Illuminata Wize, Miss Tanzania 2009 walks the runway featuring BSC Swimwear with shoes by Nina Footwear at the Radisson Our Lucaya Beach and Golf Resort, Freeport, Grand Bahama on Sunday, August 9, 2009.
The 84 Miss Universe contestants are vying for the Diamond Nexus Labs Crown set to air Live on NBC and Telemundo starting at 9:00 PM ET on August 23, 2009 from ATLANTIS, Paradise Island. Photo by Miss Universe Organization L.P., LLLP.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Maria - ushauri wa bure kwa mwaka kesho. Hawa wasichana inabidi muwafanyishe mazoezi sana, ili wa tone muscles. ni msichana mzuri na mwili mzuri, lakini muscles zake hazina definitions. Nadhani kwa case ya flaviana mwili wake uko naturally toned. lakini huyo ange lift some weights for a month angepata definitions. thanks

    ReplyDelete
  2. Huh huyu dadaa kumbe ni mchanga...!! ukimuoana amevaa nguo full haionekani kama ni mchaga.Ila hapa ndiyo muonekano wa kichaga huko mwake.Wow. She looks good to her best.

    ReplyDelete
  3. ovyoooooo......kisha wanawake wadai wanadhalilishwa ilhali wanajidhalilisha, ukibwaka inakua sooo, hebu jitulizeni wasichana nn kuiga mila za watu.
    ushauri wa bure kama msichana mwenzio.

    ReplyDelete
  4. Namba moja nakubaliana na wewe huku ulaya watu wanafanya liposuction na mazoezi kwa sana huyu ni ana mwili mzuri ila kajitumbo kanajitokeza ka mafuta inaonyesha wazi angefanya jitihada za kunyanyua vyumba na kwenda mazoezini kila siku angekuwa na chansi kubwa ya kushinda ila kwa huyo mwili, I doubt it. Ila tz ndio tunajifunza kidogo kidogo mwishowe tutajulikana kote, i.e. thabit hashim licha ya kwamba sijawahi kumwona kwenye vimbwanga US na mie nina fanya nao kazi, but we will see. Good job TZ.

    ReplyDelete
  5. Goodmorning, good afternoon and good night ladies and gentlemen...hakika lazima wasichana wakishiriki vitu kaa hivi wapige GYM yaani mazoezi ile musols zikaka mae kidedea..kitumbe hakirizishi na mikoni ime cholola na mapaja yanasema goodbye..binti kwa uzuri ni mzuri ila ndo hivyo musols zake lazima zikakamae haswaa..good luck lady.Godbless u.

    ReplyDelete
  6. ushauri wa bure kabisa nakubaliana na anony wa kwanza kwamba wewe ilum bakia hapo ulipo ikiwa umeshindwa kabisa kupunguza hiyo spare tyre dogo dogo mhh shape mbaya sana kinachokupa tough ni wembamba jamani.

    ReplyDelete
  7. Naamini atafanaye vizuri kila la kheri la Iluminata ..Kila la heri Marie Sarungu ..

    Go tanzania

    ReplyDelete
  8. DAH!!! Nakufa mwenzenu mie. yani hapa kalibakia kanguo kamoja tu kazi ianze!!! dah dunia hii!!!
    mungu ahsante kwa kuumba mwanamke, wao ni azina ya pekee duniani humu. ila sasa tatizo eeh mungu viumbe hawa mapozi yamezidi yani hadi inakera, wanatutamanisha ila ukijaribu tu ndoano mapozi debe aaaagh!!! sasa kama ni hivyo kwanini mnakuja disco na visketi vifupi mpaka ukiinama kila kitu kinakuwa ni kama self service?? aaagh!!
    Francis.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...