JUMUIYA YA WATANZANIA WA UAE
inatangaza
TAARIFA YA KARAMU YA KUFUTURU RAMADHAN 2009

Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania wa UAE unayofuraha ya kuwaarifu WATANZANIA WOTE wanaoishi UAE kuwa kutakuwepo na Karamu ya Kufuturu ya WATANZANIA wanaoishi UAE.

MAHALI: OFISI ZA UBALOZI MDOGO, DUBAI
TAREHE: 4 SEPTEMBA 2009 (RAMADHAN 14, 1430)
WAKATI: SAA 12.30 JIONI
WOTE MNAALIKWA

Michango toka kwenye Kampuni za Watanzania zinazofanya biashara UAE inakaribishwa kwa watakaopenda kushiriki kwenye udhamini wa karamu.
Kwa taarifa zaidi au uwasilishaji wa michango, wasiliana na mmoja wa waratibu wa maandalizi ya karamu:

Bw. MOHAMMED SHARIFF, 050 7751075
Bw. MBARAK AHMED, 050 5817770
Bw. SHABBIR DAMJI, 050 6447915
BW. ISSA MAGGIDI, 050 2270169
BW. MOHAMED MANJI 050 6455779
BW. HASSAN ABRI 050 7981478

Kwa hisani yako mpe taarifa hii Mtanzania mwingine unayemfahamu anaishi Abu Dhabi, Dubai, Sharjah, Ajman, Um Al Quwain, Ras Al Khaimah na Fujairah

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Na mabwana damji na manji pia wamo...basi hatari,hizo tende zitasalimika???

    ReplyDelete
  2. NautiakasiAugust 31, 2009

    Jamani sio KUFUTURU ni KUFTAR..!Tunachokila ni ftar si futuru..! Futuru ni matusi kwa kitaalam ni "rectam".

    ReplyDelete
  3. SIO kuftar NI kufturu..!Kwahio kama tunachokila ni chakula basi tuseme KUCHAKULA NA SIO KULA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...