Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 28 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 28, 2009

    Jamani watu tunakula, kama tumbo lingeweza kulalamika,tungeipata fresh. angalaia mavitu yote hayo tunataka tuyajaze tumboni.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 28, 2009

    Lakini baadae yote yanakuwa ni nini: (jaza) - inabidi uende msalani.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 28, 2009

    ndiyo maana mwbongo tume matumbo makubwa na matako makubwa kwenda nyuma kwenda mbele! sijaona vegs hapo

    ReplyDelete
  4. eh bwanaeeee
    braza michu hapo umelengaaa...
    yaaani achaa tu nakumbukia ule mwezi wetu mtukufu ambao unakaribiaa
    mahanjumatii kibaoooo... denda hilooo... we acha tuu
    hahahahahahhaha...

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 28, 2009

    Chalaaale!
    Ndio maana watu tunapenda upambe kwenye harusi za kipwani.yaani ukiwa katika msafara wa bwana harusi ukweni ndio mnagonga "menu" kama hiyo. linaitwa kombe mwanakwetu.
    mie mate nchururuuuu yakhe.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 28, 2009

    Harufu tu mimi nishashiba!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 28, 2009

    Hapa kweli mate yamenitoka. Kula na kufurahia haya daima chukua kidogo, kwa usalama wa afaya yako

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 28, 2009

    Jamani waislam wanajua kupika mhh wakati sie tupo salun tunatengeneza kucha wao ahh jikoni wanakaangiza

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 28, 2009

    anon wa tatu huoni hilo sahani kubwa la kati hapo (sijui ni samaki huyo) kwamba kitanda chake ni mboga mboga tupu?

    raha sana kuwa mbongo jamani chakula kitamu!!!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 28, 2009

    Solo lenyewe limepauka, sioni kabisa nyama zaidi ya huyo samaki wa kupaka hapo. WE NEED MORE NYAMAZZZZ

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 28, 2009

    Duh! ma-"nutritionists" wa kibongo bado wana kazi kubwa sana ya kuielimisha jamii yetu. Hicho chakula hapo, ukiondoa huyo samaki wa kupaka, hakuna hata kimoja kinachoweza kuitwa chakula bora. Mbaya zaidi, chakula hichohicho kibovu, kinateremshwa na soda. Ndo maana Bongo mtu ana miaka 26 tuu lakini ana mtumbo kama baba yake.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 28, 2009

    vyakula vya waisilamu hivyo walivyopanga

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 28, 2009

    milo ya minuso a kibongo!! yaani maandazi,chapati,ubwabwa,pilau- vyote hivi ukiangalia ni wanga ileile ila ktk mtengenezo tofauti, sasa ukishindilia unaanza kufutuka tumbo kwa mafuta kisha unalalamika ati mbona mie sili mafuta haya yanatoka wapi?someni shule inasaidia!!he he he he

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 29, 2009

    Mkwabi upo??

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 29, 2009

    naungana na wadau hapo juu, yaani hamna vegetables hata kiduchu and then hizo cabohydrates na hayo mafuta mafuta hapo wanashushia na soda ambayo nayo ina masukari kibao. halafu mtu BP ikipanda na kisukari kikichanganya inakuwa na news tafauti

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 29, 2009

    WA PILI KULIA HAPO SIYO NAONA VIPANDE VYA BACON JAMANI? AU NI BEEF BEACON

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 29, 2009

    yaani hii picha imenifanya nikimbie kwa fridge nikachukue chupa ya maji ninywe, maana nahisi kama damu imeganda vile kwa amount ya mafuta yaliyoko kwenye hiyo mikeka

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 29, 2009

    Duh kula tunda hadi tushauriwe na daktari? Mboga za majani je? Wabongo tujitahidi kulinganisha mlo (balance diet)ni muhimu kwa afya zetu tusilalamike tu maisha magum ila tujitahidi kadiri tuwezavyo kula mlo wenye quality na sio quantity.

    ReplyDelete
  19. AnonymousJuly 29, 2009

    Mlioko ughaibuni lazima mnamezea mate hiyo menu, mshazoea Baga zetu na vihende siku nenda siku rudi

    ReplyDelete
  20. AnonymousJuly 29, 2009

    kwenye msosi kama huu palipo na mazagazaga kibao ndo mahali pake yule mjumbe wa FIFA aliyefika kusuluhisha mzozo wa ZFA na FIFA! Anaitwa nani vile? Ashford?

    ReplyDelete
  21. yani nafungua kinywa kwa msosi kama huu mwanawani mchana ni yale mambo yetu ya viloba

    ReplyDelete
  22. AnonymousJuly 29, 2009

    Je kwa sababu tunafikiria sana kula ndio inaweza kuwa sababu ya Watanzania wengi kutokuendelea? Ukiangalia wingi wa chakula na idadi ya watu utaona kwamba mwisho wake chakula hicho kitamwagwa.Tunatumia fedha nyingi sana kwenye mlo kuliko kufanya mambo mengine ya maendeleo..........najua wadau watasema ndio asili yetu lakini..........inabidi tujifunze na Asili inaweza kubadilika na sio formula.

    Mjusi

    ReplyDelete
  23. AnonymousJuly 29, 2009

    Waislam huwa hawamwagi chakula hiyo tabia unayo wewe bila shaka mgala. hata mseme vipi wenyewe hapo mnatamani na hampikiwi hivi vitu lazima mchonge sana we subiri rudi zako home kale wali na maharage ya AIKA kama sio MANKA

    ReplyDelete
  24. AnonymousJuly 29, 2009

    anoy wa 01:50 huna lolote umenichekesha sana, Huyu anoy wa 01:54 ndo wa ajabu ameamua kwenda kuchukua maji ili agandishe vizuri hayo mafuta.
    embu nielezeni ni chakula gani sio cobohydrate na wala hakina mafuta? unless unaishi MARS

    ReplyDelete
  25. AnonymousJuly 30, 2009

    huyo anayesema huku ughaibuni hakuna haya mahanjumati, kwani tukija majuu ujuzi wa kupika tunauacha bongo? kwani majuu hakuna unga wa kupika maandazi, sambusa au chapati. majuu hakuna mchele? mbona basmati na jasmine zipo za kumwaga tu. tena huku ndo tunapika kwa kujinafasi, acha ya bongo ya kununua unga robo na mafuta ya kibaba! vyote unavyoviona hapo tunavipika na mboga za majani hatusubiri hadi tuandikiwe na doctor

    ReplyDelete
  26. AnonymousJuly 30, 2009

    yani hii blog ya mkuu wa wilaya ya nanihii nikisomaga huwa lazima nitacheka tuu manake kuna wachekeshaji kuna madokita manesi maprofesa wajuaji waelimishaji humuhumu ndani ya libeneke someni blog ya nanihii mnenepe

    ReplyDelete
  27. AnonymousJuly 30, 2009

    jamani hayo mavitu yoote yanapatikana huku majuu kama mdau mmoja alivyosema ni sawa kabisa mie mwenyewe napikaga makande kwa sana ndizi nyama ndo uspime tena za nazi ya kukuna achilia mbali ya kopo kila kitu kipo veg ndo mwake ngoma droo au huku imezidi
    mdau CANADA

    ReplyDelete
  28. AnonymousJuly 30, 2009

    Anko nanihii, ndio maana wewe unanenepa siku hizi, kumbe ni mzee wa solo, Upo juu Misupu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...