Home
Unlabelled
katunisti nathan mpangala akiwa kwa watani wa jadi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Haa haa mateja. lakini tusicheke saana Wenzetu wametupiga bao wamejaa huku US ati wanafundisha kiswahili manake funguo = kifunguo, nguo = manguo, wali = mchele.
ReplyDeleteLugha Ngumu sana hiyo lakini nafikiri Tafsiri sahihi kwa "Customers Parking and Deliveries" ilipaswa iwe "Maegesho ya (Kwa) Wateja na Uchukuzi" Nipo wazi kwa masahihisho...
ReplyDeleteduh,watani bwana! maegesho ya mateja?
ReplyDeletehawa jamaa, nao wamezidi, duh mateja, wawaulize wabingo mateja ni nini. halafu hawa jamaa ni wabishi ukiwaambia kiswahili cha Wabongo hawakubali na ni wabishi kwani wanajifanya wanajua kama nakwenda kwa toilet, hii mazee ni gani tena, chakula hiki kinanuka vizuri badala ya kunukia, huyu bibi yangu hapo anakusudia mke wake, hii kitu niliweka kwa meza iko wapi, hao ndio watani wetu.
ReplyDeleteWanatengeneza namna yao rahisi ya kuwasiliana.
ReplyDeletenyie hapo juu amjui kiswahili hapo wanamahanisha sehem ya mateja wanaokula madawa .unga, sio mteja mnavyo fahamu ndio mahana wanatupiga bao,hapo napajua mateja huwa wanakula unga hapo na ni sehemu specil kwa wauza unga jamani mateja wa bongo du,KWELI WALA VUMBI NYIE,
ReplyDeleteATI SWAHILI GANI NGUMU ISIOELEWEKA HAPO KWA BANGO,
ReplyDeleteWE HAPANA JUWA MATEJA NI WALA UNGA!!
NA MAGARI YALOEGESHA NDO YASHAPAKIA UNGA YENYEWE.
SWAHILI HIYOHIYO MNAYOTUMIA HUKOHUKO NDO SWAHILI HII HII TUNATUMIA HAPAHAPA
MMEZALIWA JANA NINI? EMBU PELEKENI SHAMBA YENU HUKO KWA MBELE.
haha kenya ndio zao pale nairobi airport niliona toilet zemeandikwa CHOO LA WANAWAKE na CHOO LA WANAMME nilicheka sana,tena nikaona fire exit imeandikwa LANGO LA MOTO,du yaani safari nzima nikawa nacheka mwenyewe
ReplyDeleteyaani wabishi kinomaa nipo nakamuanao md hapa tupo house moja.Utalala kwenye kochi anakwambia utalala kwa kochı
ReplyDeleteanon 11:20Am na ww inabidi ujifunze kiswahili fasaha.Sio wanamahanisha bali ni wanamaanisha.
ReplyDeleteSio mahana ni maana.
Wakati nakula buku Nairobi, wakikuyu na wajaluo walikuwa wananicheka sana eti nakosea kiswahili!! yaani mbongo wa Dar anaweza kufundishwa kiswahili na mkikuyu au Mjazee(jaluo) wa Nairobi!! impossible! jamaa ni wabishi na wanaamini wabongo hakuna tunachokijua zaidi ya kuongea kama kasuku.
ReplyDeletelakini siku hizi naona waganga wa kibongo wamevamia Nairobi wanaonyesha kuwa hata wabongo wana akili manake wanawatapeli kishenzi!
We anon 5:32.00. umenifurahisha sana. Hii kali
ReplyDeleteKwenye kiswahili hakuna neno MATEJA kwa hiyo sote hatujui kiswahili fasaha.
ReplyDelete