Bosi wa Kitengo cha Uhusiano, Udhamini na Matukio wa Kampuni ya New Habari (2006) Limited, Petter Mwendapole (katikati) akizungumza wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika kwenye ofisi za kampuni hiyo Sinza. Kushoto ni Mkurugenzi wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga wakati kulia ni Meneja Huduma kwa wateja wa Vodacom, Elihuruma Ngowi.
New Habari wamemwaga takriban milioni 80 katika kudhamini shindano la Vodacom Miss Tanzania mwaka huu.
naombeni basi mkasaidi wagonjwa muhimbili wasioukuwa na msaada wowote! that will be nice, mamiss tu all year around! do something that you will get somethig special back! good bless you all
ReplyDeletenyie wadau wa voda kweli namuunga mkono huyo alietoa hoja hapo juu mbona shida ziko nyingi sana watu hawana msaada achaneni na mamiss,kuna kina mama waakufa kila siku na watoto kwa kukosa tu dawa,try to do something in future u will be proudly of. pleese sport ni muhimu but mambo yako ya muhimu zaidi
ReplyDelete