ile viro iliyopigwa bustani ya mnazi mmoja gaden ya jijini dar inaendelea kuwepo, ambapo walipa kodi wanaishia kuona kwa nje tu sehemu hii ya kupumzikia. redio mbao zinajulisha kwamba bustani hii inapigwa viro kwa kile ambacho mababa wa jiji wanasema ati wadau si waangalifu ukiifungua hiyo viro wanaweza kuitumia ndivyo sivyo. ila kuona kwa macho na kukaa nje ruksa. bongo tambarare...

i

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 23, 2009

    Halafu huwezi amini kwamba jiji kama la Dar hakuna sehemu yakupumzikia zaidi ya pale Posta ya zamani!! Viongozi wa jiji wanakumbuka kujenga majumba tu lakini "open space" kwa ajili kupumzika watu hakuna!! Angalau wenzetu Zanzibar wanayo sehemu nzuri tu ya kupumzikia. Angali na haya "majiji" mengine, Mbeya, Mwanza, Tanga na Arusha, kulikoni??

    ReplyDelete
  2. mhh ukiona hivyo keshauziwa mtu hapo!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 23, 2009

    ukoloni

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 23, 2009

    ""Bustan ya mnazi mmoja Gaden"" yapendeza, lakini si inatakiwa wakae watu jamani!

    ReplyDelete
  5. Kama ni botanic garden inaweza kufanywa na jiji kama kitega uchumi. Watu waka wanaaingia kwa kwa kulipia. Ukawa na bei za matourists na za wenyeji. Hii itasaidia Bustani kujiendeleza yenyewe bila kutegemea pesa za kodi za walala hoi.Hiyo sehemu nakumbuka zamani za miaka ya 80ilikuwa wazi na iliharibika sana. Sina uhakuka kama kunakutoa chochote maana siku nyingi sijafika hapo.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 23, 2009

    Iringa ipo pale posta tena kuna hata viti vya kukaa na miti mingi.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 23, 2009

    hapa marekani pia bustani kama hizo zipo sema wanaweka walinzi maalum wa bustani...kwani wasifanye hivyo????keli bongo noma....cashmoneymore.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 24, 2009

    Tatizo sio city tatizo ni wananchi wenyewe wachafu mno wakiruhusiwa hapo watalala hapo hapo watakunya hapohapo watakojoa pia basi balaa tu weka viro tu waione kwa nje safi sana mpka watakapo starabika

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...