Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Baba Tau, Be fair! Do a cartoon about the MEN too!

    ReplyDelete
  2. Ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaa, tehe tehe tehe. Baba tau bwana, kama ulikuwepo. Inaonekana kama wakati wa Ramadhani watu huko ndani ya vazi reeeefu huwa wanavaa vinguo vya ajabuuuuu, sasa kasheshe ramadhani ikiisha wanasahau kurudi katika nguo zao za mwanzo, au wanakuwa wabaya zaidi maana pia miguu na mikono inakuwa imetakata chini ya vasi refu, na nywele vile vile zimerefuka,du.baba tau umenigusa

    ReplyDelete
  3. Wow! Baba Tau wewe kiboko tuna enjoy sana catoon zako zinamafunzo kede kede. Endelea kutupa vionjo mwanawane

    Wadau wa EA......

    ReplyDelete
  4. Wewe baba Tau. Yahusuuu!!!?? Utajiju.

    Kumbuka mwezi huu ni Mtukufu ndio maana ukaheshimiwa. Mwezi huu hata yale maibilisi ktk dini yanakuwa yamefungiwa kufanya uhasi wake kama sio muislamu wacha kama yalivyo kama muislamu soma maandiko HEKIMA ZA MWEZI HUU.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...