguza kula kula ovyo. Kwa kiasi kikubwa vyakula tunavyokula kiulafi ndivyo upelekea yote haya.
Duh! Huyu jamaa sio mchezo anatoka nchi gani anko naniii? Aisee sijui kaingia vipi katika maswala ya soka sio mchezo. Sijui alikuwa mchezaji wa zamani maana hata maradona nae ana kitambi siku hizi. Ukifanya mazoezi siku ukiyaacha hayo ndio matokeo yake.
ReplyDeleteHuyu ni mjanja saana kawanyoa wazanzibari, je? anaweza kujinyoa mwenyewe.
ReplyDeleteWazanzibar na chama cha Mpira cha Zenj ni malimbukeni kwani wangeangalia sheria za FIFA wasingekuwa na haja ya kuleta ubishi wa kijinga hiyo imewafanya waonekane wajinga na kuchekwa kama picha inavyoonyesha wajumbe wengine wakikanua meno.
ReplyDeleteKama kawaida ya watu wenye mawazo finyu ambao kazi yao kusema watu wakati comment zinazotakiwa kutolewa ni kutokana na kichwa cha habari cha mjumbe wa FIFA wao mawazo yao ni mnene anaumwa...........That is non of your business guys.
Mjusi
huyu si mnneneee
ReplyDeleteangali video clip ya mnnenee kuliko wote!
http://www.youtube.com/watch?v=wHhe981Okmk
Figa za kifisadi..., kudadadaadekiii.
ReplyDeleteMwenyewe hapo anakuambia mambo safi a.k.a maisha yako kwenye mstari!
Acha watu waseme bwana, hata kama issue yenyewe ilikuwa mambo ya soka lakini bado tuna nafasi ya kujifunza kitu kingine kutoka kwenye picha hiyo hiyo. Huu unene siyo wa kawaida jamani Japo hakuna haja ya kumkashifu huyu mpatanishi kwani pengine huu unene umetokana na maradhi. Pia naona hata mguu wake mmoja kama haujakaa fresh vile. Au macho yangu tu.
ReplyDeleteNinachoamini huyu muungwana hata yeye hafurahii huo unene alionao. Kwani hapo hata kufunga kamba za viatu hawezi, masalani nako shida. kuduu nako vilevile. Nampa pole.
Pamoja na hayo bado anahitaji kujikimu kimaisha kwa kufanya kazi. Na kazi yenyewe ndiyo hiyo aliyo na utaalamu nayo. Sidhani kama kuwa mtaalam au kuajiliwa na FIFA lazima mtu uwe na umbile la kisoka. Mtu akiwa na hekima zake na kujua sheria au taratibu zinazotakiwa kufuatwa na FIFA ni vitu muhimu katika usuluhishi kama huu aliokuja kufanya muungwana huyu na akafaulu.
Namalizia methali ya mdau........UTAONA YA FIRAUNI. Ila huyo Usa River, huyo anaweza kuwa SUPA MODO.!!!!
ReplyDeleteWanajamii,
ReplyDeleteKwa wale wasiomjua huyu jamaa Bw. Ashford Mamelodi, tafadhali someni habari zake.
Mamelodi receives praises
01 December, 2000
By Albert Ndebele Outgoing Botswana Football Association (BFA) executive secretary Ashford Mamelodi has been showered with praises for his outstanding contribution to the development of football in the region.
Speakers at a farewell reception at the Gaborone Sun over the weekend speakers could not find words to describe Mamelodi's commitment to football as a player, coach and administrator.
His move to join FIFA as a development officer for southern Africa speaks volumes for his capability.
Judging from messages of goodwill at his farewell party many people recognised his role in sports development.
In his message, Vice President and BFA patron Lt General Seretse Khama Ian Khama said,"Mamelodi leaves BFA at a time that I believe our well-deserved place in international competitive football is quickly drawing close".
Minister of Labour and Home Affairs Daniel Kwelagobe said: "We are happy that as a nation, we continue to be a resource to the international community and our neighbours and friends as we release him to FIFA as a development officer for FIFA's Goal Project".
Thuli Johnson, chairperson of the Botswana National Sports Council, said:"Sports has united, served and developed nations.
Those at the centre of this process shall remain heroes whether celebrated or not. Ashford Mamelodi has been at the centre and is therefore a hero for sport and his nation." Ishmael Bhamjee, Botswana National Olympic Committee chairperson said BFA was"losing and gaining at his departure to FIFA because he would still be serving football".
COSAFA vice president Geoff Gondwe said Botswana has been lucky and thus envied by many countries in the region and beyond for the great asset and talent the country has in Ashford.
"We in COSAFA are so happy that although he joins FIFA as the nerve centre of this development operations in southern Africa, he will continue at least in the immediate future to serve COSAFA as its honorary secretary general,"Gondwe said.
BFA president David Fani said during the 10-year period in BFA, "Ashford has put a lot of work, energy and sacrifice into the development of the game in the country, working with considerable resource limitations to implement BFA programmes." His appointment to a FIFA post was a fitting recognition of his immense capability in football administration.
Labour and home affairs permanent secretary Kingsley Sebele said: "As we continually contend with finding ways by which we could walk on a Vision 2016 compliant road, it is certainly the desire of every Motswana, as it is of the Botswana government, to build a human resource base that is good enough to be exported for wider use by the global community.
"We are, therefore, proud that while we still prepare to take our rightful place in competitive football at the international level, we have made an impression on the sports leadership side as demonstrated by FIFA's engagement of the services of Mamelodi as development officer for southern Africa," he said.
During his time as the association's chief executive, Mamelodi experienced mixed fortunes and made headlines in local newspapers claiming that he was more of a dictator in the running of football in the country.
At one stage, University of Botswana (UB) students staged what they termed a peaceful demonstration, which later appeared not to be so peaceful, as they presented a petition demanding his immediate resignation because of the ZebrasOEs continuous losses even though he was not a coach or player.
It is now that those who criticised his decisions are starting to realise their mistakes and are wondering whether a suitable replacement for him would be found.
Source: http://www.gov.bw/cgi-bin/news.cgi?d=20001201&i=Mamelodi_receives_praises