Home
Unlabelled
mkutano wa AU wafikia kilele sirte
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hahaha Tizama Mugabe anavyomtizama Kikwete huyu Kijana mdogo sijui nikimtuma aniwekee maji atakubali au lah?.
ReplyDeleteDamn, them sofas looks so comfy!
ReplyDeletemsaada tutani: kazi kuu ya AU ni nini haswa? ninafikiri kila taifa linachangia kutoka pesa za walipa kodi wake sijui ni kwa nini tuwe na hiki kitu kinaitwa AU. wenye kujua tafadhali nisaidieni. kila nikisikia AU ninahisi kichefuchefu
ReplyDeletemdau wa Sat Jul 04, 02:27:00 AM yaani unataka kujuwa zaidi ya viongozi wa kiafrika kunufaika na malipo ya bonus za wao na waliofuatana nao, kuenjoy maakuli mazito mazito wakati wananchi wao wanakufa na njaa, kulala kwenye mahoteli makubwa makubwa wakati wananchi wao hawana hata kibanda, wake zao kutembezwa na magari ya fahari na kufanya shopping za kila aina wakati wananchi wao hawajui hata watachokula asubuhi hii, kwa mwenyeji kujionyesha kugharimu kila kitu kwa mapesa tele mpaka unadhani kuwa nchi haina matatizo au madeni kibao,kubadilishana mawazo na mbinu za kuzidi kubaki madarakani na ku-play mind game na wananchi wao? jawabu ni kuwa AU lengo lao kubwa ni kukutana na kujidanganya kama afrika inaongozwa na waafrika, haisikilizi amri za mataifa makubwa, halafu wakiondoka hapo tu wanafanya kinyume na kila mmoja anakimbilia kwa mataifa makubwa kuwasikiliza wanachotaka, kuomba misaada na kunyeyekea.
ReplyDeleteUkipata jawabu nzuri zaidi ya hii nijulishe.
Anonymous wa Sat Jul 04, 10:54:00 AM
ReplyDeletenakupa 5. Ulichosema ni mwisho, sina cha kuongeza.
No matter what people say, Ghadafi has good intention to Africans, we should listen to him
ReplyDeleteAnonymous wa Sat Jul 04, 10:54:00 AM umenimaliza kabisa, yaani nakubaliana nawe 110%
ReplyDeletebody language ya JK na mugabe inaonyesha dhahiri kuwa wana bifu, tena mugabe anaonyesha anafikiri ni namna gani huyu kijana aniletee tafshani hapa?
ReplyDeletemuone huyo brazamen anavyouza sura hahaha kakunja 4 shaka hana,watoto wake shule safi,msosi mboga7,shopping havi,na nadhani hapo wamekwenda kutumia tu na kuenjoy pesa zawalipakodi,hebu hona hio mikochi sidhani kwastyle hio kama hutasinzia,hebu cheki mikutano ya wezetu walioendelea europe na us wanakaa ktk mabench na wamebanana kinoma na watu wanawajibika kisawasawa cheki hao walivyoanika mivitambi yao.
ReplyDeleteAnonymous wa Sat Jul 04, 10:54:00 AM umesema kweli kabisa, ndo maana sipendi siasa wakati mwingine. juzi tu raisi wa zimbwabwe nusu awauwe raia wake wote, leo na hao viongozi wa africa wako meza mmoja!!! siasa bwana, ovyo.
ReplyDeletekokoliko
Uzuri wa hiyo picha ni kwamba Gaddafi na Mugabe wanaangalia upande mmoja na Kikwete anaangalia upande mwingine. Baada ya kuangalia picha unabaki kujiuliza maswali kwamba maana yake ni nini.
ReplyDeleteHivi jamani mimi nawashangaa, sasa mnataka Raisi atembee na mkokoteni, avae kandamili, pensi na T-shirt, asiende kwenye mikutano, akae kwenye benchi kama watu wengine, asifanye shopping akae na nyinyi vijiweni apige domo kutwa nzima.Mimi ninachosema, msingojee serikali yetu ifanye kitu, tuingieni mtaani tufanye mambo sisi wenyewe. Watu wanataka kulishwa, JK akienda nje basi matatizo, tubadilisheni mkanda tafuteni mambo mengine ya kuongelea ambayo yataweleteeni maendeleo! kazi kweli kweli!
ReplyDeletejongwe anammaind jk, cheki jicho, kama anasema, bwana wewe siku hizi hatuombani chumnvi?
ReplyDeletemdau wa Sat Jul 04, 11:38:00 PM hatupingi JK kuvaa vizuri, tunalopinga ni kutumia pesa za wavuja jasho kwenda katika mambo ambayo hatuoni manufaa yeyote.
ReplyDeleteBy the way, si rais wetu anatakiwa kutuwakilisha sisi? yeye ndio anaeonyesha picha ya mtanzania, kwa hivyo kuna kosa gani kuvaa kandambili? kwa nini avae nguo za bei kali sana? kuna kosa gani kupanda gari ya kawaida tu? kwani si uongo kuwa watanzania hatumiliki ayafanyayo? jee JK anaona aibu kuonyesha dunia namna watanzania tulivyo? au JK anadanganya dunia kusema kuwa hivi ndvyo watanzania tulivyo ilhali sio kweli?
Ni mwakilishi wetu na aonyeshe basi walala hoi tunavyoishi.
Waosha vinywa bwana, very narrow minded. Huyo anon wa 10.54 akiukwaa urais nae ndio wale wale. wangapi hapa Afrika tumewaona? Walijidai kutetea mashlahi ya wanyonge weee, walivyoingia tu madarakani, wako wapi? Kaeni kimya mfanye kazi mlete mabadiliko!
ReplyDeletemdau wa Mon Jul 06, 07:42:00 AM, aidha hujui maana ya narrow minded au umejikwaa dole, maana uliyasema yanaonyesha ni namna gani wewe mwenyewe ni narrow minded. sasa ulitaka watu wabaki kimya kila anaeingia madarakani ale awezavyo? amka unuse vumbi la bongo
ReplyDelete