Rais Rupia Banda wa Zambia akimkaribisha JK muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Lusaka jumapili jioni ambapo anahudhuria mkutano maalumu wa nchi za Maziwa makuu.
JK akipokea shada la maua toka kwa kijana aliyejumuika na watanzania wengine wanaoishi Zambia kumlaki uwanja wa ndege
JK na mwenyeji wake wakisalimiana na wananchi baada ya kuwasili Lusaka



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. JK kapendeza hizo nywele ni wave au macho yangu?

    ReplyDelete
  2. raisi wetu angependeza sana kama angewekewa STYLIST si mnamwona OBAMA? anakatwa nywele chini haswa ila raisi wetu bado ana zulia kichwani, na kicheko cha nguvu kinachoweza kumtoa nyoka pangoni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...