Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. £1=$1.67 today, very high after sometime since £1 picked to $2.11 last year

    £1=2228.98 Tsh today
    markets are doing good,big banks have reported profits eg Barclays £2.98bn,HSBC almost the same.despite making profits,money lending is extremely prudent and interbank lending has slightly improved.NOTE:most homeowners are still in negative equity.
    shares surge,manufacturing ativities are picking up
    SIGN of POSITIVE outlook,bank crisis is near to end.

    Short brief!

    mdau(john) uk

    ReplyDelete
  2. MHH HIYO CANADIAN VIPI HAPO? MAANA HUKU INABANANA NA MNYAMWEZI ILA NIMEGUNDUA BONGO HUWA WANAKUWA NA RATE ZA AJABU KWA CANADIAN $ KWA NINI?

    ReplyDelete
  3. Oya uncle mithupu hebu tupe issue nasikia bureau de chande za bongo hazichukui dola zilizotolewa miaka ya tisini ni kweli au wanawazingua wananchi tu! maana wanadai heti wanachukuwa noti za dola mia lakini mpaka ziwe zimetolewa miaka ya elfu mbili tu! hebu fanya utafiti then utufafanulie

    ReplyDelete
  4. ni kweli kabisa bureau za bongo hawachukui noti za miaka tisini bali za elfu mbili wanachukua tuu mie walishanigomea mara nyingi tu ila ile ya pale s.h amon walinikubalia ila ndo walinikata kama twenty hivi nilipowauliza why? kwa nini? wakaniambia eti marekani wana mpango wa kuziban na pia ati wanakula loss

    ReplyDelete
  5. Nasubiri dola ifike 2000 halafu nitarudi Bongo kula vumbi kidogo. Home is Home hata katika vumbi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...