
















Mr. Leonard Thadeo, Director of Sports from the Ministry of Information, Culture and Sports, leaders in Tanzania’s sports, culture and media, diplomatic colleagues, mabibi and mabwana
· It is a pleasure and honor to host this distinguished audience to my home tonight. Thank you for joining us to welcome home one of Tanzania’s fastest-rising young stars -- Hasheem Thabeet. I would like to especially welcome Mrs. Rukia Thabeet Manka, Hasheem’s mother, and all his family here today, along with his many friends.
· Along with so many people throughout Tanzania, we watched with anticipation and excitement this year’s selection for new players to the world’s premier basketball league, America’s National Basketball Association. That night in late June, we cheered as Hasheem was selected as the first round number two overall draft pick to the Memphis Grizzlies.
· As the first Tanzanian to be drafted into the NBA, we were elated at Hasheem’s success. What better ambassador of sport between the United States and Tanzania could there be than a young man who grew up in Sinza, Dar es Salaam, was an exchange student and athlete at the University of Connecticut, and now has been selected to play profession basketball in the United States?
· Adding to the excitement was our knowledge of Hasheem as a person. Mr. Thabeet has been a friend of our embassy for many years, and has generously donated his time and talents to help spread his message of success through hard work.
· In one example of his selflessness and true sportsmanship, when Hasheem visited Tanzania last year, he volunteered to speak to young Tanzanians preparing to depart for study at U.S. colleges and universities. He shared his experiences balancing sports with his class work, and inspired some bright, young Tanzanians to reach their fullest potential during their opportunity to attend U.S. universities
· Hasheem’s success shows how hard work and determination can allow anyone to achieve his or her greatest dream. Sports, like music, design, and visual arts, show us that in open, free societies, such as the United States and Tanzania, great success can come to those who work hard to achieve their goals, not only to those born into privilege. Indeed societies prosper to the extent to which achievement is available to all and not limited to a chosen few. All sectors of American and Tanzanian society can learn from our athletes the valuable lesson of aligning rewards with individual achievement.
· Sports can level the playing field, allowing people from all backgrounds, economic status and faiths the same opportunity to reach the highest heights of their craft, as athletes are judged by how they perform, not where they come from or who they may know. When we participate in sports internationally, our commonness is affirmed in a manner that no political speech can express. Sports then, truly, is a universal language.
· Hasheem’s success in basketball has meant that more and more young Tanzanians are now interested in playing basketball. To encourage this, the U.S. Mission to Tanzania is working closely with the Tanzania Basketball Federation and Basketball Dar to further promote basketball in Tanzania.
· Last September, the U.S. Mission in collaboration with dedicated local partners brought to Tanzania American Olympic Gold Medallist in Women’s Basketball Jennifer Azzi, also an All-Star in the WNBA, as well as Matt Bonner, a Forward for the NBA’s San Antonio Spurs. The players conducted basketball clinics for members of the Tanzania basketball team and local coaches and secondary school students.
· Because of the excitement both in Tanzania and in the U.S. in basketball, encouraged by both President Obama and President Kikwete’s great love of the sport, I would like to announce another basketball opportunity that the embassy is working on with our local partners. In September, we plan to conduct a basketball clinic for a select number of coaches in the United States, fully funded by the American people. We expect the benefits of this coaches clinic to pay rewards throughout Tanzania for many years to come, as new players are encouraged by their dedicated and experienced coaches.
· Hasheem, your success as the first Tanzanian ever to be drafted into the National Basketball Association has opened a new aspect of the partnership between the United Republic of Tanzania and the United States of America. It is my honor to salute you tonight for your great success, brought about through your hard work and dedication to your game. Hongera sana.
Hasheem, Hongera sana, endelea kukuza kipaji chako maana wewe bado kijana sana. Nakutakia kila la kheri katika safari yako hii ya mafanikio na mungu akutimizie haja ya moyo wako. Amen
ReplyDeletePia Dada Rukia (Mama yake Hasheem) nawe pia unastahili pongezi na hongera, hongera sana mama
Fungua njia kwa atanzania wengine hasa watoto wenye ndoto za kucheza NBA...na si kuona kama umemaliza.Be the first to know and show others.Usikumbatie kaka......(Man with no compound suit)KAFANABO
ReplyDeleteHaya washamba mliomkandia naibu waziri wa michezo na ngoma kumpokea hashim nyuso ziwashuke kwa haya!!!! Ngoja nione mtasema nini kwa hii reception babu kubwa tena from USA embassy bongo. Wote mnajua kuwa they gat no time for nobody. Hasheem umetupa heshima kubwa sana na Allah will grant you all you desire. Hongera mama wote tunajua Africa watoto wote hulelewa na kina mama. MAMA VAA UPENDEZE MIWANI YOYOTE UTAKAYO MCHUCHUMIO WOWOTE UUPENDAO, WANAOTAKA KUSEMA WACHA WASEME KWANI ISINGEKUWA WEWE KUMLEA MWANAO ASIGNEKUWA HAPO ALIPO! HONGERA MAMA WEEE UMEFANYA KAZI KUBWA SANA SASA NI WAKATI WAKO WA KUPUMZIKA NA KULA MATUNDA YAKO NA BADO YOUNG AND BEAUTIFUL!
ReplyDeleteKINA MAMA TULIOZAA WATOTO TUNAELEWA WHAT IT TAKES TO BRING A GOOD BEHAVED CHILD SI RAHISI JAMANI, TAFDHALI MUACHENI HUYU MAMA WA WATU. I WAS REALLY PISSED WITH YOU TANZANIANS KUANZA KUMZODOA ABOUT NOSENSE SUNGLASS, NJOONI HUKU NJE MUONE VIBIBI VYA MIAKA 90 VIKO SALOON VINAPULIZWA NA DRIER, LIPSTICK MDOMONI, MCHUCHUMIO NA SUNGLASS DESIGNER THAT WHAT HASHEEM MOTHER WAS PUTTING ON. PLs tujitahidi kuandika vitu vya maana, kama angevaa booty-shot then mngekuwa na uhalali wa kumchambua mama wa watu, mama anajivalia nguo zake za heshima bado waosha vinywa hamnuachi.
Go hasheem!!! TUNAKUSUBIRI HUKU STATES UCHEZE MATCH YAKO YA KWANZA TUTAKUJA KUKUSHANGILIA@!!!!!
Hasheem asivimbe kichwa sana kwani safari yake bado ni ndefu sana na watanzania tusidanganyike na kumsifia kwani ndio kwanza anaanza.
ReplyDeleteAngalia nchi kama Jamaica inavyofanya kwenye mashindano ya riadha Ujerumani wameishapata medali nyingi kama ya mita 100 kutoka kwa Bolt lakini hawajitapitapi kama sisi.
Wake up Tanzania.
Nampongeza Hashim kwa mafanikio aliyoyapata.
ReplyDeletenimeshuhudia mapokezi mazuri tu ambayo Tanzania imemuadalia kijana wake huyu.maandalizi ambayo anastahili.
lakini nimekuwa nikijiuliza iwapo Watanzania wanampa pongezi Hasheem akiwa kama mtanzania mwenzao au wanampa pongezi Hasheem kama ni raia wa marekani ambaye kazaliwa TANZANIA.
Watanzania tuna haki ya kufahamishwa iwapo Hasheem ni raia wa tanzania anayeishi marekani au ni Raia wa marekani aliyezaliwa tanzania.
Tuna haki ya kujuwa hili ili tutakapo endelea kumsifia Hasheem tuwe tunajuwa Tunamsherehekea kama mtanzania mwenzetu au tunamsherekea raia wamarekani ambaye kazaliwa tanzania.
Izingatiwe kuwa sheria za tanzania hazimruhusu Mtanzania kuwa na uraia zaidi ya mmoja.
Tuna haki ya kufahamishwa maswali haya ili tujiweke katika mazingirasahihi ya kumpongeza Hasheem.
Sasa JK nae alienda na family yake kwenye mnuso wa Hashim (sio Hasheem)huko US Embassy? Au hiyo ilikuwa msafara tofauti kwake Ikulu? Kama JK alienda US Embassy hiyo feki sana. Watu wa Protocol mko wapi?
ReplyDeleteBlackmpingo
udo udezue-----------agent wa hashimu
ReplyDeletenigeria kitu nini???
duh!!
hala hala watz msimloge huyu kijana akarudi amevimba miguu kama sio mikono mhh kwa juju tunajiweza
ReplyDeleteJamani jina la huyu ndugu yetu ni Hasheem au Hashimu. Tuelimishane mabwana na mabibi. Michu mdogo wangu, naomba kujulishwa/kuelimishwa.
ReplyDeleteAnny: Tue Aug 18, 04:59:00 PM
ReplyDeleteHuyu jamaa jina lake ni Hashim Thabit kwa kiswahili na Hasheem Thabeet kwa kiingereza ukienda shule then utajua kwa nini wameongeza hizo vowels hapo huwezi kutamka jina lake kama litamkwavyo kwa herufi za kiswahili kwa mtu anayeongea kiingereza! Jueni hilo na muache maswali ya kukosoa!
Allah swt akulinde na akuzidishie afya na furaha ndugu yetu, Mtanzania mwenzetu.
ReplyDeleteMungu ibariki Tanzania na wakomboe WaTanzania kutoka katika janga la umaskini - Ameen
we hapo juu chukua time kule ati jina sijui upuuzi gani ndo hivyo unavyoliona hilo jina yaani hasheem zaa mwanao umwite hashim ati uelimwishwe uzushi tu fungua website ya majina usipokutana na hilo jina umadenge tu!!
ReplyDeletewabongo kweli hamna dogo....hivi na jamaica sijui wafanyeje na yule mjamaa wao anaetoka mkuku kama ferrari ingekuwa ndio katokea bongo yule kila mzazi angempeleka bint yake akaolewe nae tu.na nyie mnaoshabikia kisa US EMBASSY WAMETIA MKONO WAO MMESAHAU KAMA MEDIA NDIO ZIMECHANGIA SANA KUWAWEKA JUU HAO NA NCHI ZAO WAO WANACHOKIFANYA HAPO NI KUWATAKA NA NYIE MUAMINI KUWA KILA KITU BORA KIKO KWAO TU SIDHANI KAMA MCHEZA SOKA WA BONGO ANGESAJILIWA TOTTENHAMN YA ENGLAND UK EMBASSY WANGETHUBUTU KUFANYA UPUUZI KAMA HUO WA HAO WANAFIKI USA.MATATIZO YA WABONGO HAYAISHI LEO LABDA TUCHINJE PAKA KINYAVU NDIO YATAPUNGUA,BINAFSI NAMPONGEZA KUFIKIA HATUA KAMA HIO LKN BADO PONGEZI ZNG NAZIHIFADHI NIKIINGOJEA PERFOMANCE YAKE NDANI YA NBA. I BELEIEVE IT`S EASY TO BECOME NUMBER 1 BUT NOT SO EASY TO REMAIN NUMBER 1
ReplyDeleteHashim Thabit ninakupongeza kwa mafanikio hayo lakini pia kwa KUTOJIFUNGA KITANZI shingoni haswa ukizingatia joto la Dar. Ningependekeza kama wewe bado unajihesabu Mtanzania uwaambie Wamarekani kuwa jina lako ni Hashim Thabit na sio Hasheem Thabeet! Si kazi yako kubadilisha jina kwa kuwaridhisha wao wanavyopenda, bali ni kazi yao kujifunza jinsi ya kulitamka. Ni aibu kukubali jina lako libadilishwe ili wao ndio waweze kulitamka!! kama hawajui kutamka basi wanadhihirisha ujinga. mbona sisi hatubadilishi ya kwao ambayo ni magumu sana kutamka katika Kiswahili!!!!!!!!!
ReplyDeleteHASHIM NI MTANZANIA ANAYECHEZEA MPIRA KWA VISA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Labda aje kuchukuwa mke wa wa uku ili apate kadi ya kijani. Anyway, hongera sana, and all the best.
ReplyDeleteHAYA MLIOSEMA HASHEEM HANA SUTI KULE UWANJA WA NDEGE KAZI KWENU.AIBU YETU? AIBU YAO ? AIBU YAO WENYEWE!!!
ReplyDeleteKitu kimoja ambacho viongozi wetu wanabidi kujifunza ni iweje aandaliwe sherehe na ubalozi wa USA Tanzania na sio chama cha mpira Cha Tanzania? Kwa kuwashtua na kuwawekeni sawa huyo jamaa soon atakuwa ni raia wa USA na nyinyi kwa ujinga wenu wakutotaka kubadilisha sheria ya dual citizenship nawahakikishia kwa sababu nyingi tu moja wapo ikiwa ni TAX atabadilisha uraia si chini ya miaka 2 inayokuja kwani atakuwa anakwalifai kuwa raia wa USA.Hasheem tumemkosa na wala hatakuwa Mtanzania,huo ndio ukweli kwa wanaujua watajua naongea nini.Waamerika wanasamini sana watu wenye vipaji na jamaa anameet criteria zote.Kazi kwenu na sheria zenu ambazo hazisaidia watu wenu.
ReplyDeleteMjusi
Wewe Tarehe Tue Aug 18, 04:23:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous
ReplyDeleteNdio Agent was Hashim ni Mnaijeria, soma wasifu wake hapo chini:
Ugo leads BDA operations in Africa where his basketball roots have enabled him to build an extensive network of contacts. Ugo is passionate about the development of the game of basketball in Africa and through his network, Ugo directs BDA's Early Talent Identification Program as well as basketball tournaments, camps and Basketball Academy's in Africa, Ugo also represents all BDA African players and provides his clients with long term career planning tailored to country of origin, culture and society. Born in Enugu , Nigeria , Ugo played high school basketball at Riverdale Baptist in Maryland . He went on to play at the University of Wyoming and earn a degree in Communications with an emphasis in
advertising and public relations. As a UW Cowboy, his team won two Mountain West titles and made an appearance in the NCAA tournament. Appearing in Sports Illustrated as one of basketball's hidden talents, and a member of both the Nigerian Junior and Senior National Teams, and he also played professionally in Europe . Ugo is the cofounder of the G ive back Africa Program in Ivory Coast . Currently he resides in Laurel , Maryland .
http://www.bdasports.com/ssp/ugo_udezue
Hasheem Thabeet,Deckambe Muttombao,Jerckeryer Mireshow Kickwet,Charlz Hillary,Oberma Barack.SASA NA SIE TULIOKUWA URUSI HUKU TUKIYAGEUZA MAJINA YETU TUTASIKILIZANA KWELI WADAU????
ReplyDeleteHUYU HASHIMU MBONA ANATUFISADI KIMAWAZO! IWEJE AIR PORT AVAE KAPTULA ALAFU UBALOZI AVAE SUTI,
ReplyDeleteWADAU HII IMEKAAJE?????
KWANINI HAKUENDA NA PAJAMA PALE!!!!!
TOA MAONI YAKO!!!
Nakushukuru Anonymous wa (11:08pm)
ReplyDeletekwa kutupatia ufafanuzi juu ya uraia wa Ndugu yetu Hasheem.
Hakika ni jambo linalofurahisha na kutia moyo kumuona mtanzania mwenzetu akipata mafanikio makubwa kama hayo.
Lakini pia kutokana na mawazo ya Anonymous wa (12:02am) anaposema kuwa Hasheem atakuwa raia wa marekani baada ya muda mchache tu kutoka sasa.hivyo kutohisabika tena kimataifa kama mtanzania.
Iwapo Hakeem ataachiwa kuuupoteza uraia wake wa Tanzania, haionekani kuwa hiyo ni aibu kwa Taifa letu.
Ili kuepukana na hatari hiyo inayotukabili wakuu wetu wanapaswa kuzingatia umuhimu wa kuwaachia watanzania kuwa na nafasi ya kuhodhi zaidi ya utaifa mmoja.kwani hali hiyo licha ya kuwanufaisha raia hao pia taifa litanufaika.
Ni lazima Taifa lihakikishe Hasheem mwanamichezo ambaye anasifika kimataifa kutokana na umahiri wake anaendelea kuwa mtanzania daima.
Wee annony wa Wed Aug 19, 01:38:00 AM, siyo kila kitu lazima uchangie ndugu yangu inaonyesha ni jinsi gani ulivyo finyu kimawazo. Swala la mavazi ni kitu kidogo sana ingekuwa kama unafikiria wewe basi watu wa kawaida wangezuiwa wasivae suti kwasababu hata rais anavaa suti
ReplyDeleteWewe unaye dai sijui Mtanania kusajiliwa Tottenham na British Embassy bla bla bla .. hebu tuliza
ReplyDeleteMbona Chalize Therone alipo win Academy Award , alipo rudi South Africa alipokelewa kama a hero na Mandela Juu ..cha ajabu nini?
Ndio tunaanza kuw ana watu maarufu nje ya TZ haswa kwa nchi zilizo endelea tena umaarufu mkubwa lazima tuchanganyikiwe kwani hatuja zoea, hatuna mbaka sasa role model wa kihivyo
Kwa uchache tuu ,Senegal wana Akon ,NIgeria wana kibao tuu ,Congo wana yule Mutombo ,Kenya wana mbaka Obama sisi tulikua na nani? Labda yule Playboy bunny, sikumbuki jina wa kule sijui Sweden ambaye ni half Mtanzania.
Mshiko aliopokea Hasheem ni mkubwa hata kwa wamarekani wenyewe sembuse Bongo, hapo kina choangaliwa ni ile celebrity ststus , haswa mshiko ndio maana hat ahao wa US embassy nao waka babaika na kuongezea siasa juu kufufua uhusiano.
Wewe uliye uliza JK alikuwepo embassy , jibu hapana hakuwepo huyo ni Miraj , anafanana sana na dingi wake.
Haya waosha vinywa , mnasemaje kuhusu hio suti? je mnadhani ilitumwa kwa DHL chapchap kwamba alikuwa hajui avae nini siku ya kwenda IKulu? maana miliongea sana kuhusu kushuka na malapa na ile pensi kule Airport..
kazi kwenu wapambe changamkieni dili hiyo Hasheem huyo A- list celebritry sijui kw aBOngo au America, mwahini manzee ooh tulisoma nae , ooh tulicheza nae basket ,labda ana weza kukurusha au kukupa mshiko au hata kukualika zileparty za macelebrity huko ma US and A ,JP a.k.a. Jump around upo hapo?.
Jama vipi party ya mtaani ya kumkaribisha Hasheem hakuna naye taka kutengeneza pesha chapchap?
Hongera Hasheem!
Hongera Hasheem,
ReplyDeleteKazi uliyoifanya ni ya kuigwa.
Kuingia NBA siyo kazi ndogo bwana :)YES YOU CAN ! :)
Kumbuka njia uliyopitia alafu ongezea kiasi kingine kidogo tu bila ya kusahau kutangaza jina la nchi yako( UTAFANIKIWA TENA ZAIDI NA ZAIDI)
Endelea kutumia nafasi uliyonayo kusaidia idara ya mchezo huo kwa kuinuwa vipaji vya vijana wanaoupenda pale nyumbani.Kama vile kutafuta wadhamini wa kujenga viwanja mbalimbali, kipindi unapokuwa na mda.
Cha msingi ni kuwasihi kuacha tabia ya EGOISTIC, yaani wajiamini kiasi na kujali wenzao.
Mungu akubariki.
K Mmbando
VIVUTIO VYA UTALII VIMEONGEZEKA TANZANIA.
ReplyDeleteHONGERA BWANA HASHIM, NA KARIBU NYUMBANI.
jamani sijaona mtu anatolea comment vijana wa Kikwete; vipi? anyways, the prezidaa has got CUTE boys, big up!!!!!!!!!
ReplyDelete(N.B. sijui kama wote weshapata 'ubavu' wao au naweza kuwapasia wa kwangu!,teh teh teh)
So what is the point of being cute?
ReplyDeleteYou are missing the point here annon wa 03:18:00.
Nyerere ndo alikuwa anajisemea kuwa "kama unadhani hivyo, kanywe nao chai". Joking!
Hasheem usikubali hata kidogo mafisadi wakutumie ku-fuel NGO zao. Maana washakuona na mshiko, hivi ndo wanakuzengea na kukulainisha ujazie bajeti ya serikali ya mafisadi mwakani.
ReplyDelete