mojawapo ya vikwangua anga kibao vinavyochipua dar. hapa ni barabara ya ohio, katikati ya makao makuu ya shirika la posta na ppf tower

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 23, 2009

    Vikwangua anga sawa vya kubadilisha mazingira ya jiji..lakini viende sambamba na uboreshwaji wa usafi wa mazingira. Mikakati iwepo ya kubadilisha mindset za watu waachane na tabia ya kutupa taka ovyo...vyombo vya habari vitumike kwa hili. haisadii mji kusafishwa halafu mtu anapita anatupa taka tena kwa makusudi.
    Sambamba iendane na uboreshwaji wa miundo mbinu mingine..drainage system, sanitation systems etc.. hapo ndio tutakubali kuwa vikwangua anga vinapendezesha mji..

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 23, 2009

    nakubalina na vikwangua anga lakini lazima tujitayarishe iwapo ajali ya moto itatoke, je tunazo zimamoto za helikopta za kuweza kuzima kama moto utokea ktk ghorofa za juu...?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 23, 2009

    Jamani tutaweza kuzi maintaine hiyo mikwangua anga?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 23, 2009

    Nakuunga mkono mdau hapo juu Annon thu JUl 23,10:58:00Am. Kwani vikwangua anga vingi lakini vitengo vingine ndo hivo vimelala fofofo.

    Chakuzingatia, hivi moto ukitokea ghorofa ya arobaini juu, usije ukaona watu wanajitwisha ndo kwenda kuzima. Je tunavyombo vya kutosha vya kuzima moto endapo utatokea?

    ni hayo tu

    P.E.D

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 23, 2009

    "The higher the buildings, the lower the morals."
    -Noel Coward

    drainage system, sanitation systems etc we are still using that were built in 1947 to comodate only 1 million people. Now, Dar has over 3 million people...like one of my friend said, "Ni ujuha mtupu!"

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 24, 2009

    cha muhimu ni kupata vikwangua anga va barabara au dbl storey freeway hio ndo itakuwa kitu ya maana manake foleni za dar huna hata hamu ya ku drive miji ilioendelea katikati ya mji haitakiwi kuwepo na foleni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...