stelingi wa globu ya jamii baraka wa chibiriti wa cesena, italy, amwaga salamu kwa wadau akiwa vekesheni bongo.....
Home
Unlabelled
salamu kwa wadau toka kwa stelingi baraka wa chibiriti
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
stelingi wa globu ya jamii baraka wa chibiriti wa cesena, italy, amwaga salamu kwa wadau akiwa vekesheni bongo.....
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ahhhhhhh Michuzi, mbona hamna kitu? only 1 sec kwishnen!
ReplyDeleteJamani, mbona chibiriti mwenyewe haongei?
ReplyDeleteMzee, ungeiachia kidogo angalau tumwone akiingia kwenye mkoko wake wa silver baada ya kuumia kubeba box!!
ReplyDeleteMichu umewakomesha waoshwa vinywa!
ReplyDeleteushuzi mtupu michuzi be serious bro!
ReplyDeleteulisalimika Airport kuibiwa mizigo yako Chibiriti, manake hawa jamaa siku moja hata hiyo buti kali na jeans, waziri asipoingilia swala hili.
ReplyDeletethanks have viskeni bongo.
chibiriti angalia usifulie bongo
ReplyDeletevipi mdau wa chibiriti,Umeshanunua computer mpya? maana kuna siku ulituletea picha ya chumbani kwako ukiwa na kompyuta ya enzi za mawe za kale.
ReplyDeleteme ndo sioni kabisaaa ata icho kibox apa
ReplyDeleteaya
Ah, stalingi wetu Chibiliti ameludi, yees!! Naona stalingi unatembea kwa minjonjo na kabla hujaingia kwenye benzi lako mithupu ameamua kukatiza movi. Hamna noma wala nini stalingi wetu, we endelea kutengeneza movi huko kwa wataliani.
ReplyDelete