Fellow Bloggers,
It is pretty clear that some of our friends have expressed discontent with the choice of language used on our blog on important matters concerning the nation.
I am offering to provide an ‘unofficial translation’ of Mashaka’s latest article in Kiswahili for the benefit of the minority.
Please let me know your views before I attempt to pen the Swahili version of the article.
US Blogger
USblogger11@gmail.com
It is pretty clear that some of our friends have expressed discontent with the choice of language used on our blog on important matters concerning the nation.
I am offering to provide an ‘unofficial translation’ of Mashaka’s latest article in Kiswahili for the benefit of the minority.
Please let me know your views before I attempt to pen the Swahili version of the article.
US Blogger
USblogger11@gmail.com
Naunga mkno hoja, na utakuwa umesaidia wengi US Blogger. Ila nashindwa kuelewa huyu mjomba nanihii kwanini mpaka sasa hajaona umuhimu wa kuwa anafanya hiyo kazi ya kutafsiri pamoja na kelele za wadau wengi; inawezekana Ndg. Mashaka yeye anakuwa na uweza mkubwa wa kueleza maoni yake kwa ufasaha zaidi katika lugha ya kiingereza, hilo hatakiwi kulaumiwa
ReplyDeletehata kama ni Mtanzania; ila bro. Michu ungeona umuhimu wa kutafsiri kwa faida ya lile kundi la wasio fahamu kiingereza, aidha kabisa au katika kiwango cha juu kama walivyo baadhi ya wachangiaji mahiri wa blogu hii. US Blogger tusaidie kwa sasa; ila nanihii siku zijazo chukua hilo jukumu...naamini blogu ya jamii ni kwa watu wote
KT wa Gongo la Mboto
sifikiri kama mtu asiyeweza kujieleza kwa Kiswahili anao uwezo wa kuzungumzia masuala ya Tanzania kwa DHATI. Huyo atakuwa anatuletea yale yale ya Benki ya Dunia na IMF. kwa hiyo hata ukitafsiri kitakachokuwa kimebadilika ni lugha lakini maudhui yatakuwa ni yale yale na sidhani kama itasaidia lolote! watu wengi wanaosoma blog hii wanajua kimombo. ninafikiri hapa ni suala la utambulisho (identity) ndilo linaleta ugomvi.
ReplyDeleteutakuwa umeona kuwa ikija hata sala za kuombea marehemu zinazowekwa hapa wengine wanafikiri sala/dua iliyo katika kiingereza ndio inasikilizwa na muumba, na wengine wanaamni muumba huongea lugha zote ikiwa ni pamoja na kiswahili.
Kwanini Mashaka mwenyewe asiambiwe alete hizo waraka zaki kwa kugha ya kiswahili. Kwani Mashaka sio mbongo jamani? Akikataa then US Blogger alete translation kwa kiswahili.
ReplyDeleteAu labda wakati Mashaka ana cut and paste ajaribu ku translate... mbona itakua vioja....
Mr. US-Blogger, you see to be having some identity crisis. You know the obvious discontent of the language used by Mr.Mashaka a.ka. Messiah Shakespeare. Unfortunately you are using the same language. Who are the minority you are trying to make the translation for because the Majority speaks Swahili. Mr learned colleague from OXFORD. We already know that Mr. Mashaka is a pain the @@### and myself I am making arrangements to trounch him. Enough is enough, we have to get someone to silence him
ReplyDeletemdau-kwa bi mkubwa
bw. us blogger, ni vipi tunaweza kushirikiana ili kumdhibiti huyu nabii wa uongo mesiah yohana mashaka? mie pia nimesoma sana. siyo huyu mtoto mwenye digrri nusu ya sheria na biashara atufanye kana kwamba hatunazo kichwani? naomba majibu mkuu ili tupange kukutana hapa kwa obama au tuzungumze kwenye simu kupanga mikakati hiyo
ReplyDeleteUS Blogger I think Swahili version will be for the benefit of majority ( Tanzanian Swahili speakers).
ReplyDeleteMdau
Kiparamoto
Mgeni-Nani-Mbagala DSM
Acha wivu. Tafuta article zako mwenyewe. Kama hao minority hawaelewi watafute kamusi zitawasaidia. Wakati wengine wanasoma,waliyaona madaftari mazito.
ReplyDeleteama kweli Jogoo la shamba linakazana kuwika mjini
ReplyDeleteUS BLOGGER, KAMA HUNA KAZI KAA KIMYA HAKUNA HAJA YA KUCHUKUWA KAZI AMBAYO HAKUHUSU, KAMA UNAMAWAZO JUU YA WATANZANIA TULETEE TUYAONE, MWACHE MASHAKA PEKEE, WEWE TULETEE VYAKO VITUSAIDIE SISI MASIKINI UNACHOONYESHA HAPO NI WIVU TU USIO NA SABABU NI UBINAFSI MTUPU.
ReplyDeleter u sure you're not mashaka using different name to stimulate argument?
ReplyDelete@ Dr. US-Blogger:
ReplyDeleteMkuu wee ndo tunakuaminia kwamba unaweza kusimama na yule Genius Shakespear John Mashaka. Tunakuomba utuletee hii tafsiri kwa kiswahili. hii ni Article safi sana ambayo lazima isomwe na waswahili. Ninakuomba uitafsiri kisha uibandike tuone wadau watasemaje.... Tafadhali Sana Dr. US-Blogger toa tafsiri
Huyu mdau ana majungu kinoma. Kaka au Dada kuwa mbunifu kidogo kwa kuanzisha mada zako kwa kiswahili. Mtu mwenyewe hata hujulikani ni nani, ni sawa tu na Mashaka kubishana na kivuli. Kwa nia njema...
ReplyDeleteMdau Boston, US
Anon wa 04.04pm kwani kutafsiri lugha ni wivu? ndio maana kuna wakalimani.
ReplyDeleteHuyu jamaa amepagawishwa sana na Mashaka na anahangaika kufa ili amkute kijana kumbe anasahau chema chajiuza na kibaya chajitembeza.
ReplyDeleteJamaa ameishiwa kwelikweli. Kaandike za kwako na uandike kiswahili ama kilugha ukijuacho wee
But when you say Minority...You are so wrong. The majority of Tanzanian don't speak English-and its not a shameful thing. So whatever you would like to do its one your reach cause the article is out there and you are lucky to master both languages but be caution when you use your words next time.
ReplyDeleteCongratulations Mr US blogger for your devotion to want to translate the article. I want to make it clear that no one is jealous of Mr Mashaka as some of our colleages have proclaimed in their comments.
ReplyDeleteIn my opinion, for this discussion to be meaningful, Mr Mashaka should establish his own blog or website. I dont see any reason why he should not start a blog of his own, as this is a free facility from Google. Once he owns his own blog he can decide it to be bilingual. But one thing i want to know from US blogger, does it mean that Mashaka can not write and speak Swahili? If it is, then he must be problematic!
Nakumbuka jamaa mmoja kijijini kwetu aliyeenda ng'ambo kwa masomo, baada ya kurudi toka majuu akawa anajifanya kasahau lugha yake ya asili na hivyo kila akiongea na mzazi wake alikuwa akimjibu mara kwa mara "YEAH" sasa huku si kubweteka kweli?
Watu wengine sijui mlienda shule gani..!umeandika kwa Kingeleza sasa inasaidia nini maana kama ni maoni hatuwezi kutoa kwa kingeleza.Tusio juwa kingeleza bado hatujaelewa unasema nini, nimeona neno moja tu swahili..!
ReplyDeleteJamani kwani USBlogger na Mashaka ni watu tofauti?? Si ni huyo huyo mashaka mwenyewe...
ReplyDeleteHabari zenu nduguzangu,
ReplyDeleteMimi nafikiri kazi hii ni rahisi tu.Ni swala la yeye mwenyewe NANIHII kusema kwamba,jamani hii ni globu ya jamii,na jamii tunayoiongelea hapa ni watanzania,wewe kama unajua kiingereza,hiyo ni kwa faida yako.Hivyo basi,mijadala ambayo tunafikiri inalenga kusaidia jamii yetu yote lazima iletwe kwenye lugha ya Kiswahili.Kwisha kazi,hapo ndipo tutashuhudia "cut & pest".
Mkulima-Kijijini Gezaulole.
msaada nje ya topic, jamani nauliza mtu yeyote aliyesafiri na mtoto wa miaka 2 toka Marekani kwenda tanzania alimpa anti-malaria aina gani? nimeenda kwa daktari dawa aliyoandikiwa inaitwa lariam (30 mg dose ya mtoto mwenye uzito 10 kg)nimesoma nikaona naona ina side effects nyingi,naomba kama mtu alishasafiri na mtoto mdogo wa umri huo au mdogo zaidi naomba kujua alitumia dawa aina gani? na experience yake ilikuwaje. Tafadhali naomba jibu mapema niweze kuamua la kufanya.Natanguliza shukrani.
ReplyDeleteMsaada jamani, tafadhali naomba kujua kwa mtu aliyesafiri na mtoto wa miaka miwili kutoka marekani kwenda tanzania alimpa anti malaria aina gani? Nimeenda kwa daktari akaniandikia lariam lakini naona kama side effects zake ni nyingi,naomba kujua kama kuna mtu alishatumia dawa hii kwa mtoto wa miaka 2.(dose kaniandikia 30mg mtoto anauzito wa kilo kumi) natanguliza shukrani. tafadhali naomba nijibu mapema ili niweze kuamua la kufanya.Pia kama hukutumia dawa hii ulitumia gani?Asante
ReplyDeleteWewe anonymous wa 04:04:00pm wacha ushamba, tangu lini kutafsiri maandishi kumekuwa wivu?
ReplyDeleteKama wewe hutaki tafsiri kwa nini unataka kuwazuilia wengine?
Kama hutaki usisomi hiyo version ya Kiswahili, sio kuwazuilia wenzako wakati US Blogger anataka kujitolea kuandika.
Mdau wa Boston
ReplyDeleteSasa kutafsiri ndio kumekuwa majungu?
Yaani kwa Blogger kujitolea kutafsiri wakati kuna wengi waliolalamikia lugha kunamfanya Blogger aonekane wa ana majungu-tutafika kweli?
Munaotaka kuzuia hiyo tafsiri munaogopa nini, kuna nini munataka kuficha.
ReplyDeleteUS Blogger, andika na utuletee hiyo tafsiri na asante kwa kujitolea kufanya hivyo.
Itatusaidia kuona kama ushabiki tunaouona unataokana na hoja ama watu kutofahamu lugha na akubakia kushabikia.
Kwanza mbona unatudhalilisha wewe unayejiita US blogger jamani?Tena humu humu kwenye blog ya jamii?Kwa niniii........!!Na mkome!
ReplyDeleteWht d u mean MINORITY???
ReplyDeleteU r crazy man. write it again and do it in THE BETTER WAY, SWAHILI WAY.
MZALENDO
Unamaanisha nini kusema for the benefit of MINORITY?????!!!
ReplyDeleteAcha dharau dogo.
Munaomshabulia Mr Blogger kwa kutumia neno minority wacheni uvivu wa fikra.
ReplyDeleteWaliolalamikia matumizi lugha ya Kingereza hapa kwenye blogu ni wachache kuliko wasiolalamika, mukisoma comments mutaona.Waliolalamika hawafiki hata asilimia 15.
Sasa Blogger kakosea nini kusema anatafsiri kwa faida ya hao walio minority?
Sasa ni kosa kuwaita hayo asilimia 15 minority na kuwatafsiria?
sasa kusema waliotaka lugha ya kiswahili ni wachache (minority) kunamfanya US Blogger aonekane mbaya.
ReplyDeleteKweli kazi ipo!!!
Blogger pole, mimi nadhani hawafahamu nini maana ya minority.
Fellow Bloggers,
ReplyDeleteIt is pretty clear that some of our friends have expressed discontent with the choice of language used on our blog on important matters concerning the nation.
I am offering to provide an ‘unofficial translation’ of Mashaka’s latest article in Kiswahili for the benefit of the minority.
Please let me know your views before I attempt to pen the Swahili version of the article.
........
........
........
US Blogger ungeandika ujumbe huu wa kiswahili basi kuliko kuuandika kwa kiingereza halafu grammar inakuwa Zero!..."the minority" wrong "artcle + verb"....Anyway nafikiri ni tatizo letu sote watz.
Kwa ujumbe huu napenda kuwaambia wananchi kuwa US Blogger is Not John Mashaka
Wewe mjuaji usitake kudanganya watu.
ReplyDelete'The minority' is sawa kabisa kwa sababu hapa anazungumzia a specific minority amabao ni 'bloggers wachache waliotaka lugha ya Kiswahili'.
Usijifanye unajua usiyoyajua!!!
Your report is very interesting indeed. I invite You to see a great collection of views of borders (riigipiirid) in my Italian-Estonian site http://www.pillandia.blogspot.com
ReplyDeleteBest wishes from Italy!