The Ngoma Africa band
Bendi maarufu ya mziki wa dansi barani ulaya "The Ngoma Africa Band" juzi siku ijumaa 31.07.2009 walijikuta wakiishia uwanja wa ndege wa Bremen,huko Ujerumani baada ya idara ya usalama wa anga kutoruhusu ndege yeyote kuelekea katikia kisiwa cha "La Palmas" ambako bendi hiyo ilitegemewa kutumbuiza katika onyesho maalumu.

Kisiwa cha La Palma, kilichoko huko Hispania kimeshika moto na huduma zote za safiri wa ndege zimesimamishwa, na zimesababisha pia kutosafiri kwa bendi hiyo maarafu "The Ngoma Africa" aka FFU.

Ilikuwa wasafiri kwa ndege maalumu ya kukodi wamejikuta wapo uwanjani na HAKUNA SAFARI.

bendi hiyo ndiyo inayoongoza kwa kukamua na kuwatia kiwewe washabiki

bofya chini kusoma jarida la africa news uone mambozzzz.

entertainment/the-ngoma-africa-band-
continues-to-thrill-fans.html

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mungu mkubwa,afadhali mpumzike majumbani kwenu.

    ReplyDelete
  2. kule kisiwani kuna moto,inakuwaje mnataka kupeleka moto mwingine?tena mngewaka,na virungu vingegeuka mkaa,salama yenu

    ReplyDelete
  3. te!te! FFU wamehindwa kufanya kazi askari wa ZIMA MOTO?

    ReplyDelete
  4. kaka braza ras,ndio kusema vunja jungu lingekuwa kisiwani La palma?
    inaelekea mlikuwa na vijimamboz kule

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...