WISE CREW
wasanii wa kundi la mziki wa kizazi kipya la WISE CREW wamepongezwana uongozi wa chuo kikuu cha TUMAINIUNIVERSITY ARUSHA baada ya kuhitimu masomo na kula nondozzz za sayansi ya jamii pia na juhudi zao za kimuzikizilizosaidia kukitangaza chuo hicho kupitia mziki nasi wadau tunawapongeza kwa kupata hilo jiwe.

Wadau Makumira

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...