Hi bro ,Mimi ni wedding planner nimeanzisha blog itakayo husu mambo ya shughuli,minuso mbalimbali,napenda unitambulishie wa wadau .
Asante
Dada joan

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. za kinyaturu au kizungu?

    ReplyDelete
  2. Michuzi ur such a hater....acha
    roho mbaya na kiroho cha kwanini
    wewe ki ukweli hauko smart sema
    u like portraying like one,
    michuzi kama sio sisi hii blog unayoita ya jamii isingekuwa hapa
    pia acha Unafki na kubabaikia
    watu fulani fulani especially
    wenye majina bongo,fala wewe hawakupi chochote,acha kubabaikia vitu visivyo na msingi,tabia yako mbaya fala wewe,tumekutoa mbali
    wewe unasahau tulikuwa tunakutuma kupiga picha wewe????na yes and no yako leo unajiona mjanja??????
    dawa yako inachemka!!!!

    ReplyDelete
  3. najua utabana comment niliyotuma sema msg sent ujumbe umeupata
    Dawa yako inachemka!!!Mdau ughaibuni

    ReplyDelete
  4. jitambulishe mwenyewe kwani anko michu alitambulishwa nani ala!

    ReplyDelete
  5. Jamani mbona mnamkwaza mkuu wa wilaya kwenye ramadhani lol!!

    ReplyDelete
  6. Mimi niko ughaibuni and I love love Michuzi wewe acha shida zako hizo usimtia mikosi baba wa watu kuku we

    ReplyDelete
  7. Joan kazi nzuri dada mimi nina ushauri kwako...sasa kujimarket dear inabidi ublog kuhusu what you (yourself) do na creations zako unazofanya au ulizofanya hapa unablog mambo wanayofanya huko ulaya au yaliyofanyika kwenye harusi za TZ (ujasema wewe unaplay part gani katika hizi harusi) lakni wadau tungekuwa interested kuona kazi yako hiyo ingesaidia pia na wewe kupata soko. Umesema disgner coordinator labda unafanya zaidi ucoordinator kumtafutia bi harusi venue ya dream yake etc hayo ungesema au unadesign upambaji etc basi ungepiga picha sehemu uliyopamba au brise uliyemdesign hata kama bila sura maana watu wengi hawapendi kupigwa picha na kutundikwa kwenye site unaweza tu piga picha mahali ulipopatayarish au kupagundua au mavazu uliyodesign etc...Haya dada bado unakazi hayo ni mawazo tu I hope yatakusaidia.

    ReplyDelete
  8. MICHUZI NI MWANADAMU TUSITAKE KUMGEUZA KAMA NI MALAIKA HAWEZI KUWARIDHISHA WATU WOTE LKN WOTE TWAONA KAMA ANAJITAHIDI ATLEAST TO MAKE PEOPLE HAPPY.KAMA ULITUMA POST NA HAKUITOA AU COMMENTS SIDHANI AU SINA UHAKIKA KAMA KAFANYA HIVYO ETI KWAKUA HAKUPENDI AU KAKUDHARAU WEWE KAMA WEWE.HII INAKUONYESHA UPO SELFISH KIASI GANI UNASAHAU AU HUJALI KABISA KAMA PIA KUNA WENZIO WENGI TU NAO POST ZAO HAZIJATOLEWA.ETI ULIMTUMA KUKUPIGA PICHA SO WHAT B????UNATULETEA STORI ZA KWENYE ALBUM SAA HIZI HAPA WEE ULIEMTUMA MICHU KUKUPIGA PICHA TU UNAJISIFU NAMNA HIO JE UNADHANI HAMNA WALIOPATA KUMTUMA JK??MBONA HAWAJISHAUI KAMA WEWE NA JK HAJAWAPA POST ZA JOB WALA NINI,KWANZA SIONI AJABU MM JINA MUHIDIN/ISSA MICHUZI NAANZA KUJUA KUSOMA NALIONA LIPO JUU TAYARI SIO LEO KWENYE BLOGU HII TU.HUYU BWANA KAMA SIO YEYE BASI NI BLAZAAKE ATAKUWA ALIKUWA NDIO MPIGA PICHA WA GAZETI LA DAILY NEWS KILA PICHA KARIBUNI UTAONA BY MICHUZI SASA WEE UNAEDAI NDIO ULIOMTUMA NADHANI UKAPIME NA MALARIA MJOMBA.TAFUTA KASHFA NYINGINE KWAHIO UNAZIDI KUMUWEKA JUU TU KUPIGA PICHA NDIO PROFESSION YAKE HUYO.NDIO SAWA NA WALE WANYWA KAHAWA WA KIJIWE CHA KARIAKOO WANAODAI WASHAMTUMA SANA TAJIRI BAKHERESA KUWASHONEA VIATU VYAO ENZI HIZO WAKATI WANAPOLALA MVUA IKINYESHA NI MZOZO.

    ReplyDelete
  9. he mbona hivi tena kulikoni mbona watu wanawekeana mikwara kunani pale au aina ya wivu fulani

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...