mdau wa boda boda akimuwahisha mteja

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 33 mpaka sasa

  1. Jamii Forums hacked?

    Huu ni ujumbe unaokuja ukifungua Jamii forums:

    Swahili: http://files.uploadffs.com/c/9996c05f/Ppclick.exe Tafadhali shusha kwamba kama tunahitaji baadhi pesa kulipia ni Webhosting na upya ni domain, inaweza kuja kama virusi kwa sababu Ni zituma habari kwamba una clicked yake ili tuweze kupata pesa Una pia kuendesha faili sababu ni kulipa per kukimbia. ENGLISH: http://files.uploadffs.com/c/9996c05f/Ppclick.exe Please download that as we need some money to pay for are webhosting and to renew are domain, It may come up as a virus because It sends information that you have clicked it so that we can get the money Also You have to run the file because it is pay per run.

    ReplyDelete
  2. Kaka Michu, kama usafiri wenyewe ndio huo nina mashaka, hebu angalia alivyombeba, mbona kama ....!!!

    ReplyDelete
  3. huu ni wenda wazimu, sitashangaa kuwa hawa ndio watu wanaosafirisha maiti kwenye masanduku ya nguo

    ReplyDelete
  4. Ebwana eeeeeh hapo nimekubali ubishi nimeweka kushoto,
    kweli afrika siku tutakapopata nafasi ya maisha yetu kufikia kiwango cha wenzetu wa huko nchi za dunian
    na uhakika tutafanya mambo mengi ya maana na ujuzi na ubunifu wa hali ya juu,
    kwa mpango huo sio mchezo ngombe anafikishwa safari yake bila wasiwasi na huyo jamaa ni shujaa wa hali ya juu,

    nimegundua kuwa kuna raia wenye ushujaa wa hali ya juu ambao wangefaa kupewa umeja na ubeligedia katika jeshi bila hata kupitia mazoezi,
    kwani hao wanaojiita wanajeshi wenyewe hawana ushujaa wa watu kama hawa, bwana mkubwa hapo juu ya pikipiki nakupa nyota 3, hongera kaka michuzi kwa kutuwakilishia mambo kama haya, mdau uholanzi sina ubishi.

    ReplyDelete
  5. hahahahahaaah duh...hiki kitakuwa ni kizazi cha kale tu.

    ReplyDelete
  6. mh kama vile anam..... ha ha haa uuuwiiiii

    ReplyDelete
  7. Duh! sijui tueseme ni ubunifu?????

    ReplyDelete
  8. Ingekuwa hapa London huyo jamaa angeweza kukamatwa na wana harakati wa kutetea haki za wanyama na kushtakiwa kwa kukiuka haki za wanyama/Kutesa wanyama, lakini polosi wanaweza kumkamata kwa kudhani labda jamaa ameamua "kupumzika" na huyo ng'ombe!!!!!!Ukiangalia vizuri alivyompkata huyo ng'ombe

    MDAU LONDON

    ReplyDelete
  9. Kweli watu wabishi! Hii yote ni kukwepa gharama za kukodi pickup. Jamma nimemkubali, ila hala hala asije akapata mfadhaiko!

    ReplyDelete
  10. This is just insane, is this a toy or a real cow!? na huyu jamaa amemwekaje hapo na asianguke! kweli tembea uone!!

    Mdau wa Juu

    ReplyDelete
  11. Don't fool us that's plastic cow.
    Mchunga ng'ombe.

    ReplyDelete
  12. Hii Kali ya mwaka Hii ??????? macho yangu au Ndio matatizo yakutumia Computer hapa Bagamoyo na jokes tu ila hii imeniwacha ?????? Pazi.

    ReplyDelete
  13. Mhh..... Inaonekana haka kang'ombe kake kana akili pia. Kwa sababu kameshilia usukani saaaaaaaaaafi. Na wala hakana vurugu. Hapo kakitaka kuchuma dawa sijui ndo itakuwaje. Ingebidi kavishwe nepi ati.

    Kwa kweli shida humpa mtu akili. Necessity is the mother of invetion.

    ReplyDelete
  14. MVUA YA NGOMBE OGOPA LABDA UVAE BUKTA YA PLASTIC.

    ReplyDelete
  15. KAKA MJENGWA HII PICHA NI YA MWAKA GANI?JE NI MIAKA 300 BC?MAANA SIAMINI KUWA KATIKA KARNE YA SAYANSI NA TEKNLOJIA HILI LINAWEZEKANA?-USA

    ReplyDelete
  16. Mamaaaaaa weeeeeeee!! Kwani naota haya maajabu ng'ombe juu ya pikipiki du!! si muchezo mwana!!! wakilisha. sisi huku kwetu hii technologia ikifika itakuwa balaaaa!!

    ReplyDelete
  17. HII YOTE NI MATOKEO YA UMASIKINI

    ReplyDelete
  18. >Most of these laws I find them to be true!!! What do you
    > think????
    >
    > LAW
    > OF QUEUE: Ukibadilisha
    > mstari unapopanga foleni ule uliouacha unakwenda mbio zaidi.
    >
    > ---------------------------------------------------------
    >
    >
    > LAW OF TELEPHONE:
    > Namba unayopiga kwa makosa daima haipo bize (busy)
    > ---------------------------------------------------------
    >
    >
    > LAW OF MECHANICAL REPAIR: Mikono yako
    > inapokuwa michafu pua inaanza kuwasha ili uikune
    > ---------------------------------------------------------
    >
    >
    > LAW OF THE ALIBI:
    > Ukimdanganya bosi kuwa umechelewa kwa sababu gari lako
    > limepata pancha kesho yake utapata pancha kweli
    > ---------------------------------------------------------
    >
    >
    > BATH THEOREM:
    > Ukishajitia maji tu simu itaanza kuita
    >
    > ---------------------------------------------------------
    >
    >
    > LAW OF ENCOUNTERS:
    > Uwezekano wa kuonekana na watu unaongezeka unapokuwa na mtu
    > unayetaka usionekane ukiwa nae
    > ---------------------------------------------------------
    >
    >
    > LAW OF THE RESULT: Unapojaribu
    > kumueleza mtu kwamba mashine/computer yako imeharibika
    > ukiwasha itafanya kazi
    > ---------------------------------------------------------
    >
    >
    > LAW OF BIOMECHANICS:
    > Sehemu inayowasha mwilini huwasha zaidi pale ambapo huwezi
    > kujikuna (kwenye watu wengi)
    > ---------------------------------------------------------
    >
    >
    > THEATRE
    > RULE: Watu wanaokalia
    > viti vizuri ndio wanaochelewa kufika
    > ---------------------------------------------------------
    >
    >
    > LAW OF COFFEE:
    > Ukikaa tu ofisini na kuanza kunywa kahawa yako bosi atakuita
    > na kukuchelewesha mpaka kahawa yako ipoe.
    >
    >
    > Je ni kweli?
    >
    >
    >
    >
    >
    >

    ReplyDelete
  19. Jamaa hakuambilia mateke kweli kabla ya kumpandisha?
    Mdau wa patastororie.blogspot.com

    ReplyDelete
  20. very interesting but also unbelievable. Duh!

    ReplyDelete
  21. Huyu si ng'ombe. Ng'ombe hawezi kuwa intelligent hivi. Angalia vizuri hapo kwenye pedal - ng'ombe ndo anabadilisha gear. Kwa hiyo kazi ya jamaa ni kunyoosha tu usukani.

    ReplyDelete
  22. Hii photo editing ng'mbe wa kitanzania humweki hivyo labda wa kizungu!

    ReplyDelete
  23. Kasheshe ni pale 'mteja' anayewahishwa atakapoamua kupakua samadi!Mie yangu macho.

    ReplyDelete
  24. jamani huyu ni ng'ombe wa kweli au photoshop fulani hivi? tuelimishana jamani kwa wale wanajua.

    Hivi ile kesi ya zeutamu iliishia wapi????

    ReplyDelete
  25. WAPENDWA HAPA NI NJE KIDOGO YA MJI WA MUSOMA TANZANIA, NA HUYO NI NDUGU YETU MARWA AKIPELEKA KITOEO UKWENI; MUSOMA KWELI MANA WAJIBIKA IPASAVYO. HAPA KANDO DADA MTU KWENYE PIKI PIKI ANACHEKELEA SANA, ANAMJUA ALIVYO MTU WA MKWARA MZITO

    ReplyDelete
  26. Hii kali na inapatikana Africa pekee yake

    ReplyDelete
  27. anakwepa TRA huyo maana wanaweza sema hana Invoice original.

    ReplyDelete
  28. HIYO HAIWEZEKANI HATA KIDOGO. HUYO N'GOMBE HAWEZI AKATULIA KIASI CHA KURUHUS DEREVA AENDESHE PIKIPIKI.

    TUMIENI AKILI KIDOGO - AU MPAKA MUAMBIWE NA WORLD BANK KUWA HIYO NI UONGO?

    ReplyDelete
  29. Duh! Jamaaa anambashia huyo ng'ombe, unajua kwa grade za joto ni juu kuliko ya binadamu, Haya jamani vituko kila kukicha,

    ReplyDelete
  30. man + cow = 500KG, tuk tuk inaweza beba hii?

    ReplyDelete
  31. eti mnasema ng'ombe!!?? mbona mimi naona mwanamke kapakiwa mbele kwenye piki piki?! au pc yangu mbovu?! hebu sogeza macho yako karibu kabisa na screen yako kisha uvute hatua saba kwenda nyuma uone..

    ReplyDelete
  32. Hahaha Jamani nimecheka mpaka ushuzi umenitoka. Hiyo ndiyo Afrika du du!!!Ama kweli

    ReplyDelete
  33. nshimimana aka dumisaneSeptember 28, 2009

    Sijui ni nini kinatokea, Labda mtu wa kwenye hii passat atweleze?

    Hapo braza Michu.. Maybe, Maybe NOT. Nitaangalia hapo!?

    = = =
    Buffalo (karibu na shamba la ng'ombe?),
    New York

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...