napenda kutumia nafasi hii kuwashukuruni wote kwa maoni yenu yaliyosababisha kuliboresha hili jarida number 10.

tunajitahidi kuwapatia burudani wapenzi wote wa soka ndani na nje ya nchi,
safari hii jarida la number 10 limefanya mahojiano na beki wa zamani wa ufaransa marcel desailly, pia tumeenda mpaka south africa na kuangalia maendeleo ya maandalizi ya fainali za kombe la dunia.

mambo yapo mengi kwakweli, chukua tu copy yako uone...
please please tuwasiliane kupitia

au
+ 255 713 350833

cheers!
shaffih dauda

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. mmetujuza habari za taifa stars ya 1980 bila kumtaja beki namba 4 Salim Amir(beki wa coastal union na alimweka benchi Tenga kwenye kikosi cha cha kwanza cha mpoland Slamowik wolk)

    ReplyDelete
  2. hamna hata ka websaiti jamani au ndo mnaijenda bado haijaisha oki powa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...