mdau katembelea ukweni majuzi na karudi na taswira hizi zinazoonesha chanzo cha mto nile


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 24, 2009

    hao waliosema hicho ndo chanzo cha nile walikuwa wavivu na wakasimplify. hicho sio chanzo.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 24, 2009

    Kirumo bridge!Watani wanataka kushusha HEP station hapo ya 700mw mara mbili ya matumizi yao ya kawaida ya umeme. Kinachofurahisha ni pale rais anapowapasha wanaopinga mradi huo kwa kisingizio cha kuharibu mazingira kwa kuwawabia kwamba sio marafiki wa Uganda.

    ReplyDelete
  3. Waganda wanadai kuwa kwao kutokea milima ya Ruwenzori ndiyo chanzo cha Nile. Rwanda nayo inadai kutokea maeneo ya Akagera kuwa ndiyo chanzo. Burundi nayo inadai kutokea mto wa Ruhuhu kuwa nacho ni chanzo cha Nile. Tanzania ndiyo imezubaa ianshindwa hata kufanya marketing na idai kuwa ziwa Victoria ambako Kagera inapita ndiyo chanzo cha Nile. Sasa kati ya hao ukiacha Tanzania wapi ni chanzo cha mto Nile jamani???

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 24, 2009

    Hicho chanzo ni nini hasa? Ni chemchem au?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 24, 2009

    We kaka Patrick watanzania hatujalala kama unavofikiria!
    Mto Nile chanzo chake ni milima ya Rumanyika wilaya ya Karagwe huko mkoani Kagera unaanza ukiwa mto Kagera na kuingia ziwa victoria mpakani mwa Uganda na Tanzania,then unapotaka na kuendelea ndo unaitwa Mto Nile.
    Kama vipi fika pale Kyaka utauona,kisha usisahau kununua gonja pale ili tuhakikishe kama kweli umefika.
    By mdau Mbeki 4rm St Joseph Coet-DSM

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 24, 2009

    mdau patrick

    umewaza kama mimi,umemaliza nilotaka uliza!!

    chanzo cha mto Nile ni ziwa Nyasa/victoria lenye nchi 3 tu,labda waseme mtokeo wa maji unaotengeneza sasa mtiririko wa mto ndo upo Uganda

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 24, 2009

    simple common sense: dimbwi halizai mto, na mto hauzai ziwa, ziwa halizai bahari. lake Victoria ndiyo chanzo cha Nile, someni vitabu, na juzi juzi tu hapa kulikuwa na documentary kwenye channel ya BBC kuonyesha hivyo. Sie watz ni wavivu sana wa kufikiri vitu, daima tunasubiri wenzetu watuchambue kisha tunaanza oh jamaa wanatukandia. Nchi yetu imelala mno, sijui serikali inafanya nini kuji-market. Kikwete kazi yake ni kucheka tu.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 24, 2009

    Kaka Michuzi kwanza kabisa haya mabishano ya chanzo cha mto nile uko wapi mi naona bora watu wa-google tu.

    Asante.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 24, 2009

    TRUE SOURCE YA MTO NILE NI HII HAPA..

    http://www.woodlands-junior.kent.sch.uk/Homework/egypt/nile.htm

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 24, 2009

    The true source of the River Nile

    Ripon Falls may be the starting-point of the River Nile, but the many streams that flow into Lake Victoria could claim to be the true source.

    Much of Lake Victoria is surrounded by mountains with streams tumbling down into the lake. The largest tributary of Lake Victoria is the Kagera river. The Kagera and its tributary the Ruvubu, with its headwaters in Burundi, is now considered to be the true source of the Nile. It is from here that the Nile is measured as the world's longet river.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 26, 2009

    naomba niulize, kwa nini uganda panaitwa ukeni?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...