Mwenyekiti Mstaafu wa Jumuiya ya Watanzani UAE Eng. Shaaban Mgido akimkabidhi Counselor General wa Tanzania ndani ya Dubai na Emirates za Kaskazini, Mheshimiwa Ali Ahmed Saleh hati ya shukran kwa mchango wake mkubwa katika uanzishwaji wa Jumuiya hiyo.
Counselor General wa Tanzania ndani ya Dubai na Emirates za Kaskazini, Mheshimiwa Ali Ahmed Saleh akiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania UAE Arch. Mohammed Shariff shoto na Mwenyekiti Mstaafu wa Jumuiya ya Watanzani UAE Eng. Shaaban Mgido.

Picha ya pamoja ya watendaji wa Jumuiya ya Watanzania UAE na Couselor General, toka shoto ni Bw. Shabbir Damji - Katibu Mkuu, Bw. Mohammed Shariff - Mwenyekiti, Mheshimiwa Ali Ahmed Saleh, Bw. Mbarak Ahmed - Makamu Mwenyekiti, Eng. Issa Majid Maggidi - Naibu Katibu


Counselor General wa Tanzania ndani ya Dubai na Emirates za Kaskazini, Mheshimiwa Ali Ahmed Saleh akikata utepe kwenye ufunguzi wa ofisi ya Jumuiya. Shoto kwake ni Mwenyekiti wa Jumuiya Arch. Mohammed Shariff na kulia ni Makamu Mwenyekiti Bw. Mbarak Ahmed.



Counselor General wa Tanzania ndani ya Dubai na Emirates za Kaskazini, Mheshimiwa Ali Ahmed Saleh akimnasihi Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania UAE Arch. Mohammed Shariff





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Interesting. It all makes some old memories flood back to me as it takes me back almost sixty five years when, as a chairman of Tabora students at Tabora School, we formed the Union of Taborans and our Headmaster, Mr. Ray Bensons, banned it on the grounds that we were only allowed to form such as union if we were away from Tabora. So the following year, almost sixty four years ago, most of us moved to Pugu just to keep up the spirit of our union. The final outcome was even more interesting - sixty five years on, none of us has ever been back to Tabora!

    ReplyDelete
  2. Ndiyo ndiyo..watu wanajua kweli kutafuta kula na kujulikana kiulaini.Upendo na uaminifu kati yetu aaaah..
    Mungu ibariki Bongo.

    ReplyDelete
  3. Ovyoooooo!

    ReplyDelete
  4. Umoja wenu unatuhela mpaka ofice mnayo? Member fees ni Dollar ngapi

    ReplyDelete
  5. Hii clabu ya familiaa eeenh?!

    ReplyDelete
  6. arch, eng,
    inahusuuu?
    ubishololo tuu

    ReplyDelete
  7. WADAU WENGI WALIOTOA COMMENTS WAMEBEZI KULE KULE KWA SIKU ZOTE KUTOKANA NA MAJINA HEHEHEH.WAKATI SWALA HILI NI LA KILA SIKU MIMI KULIONA KATIKA BLOG YA JAMII.KAZI KWENU KUJENGA AMA KUBOMOA

    ReplyDelete
  8. Ni juhudi nzuri za kijumuia, pia nadhani warasimu (bureaucrats) waandamizi wa serikali ya Tz wakipita UAE mbali ya kukutana na Balozi/Mwakilishi maalumu, pia wakutane na jumuia kama hizo ili kutafuta masoko na ajira kwa wa bongo.

    Pia kutokana na uhusiano wa jadi kati ya afrika mashariki na nchi za Ghuba, serikali ingeingiza somo la lugha ya kiarabu ktk shule za msingi/sekondari sambamba na kifaransa.

    Maana kiswahili na kiarabu ni mtu na binamu yake, litakuwa somo rahisi la lugha ya kigeni, visheni ikiwa kufaidika kibiashara, kiajira huko nchi za Ghuba.

    Mdau
    Benson John
    Kuwaiti

    ReplyDelete
  9. wewe abduraham husein siulikua cafu mkibwa wewe wakupigana sasa mbona uko ccm, au kwasababu ya neem ya shemeji , achane unafiki

    ReplyDelete
  10. kuna mpemba akahama kafu?
    hapokunatafutwa uluwa tu ndugu yangu na kimbelembele!

    ReplyDelete
  11. mimi naishi hapa dubai ni mgeni na sijafahamiana na waswahili wengi, kuna jamaa nilikutana naye katika mazungumzo alinipatia web address ya hii jumuia, napenda kuwa mwanachama. napenda kujua hii office ya jumuia iko maeneo gani?
    vilevile ningependa kuona picha kama hizi kwenye website yenu pia.
    kwanini hamu update?

    ReplyDelete
  12. Yaani nyie wote ma Engineer?sasa mnafanya nini huko si mrudi nyumbani mjenge Taifa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...