Home
Unlabelled
mnuso wa mwisho wa kila jumapili thai village kwa jide
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hapo Kanumba yupo airport?
ReplyDeleteflaviana, taratibu na hiyo mikanda ya kanchiri!
ReplyDeleteeti msanii nyota..hehe bongo kwa vituko tu
ReplyDeleteYaani kwa watu ninaowapeeenda hapo Tanzania huyo jamaa Kanumba namwenzake Kigosi nawapenda saana,kwa jinsi wanavyojitahidi kushuti mikanda yenye mafunzo ndani yake,..Kazen buti watoto mtafika mbali na tutawasapotiii.Mdau wa Sous Korea.
ReplyDeleteFlaviana huku majuu kuna vudubwasha vya kuficha mikanda ya sindiria, pia mikanda kubandika ambayo haionekani like that tuwasiliane, maana hapo umechemsha, au ungevaa sindiria isiyo na mianda ni ushauri tu kwa nia njema, sina njia nyingine ya kukupa ujumbe.
ReplyDeleteBonny luv kazeeka sana sio kama nilivyomwona miezi michache iliyopita sijui ni tabu za kutokulala kutwa kupiga disco au nini... afu ka mich kila siku unasafiri mwenzetu mbona unatutia wivu? na sie ukatuachia trip twende.
ReplyDeleteHivi huyu Bonny Luv ni mtoto wa Mzee Kilosa wa Igoma by Night enzi hizo?
ReplyDeleteHIVI KUVAA SIDIRIA PIA NAKO DHAMBI AU???HADI UTIE NA KUFICHA MIKANDA ISIONEKANE MWEEEEE!!BASI TUTAFUTIENI NA VIFICHA VYUPI NAVYO PIA WATU WASIJE KUJUA BURE KAMA TUMEVAA NA VYUPI
ReplyDeleteEBU TUTOKEENI KULE NA NYIE MAJUU MAJUUU UNAFICHA MIKANDA YA SIDIRIA YAKO ILI IWEJE IT DOESNT LOOK BAD AT ALL LEAVE FLAVIANA ALONE
ReplyDeletemay b hiyo ya flaviana ni fashion kuonyesha mikanda ya sidilia.Halafu mbona nilisikia huyo bibie ray to the c ameachana na huyo bwana wa cha arusha?
ReplyDelete