MAREHEU ETHRO GADAU WELLA

Mwaka mmoja umepita, tarehe 07 August 2008 tunaikumbuka kwa uchungu mkubwa ambapo mpendwa wetu Ethro Gadau Wella ulituaga na kutuacha mme, watoto na wajukuu wako.

Ijapo tulikulilia kwa majonzi na huzuni kubwa, lakini Mwenyezi Mungu alikupenda zaidi na tunamshukuru kwa kila jambo hususan faraja kubwa na nguvu anazoendelea kutujalia huku tukiwa na matumaini ya kuwa iko siku tutaonana.

Misa ya kumwombea itafanyika Ijumaa tarehe 07 August 2009 saa 11.00 jioni katika Kanisa la Mtakatifu Gaspary, Mbezi Beach, Dar es Salaam.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe
Amina

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. rest in peace aunt. will always cherish ur wisdom and guidance. God Bless

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...