bofya mshale kuangalia video hii
Home
Unlabelled
hesabu kazi kweli kweli....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
bofya mshale kuangalia video hii
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Heheheheeeeeeeeee uncle Michuzi hawa watu hawafai hata kulumagia
ReplyDeleteAbsolutely fabulous. It all shows the funny side of science or rather the scientific side of comedy. Anybody remembers Mapepe's 3+2=32? A high school math teacher teaching vectors illustrated the difference between AB and BA by asserting that surely 34 was not equal to 43...
ReplyDeletekwi! kwi! kwi!...Heh! Heh! Heh! Heh!....Hah! Hah! Hah! Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah!...aaaaaghrrrr...watyaaah!!!!!!.....Duh! yaaani nimecheka mpaka basi!!!...jamani hata bongo watu kama hao wapo weeengi!!....LAKINI hao jamaa WAME-DEFEND vizuri sana!!!.....ukiwa elimisha wataelewa theory of mathematics!!!...lakini hii pengine itasaidia kugundua kitu mbeleni...watu kama hawa ni muhimu pia...wanaleta Challenge!!!!!!
ReplyDeletehii itamfurahisha hata yule aliyenuna..
ReplyDeleteAaah, this grandma and pa are very smart, yes can be the answer just like 1+1, can be 11,or 2.
ReplyDeleteHahahahaha
ReplyDeleteHii imetulia, Hata wale mliopata F ya hesabu form four, mnaweza kuappeal!
ReplyDeleteNimeipenda....hii ni mambo ya hoja.
Hahaha usicheze na wabishi wasioenda shule wataona siku zote wanaonewa kwakwakwa kwewke.
ReplyDeleteMwalimu: Madenge 1X1 ni ngapi?
Madenge: Mwalimu ni 2.
Mwalimu: we Madenge Mjinga 1+1= ndio 2 ila 1X1= na 1.
Madenge: Hahahaaha Mwalimu nilikuwa nakutega tu nione kama kweli wewe Mwalimu wa Hesabu? au Umeletwa tu kutusomesha Uongo nilikuwa najuwa kama 1X1= na 1. From Pazi.
Good!
ReplyDeleteCheck this also
http://www.youtube.com/watch?v=rLprXHbn19I
kaka michuzi nimesikia kuwa hii clip imetoka kwenye movie moja ya zamani,je unaweza kunipatia jina la hiyo movie..please
ReplyDelete