Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa Marcio Maximo akiongea na wanahabari jijini Dar leo wakati timu ya taifa Taifa Stars ilipokabidhiwa Bendera ya Taifa tayari kwa safari ya kuelekea Kigali Rwanda kwa mchezo wa kirafiki na timu ya Taifa ya Rwanda itakayochezwa katikati ya wiki hii nchini humo. Shoto ni Naibu mkurugenzi wa Michzo kutoka wizara ya habari, utamaduni na michezo Bwana Charles Matoke na Meneja uhusiano wa Serengeti Breweries Teddy Mapunda kulia
Home
Unlabelled
taifa stars tayari kwa safari ya rwanda
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Thedy Mapunda mdogo wangu umenenepa sana, yaani tumeolewa tarehe ,siku moja na mwaka mmoja, 28 June 1997, unakumbuka? wee mdogo kwangu ila umepata kazi nzuri naona umesahau gym! kazana mdogo wangu, umekuwa mkubwa mno!
ReplyDeleteHIVI NINI SABABU YA KWELI KWELI YA KUMUACHA KASEJA NESHNO TIMU?? MI NAONA KAMA HIZI SOUND ZA MAXIMO KUHUSU UZALENDO NA UREFU NI BULL SH*T. anakwenda safari na kipa anayeumwa tumbo (Dihile) WHAT FOR????!!!! HATA KAMA ANA BIFU NAYE, KASEJA IS THE BEST GOLIKIPA BONGO. Ni Mtazamo tu wadau.
ReplyDeletemdau deslam
na pia nidhamu ni kitu muhimu sana kwenye michezo tatizo mtu akishakuwa almaarufu bichwa hilo dharauu kwa kwenda mbele ndo hivyo sasa mdharau mwiba mguu huota tende! paula abdul naye kaleta nyodo fukuzilia mbali sikio halizidi kichwa
ReplyDeletemdau canada