Hi Michuzi,
Hebu tafuta ama fuatilia kuna taarifa ndio tunazisikia kuwa kuna ajali mbaya imetokea darajani mto wami njia ya Tanga, Moshi na Arusha ukitokea Chalinze.
Kwa chanzo cha habari nikwamba kuna lori la mafuta limepinduka na kuziba daraja, jamani nasikia mafuta kibao yame mwagika.
Je viumbe mtoni watapona ?
Tupa kwenye kisemwakweli au kisomeo
watu wajue tupate ukweli (sad news)
Mdau Charles
Mdau Charles
---------------------------
Shukran Mdau Charles,
Globu ya Jamii inafuatilia na kama kuna
mdau maeneo hayo msaada tutani tafadhali.
-Michuzi
MADEREVA WA MALORI YA MAFUTA NI HATARI KULIKO HATA MADEREVA WA MABASI.LAKINI SIKU ZOTE SERIKALI YETU INAWANGALIA MADAREVA WA BASI TUU ETII NDIO WANAOSABABISHA VIFO, LEO DEREVA WA LORI YA MAFUTA APATE AJALI KWENYE MAAENEO YA WATU ALAFU ETOKEE MOTO NDIO TUTAKUJAKUELIWA NANI NI HATARI ZAIDI
ReplyDeleteJamani Yaani watu wengine wanapenda kurusha mioyo ya watu!!!
ReplyDeleteHiyo habari unavyoianza kusoma inashtua unahisi kama watu wamekufa kumbe ni limeziba njia!!!
Bora binadamu hawakufa lakini japo nasikitika tuu kwa viumbe hai vitaathirika kweli
Utamu wa habari vielelezo (picha) ......Tunataka picha....
ReplyDeleteTujalini mazingira jamani hata viumbe nao wanahaki ya kuishi...ajali ni ajali tu....kwenye nchi za watu waliondelea inabidi hayo mafuta yasafishwe kutoka mtoni na mto ubaki msafi lkn bongo mambo tambarare samaki na wadudu wengine watakufa tu...nani wakusafisha....
ReplyDeleteUnajua pale wami ingekuwa ni Ulaya pangetokea mji mzuri sana na wanamazingira wangetumia fursa ya mandahari ya ule mto na miti kupapendezesha.
ReplyDeleteHuyo dereva ni bora awe amekimbia maana asije akalishwa mvua 30 kama yule wa basi.
ReplyDelete