bofya mshale kuangalia video hii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Heheheheeeeeeeeee uncle Michuzi hawa watu hawafai hata kulumagia

    ReplyDelete
  2. Absolutely fabulous. It all shows the funny side of science or rather the scientific side of comedy. Anybody remembers Mapepe's 3+2=32? A high school math teacher teaching vectors illustrated the difference between AB and BA by asserting that surely 34 was not equal to 43...

    ReplyDelete
  3. kwi! kwi! kwi!...Heh! Heh! Heh! Heh!....Hah! Hah! Hah! Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah!...aaaaaghrrrr...watyaaah!!!!!!.....Duh! yaaani nimecheka mpaka basi!!!...jamani hata bongo watu kama hao wapo weeengi!!....LAKINI hao jamaa WAME-DEFEND vizuri sana!!!.....ukiwa elimisha wataelewa theory of mathematics!!!...lakini hii pengine itasaidia kugundua kitu mbeleni...watu kama hawa ni muhimu pia...wanaleta Challenge!!!!!!

    ReplyDelete
  4. hii itamfurahisha hata yule aliyenuna..

    ReplyDelete
  5. Aaah, this grandma and pa are very smart, yes can be the answer just like 1+1, can be 11,or 2.

    ReplyDelete
  6. Hahahahaha

    ReplyDelete
  7. Hii imetulia, Hata wale mliopata F ya hesabu form four, mnaweza kuappeal!

    Nimeipenda....hii ni mambo ya hoja.

    ReplyDelete
  8. Hahaha usicheze na wabishi wasioenda shule wataona siku zote wanaonewa kwakwakwa kwewke.

    Mwalimu: Madenge 1X1 ni ngapi?

    Madenge: Mwalimu ni 2.

    Mwalimu: we Madenge Mjinga 1+1= ndio 2 ila 1X1= na 1.

    Madenge: Hahahaaha Mwalimu nilikuwa nakutega tu nione kama kweli wewe Mwalimu wa Hesabu? au Umeletwa tu kutusomesha Uongo nilikuwa najuwa kama 1X1= na 1. From Pazi.

    ReplyDelete
  9. Good!

    Check this also
    http://www.youtube.com/watch?v=rLprXHbn19I

    ReplyDelete
  10. kaka michuzi nimesikia kuwa hii clip imetoka kwenye movie moja ya zamani,je unaweza kunipatia jina la hiyo movie..please

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...