Home
Unlabelled
JK afungua ofisi za mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali mkoani singida
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Audit fee kubwa sana,hebu angalia upya suala hili.Mwaka jana peke yake fee imepanda mara 12 zaidi ya mwaka uliopita kwa taasisi ninayofanyia kazi!! Aditors wanapenda ofa sana na wanaomba allowances! kwani hawalipwi huko kwenye firm ulizo outsource? halafu wasumbufuuu sanaaa wanatuma kama wahindi wakati documents zote ziko hapo hapo mezani!!!
ReplyDeleteJK UNATISHA KWA KULA PAMBA ZINAKUKUBALI SANA.UKITAKA KUOA MKE WA PILI DADA YANGU YUPO.
ReplyDeleteUnajua Mh. Rais mkandarasi aliyejenga jengo anashukuru kwa kazi tuliompa, hivyo kaomba tafadhali upokee ahsante yake ambayo ataipitishia kwangu!! Tafadhali sana sana naomba umuelewe, yeye huwa ni mtu makini sana naamini kwa hili atatutunzia heshima!!
ReplyDeleteNampongeza sana Bw. Utoo kwa jinsi anavyofanya kazi yake kwa uhakika. Ma-CAG wa zamani nadhani walikuwa wanacheza tu - walivaa tu suti zao na kuendeleza umangi meza.
ReplyDeleteWatu makini kama Utoah wanahitajika kila sehemu katika Taasisi za umma. Japo jamaa amejijengea maadui wengi sana kwa upande wa mafisadi serikalini ila ana credibility kubwa sana miongoni mwa watanzania wapenda maendeleo.
ReplyDeleteJamaa alipokuwa NBAA alifanya vizuri sana kazi yake. Tatizo ni kuwa washauri wa rais sometimes wanamdanganya awabadili watu wazuri kama Utoah sehemu zao hasa wakiona maslahi yapo hatarini, Mfano mzuri ni kuhamishwahamishwa kwa John Pombe Maghufuli katika wizara ambazo ni za ovyo ovyo lakini akifika tu anabadili mambo zinakuwa za maana.
JK tafuta Utoah kama 30, Maghufuli 20 wape nafasi za muihimu serikalini, utaona nchi itavyopiga hatua. Achana na uswahiba hao ndiyo wanakuangusha kwani wanakuwa na kibuli wakijua kuwa hata wakiharibu watalindwa.
Stupid idea toka mwanzo. Tatizo sio ofisi za kufanyia kazi Singida, tatizo ni vyombo vya kufanyia kazi kama laptop na watu waliosomea ukaguzi na udhibiti hesabu na uhasibu kwa kiwango cha juu. Ukifuatilia haraka mkguzi mwenye laptop naweza fanya kazi yake popote pale na kufutilia mambo haraka sana na kuyadhibiti huko huko.kama wakaguzi wa hesabu wa ndani, wameshibishwa rushwa na wako hapo hapo, nini CAG office itafanya wakati huwa inafanya ukaguzi three years after wizi umefanyika.
ReplyDeleteUtoh mwizi tu, kwani sijasikia hata siku moja tarifa yake imemfunga chief accountant wa wizara, au mkoa au dept kwa wizi uliofanyika. CAG watu wake waliosomea ukaguzi hadi level ya CPA ni wa kuhesabu, wanatakiwa kuwa wasomi wa multidisplinary, amabao wanaweza ona wizi katika aina zote.Wizi wa maliasili na uhasibu, wizi wa kidaktari na uhasibu, wizi wa ki-engineer na mahesabu, wizi wa kipolisi na uhasibu,wizi wa ushuru na kihasibu etc. Angalia wakaguzi wa Pricewaters, Deloitte, Ernst young na KPMG jinsi wanavyojua kazi na walivyo maltidisplinary. Wanagundua wizi bila kumyanyasa mtu na wanasema ukweli hapohapo. Cheki uozo waliougundua BOT nk, wanatakiwa watumwe every five years katika maidara korofi ya serikali kama Ikulu, fedha,polisi, jeshi, ujenzi na mikoa kama Arusha, dar na mwanza inayoongoza kwa wizi wa kihasibu.
CAG badala ya kupunguza gharama , inaiongezea gharama serikali, kwa kujenga ofisi singida, badala ya kubaki na moja tu ya Dodoma na kuifanya zonal office kwa ajili ya mikoa minne ya kati, ikiwamo Singida.
Utooh ni mashine.
ReplyDeleteNampongeza JK kwa kuchagua kifaa