Home
Unlabelled
baba tau
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Baba Tau, Be fair! Do a cartoon about the MEN too!
ReplyDeleteHa ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaa, tehe tehe tehe. Baba tau bwana, kama ulikuwepo. Inaonekana kama wakati wa Ramadhani watu huko ndani ya vazi reeeefu huwa wanavaa vinguo vya ajabuuuuu, sasa kasheshe ramadhani ikiisha wanasahau kurudi katika nguo zao za mwanzo, au wanakuwa wabaya zaidi maana pia miguu na mikono inakuwa imetakata chini ya vasi refu, na nywele vile vile zimerefuka,du.baba tau umenigusa
ReplyDeleteWow! Baba Tau wewe kiboko tuna enjoy sana catoon zako zinamafunzo kede kede. Endelea kutupa vionjo mwanawane
ReplyDeleteWadau wa EA......
Wewe baba Tau. Yahusuuu!!!?? Utajiju.
ReplyDeleteKumbuka mwezi huu ni Mtukufu ndio maana ukaheshimiwa. Mwezi huu hata yale maibilisi ktk dini yanakuwa yamefungiwa kufanya uhasi wake kama sio muislamu wacha kama yalivyo kama muislamu soma maandiko HEKIMA ZA MWEZI HUU.