Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Agoia kwa apparel (nguo) sisi ni washoni tu - fundi cherehani.

    Pamba yetu hawaitaki - wanataka tununue pamba yao au ya kutoka kwingine!

    Ni kitu kimoja kwa Amerika kusema leteni vya kwenu; ni kitu kingine kwa m-Amerika kuweza kununua hata tunda la kutoka Afrika!

    Hapa New York, vingi vya kutoka nchi maskini huwa vinauzwa huko kwenye 99 cent-Stores (hasa vya kutoka Mexico) na vilivyoingiz ki-feki kutoka Asia.

    ReplyDelete
  2. Kwani ni kweli export zetu huko america ni sifuri hadi leo hii agoa ina miaka ya kijana wa zaidi ya miaka 18?

    ReplyDelete
  3. michuzi umeonekana live sky television unakijua kimombo.hongera sana.

    ReplyDelete
  4. aaaah michuzi nimekuona hata mimi kwenye sky - Swahili Diaries(BEN - 184)...mbunge wa nanihii umejitahidi.....hongera!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...