Kwa masikitiko na majonzi makubwa watanzania tulioko Marekani tumeondokewa na mwenzetu SWALLEHE MSUYA (pichani).

Kifo chake kimetokea mjini Mineapolis katika jimbo la Minnesota. Tunaomba Watanzania tuweze kusaidiana ili kuusafirisha mwili wa marehemu tayari kwa mazishi nyumbani Tanzania.

Marehemu Swallehe Msuya amewahi kuwa mtangazaji wa ITV miaka ya nyuma kabla ya kuhamia Marekani ambako alikuwa akiendelea na shughuli za uandishi wa habari na vitabu.
Asante
Maalim Mrisho
 --------------------------
Taarifa ya vikao.
Kama mnavojua shughuli ndiyo imeshatukuta. Tunawaomba watanzania wote na marafiki wa jumuiya kukusanya nguvu kuwezesha kusafirisha nyumbani mwili wa Marehemu Swalehe Msuya.
Kutakuwa na vikao viwili kwa ajili ya matayarisho.
1. Kikao cha kwanza ni cha kupanga mikakati (strategy meeting)
a. Leo Ijumaa saa 12 usiku nyumbani kwa Charles na Eunice Semakula
b. 503 Shadyside Circle, Hopkins, MN 55343
2. Kikao cha pili ni kwa ajili ya kuchangisha fedha za kusafirisha mwili (Fundraising Meeting)
a. Kesho Jumamosi saa tisa jioni kwenye ukumbi wa shule ya Concordia Academy, Roseville
b. 2400 Dale St N, Roseville MN
· Account maalum ya benki itafunguliwa hivi karibuni.
· Unaweza kuwasiliana na watu wafuatao kwa taarifa zaidi;
1. Charles : 952 465 1130
2. Santos: 612 229 2250
3. Joyce: 612 735 1634
4. Eunice: 651 214 8345
5. Gracious: 763 439 5626
*Unaweza kutoa mchango wako leo au kesho
--------------------------------------------------- 
The Account Number opened for the contributions is as follows:
Name on the account: Charles Semakula
Routing # 091000019
Account# 5893103886
 
All checks should be written to Charles Semakula because that is the name used
to open the account for practical purposes.For those who have accounts with
Wells Fargo Bank they can transfer their contributions online using the name
above.
Please send this to many friends and
all Tanzanians to help for the burial of our brother, the
late Swallehe Msuya.
Thank You

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Marehemu Msuya(62) amefariki baada ya kuuguza kwa muda mrefu Ugonjwa wa Figo,katika kipindi cha uhai wake,Mzee Msuya amewahi kuwa muandishi katika Gazeti la Jumuiya ya Kiafrika jijini Minneapolis,pia ndiye mwandishi wa kitabu kiitwacho "Kitchen Party".Marehemu ameacha Mke,watoto na wajukuu.Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi!

    ReplyDelete
  2. Mungu ailaze pema roho ya marehemu.
    JAMANI KUULIZA SI UJINGA, HUYU BWANA MMESEMA AMEKAA ULAYA MUDA MREFU NA NI MKAZI WA ULAYA, SASA KUKUAA KOTE ULAYA NA KUFANYA KAAZI INA MAANA HAKUWA HATA NA SAVINGS ACCOUNT YA KUMSAIDIA KUSAFIRISHA MWILI WAKE JAMANI??? NA PIA MMESEMA ANAWATOTO NA WAJUKUU SASA HAO KWANI HAWAFANYI KAZI WAWEZE KUMSAIDIA BAB YAO/BABU YAO JAMANI AU NI KWAKUWA NI DESTURI WATANZANIA KUCHANGA BASI MNAONA MUWACHANGISHE WATU?? HAYA MAMBO NI MUHIMU SANA MUWE MNAYAANGALIA KWA UNDANI!! USIKUTE MZEE ANA DOLLA LAKI KADHAA KWENYE SAVINGS ACCOUNT NINYI MMESHUPALIA KUCHANGISHA DOLLA ISHIRINI ISHIRINI NA VIJIDOLLA VITANO VITANO WANDUGU!!! MOLLA AILAZE PEMA PEPONI ROHO YA MAREHEMU.AMEN!

    ReplyDelete
  3. acheni uzushi eti figo,siku nyingi alikuwa ni muathirika watanzania huu uongo mpaka lini,hata mkewe wa kwanza MAMA BARAKA ni yeye ndie aliyemuambukiza na kumtesa juu kiko wapi sasa

    ReplyDelete
  4. eh eh eh tupisheni kule wallahi hatutochanga jitu lilijua linaumwa badala ya kurudi home likang'ang'ania tu kukaa huku sasa migarama ya kusafirisha mwili mnadhani mchezo mtajiju jitu lilshakula chumvi likajidai tu kukaa huku mtajiju wanawafamilia kwa kutomhimiza huyo mrehemu kurudi bongo wakati mlijua fika yu mgonjwa haswaaa wa leo wa kesho vinginevyo angerudi home mapemaaaa!!!!!!!! mzikeni tu huku huku
    mdau usa

    ReplyDelete
  5. kama aliugua mda mrefu kwa nini hamkumrudisha bongo sasa migarama kibao kuuleta mwili huko ndo mtie akili na yeye kwa nini aling'ang'ania huku wakati tayari keshakuwa mzee mijitu mingine bwana kuwapa wenzao stress za michango tuu si angejirudia home mapema tuuuuuuu

    ReplyDelete
  6. ALIYETOA HABARI ZA MSIBA NA MTOA MAONI WAKWANZA INAELEKEA WOTE HAWAMFAHAMU VIZURI MAREHEMU, NINAUHAKIKA UMAARUFU WAKE HAUKUANZIA ITV WALA KUANDIKA KITABU CHA KITCHEN PARTY BALI NI RTD. itv alipita tuu.

    ReplyDelete
  7. wakati muafaka manake mheshimiwa na ujumbe wake wapo marekani.

    ReplyDelete
  8. Ndugu Watanzania tujifunze tabia ya kuvumiliana na kuheshimu waliotutangulia kwenye haki.Haipendezi kuona tunamsakama marehemu kwa maneno ya ajabu.Safari hii ni ya kila mmoja wetu,ni suala la muda tu.Haijalishi Mzee Msuya amefariki kwa ugonjwa gani.Kama una uwezo na unathamini Tangazo hili changia chochote ulichonacho.Tukumbuke tu pamoja na kwamba leo hii hatunaye Mzee Msuya lakini bado kuna watu wanamuona kama Baba,kaka,Mume au rafiki na wapo tayari kufanikisha zoezi zima la kumrudisha marehemu nyumbani.
    Michango inakwenda vizuri na marehemu atarudishwa nyumbani kwa mazishi mwishoni mwa wiki hii.Kama upo tayari toa mchango wako,lakini maneno ya kashfa na dharau nafikiri hapa si mahali pake.
    Mwenyezi Mungu amlaze marehemu mahali pema peponi.

    ReplyDelete
  9. NA NYIE MMEZIDI KUOMBA OMBA ACHENI!!!!!!!!!!KAMA PESA ZA KUMPELEKA TZ HAKUNA KWANINI MSIZIKE HUKO HUKO.

    ReplyDelete
  10. Jamani watanzania wenzangu tukae chini na tuangalie nyuma hatukatai marehemu ameshafariki kama yeye mwenyewe alisema ardhi ni ya mungu alikuwa na maana azikwe popote so hii habari ya kuchangisha watu na hii hali ya uchumi inatoka wapi? people needs to wake up and get life insuarance haya mambo ya kupigiana simu, text yote yatakwisha kwani kila mtu alikuja mwenyewe na tujue tutakavyoondoka huyo mzee hajulikani wala he never been around Tanzanians kwanini leo sisi ndio tuwe realible for him watu mmegeuza misiba mradi wa hela we are tied!

    ReplyDelete
  11. Comments zingine hapa zilinifanya nilie machozi. Mzee wetu amefariki dunia na wote tunaelekea huko huko, bado zamu yako na hujui itakuwa lini! Hebu tuwe na utu jamani wakati wa kucomment hasa kwenye misiba.

    Rest in Eternal Peace Mzee Msuya.

    ReplyDelete
  12. Asante sana tena sana wewe mtoaji comment wa spt 29, at 6:41pm..umeongea mambo ya muhimu sana mwenye masikio shurti kusikia na mwenye akili shurti kuzingatia..yaani sina mengi wewe umefunga kazi hapo..senkiyu veri machi dia...Amen to yu ova there..senkiyu very machiiii.

    ReplyDelete
  13. BAE Systems, a British defence contractor, and fraud investigators go head-to-head

    BAE Systems


    MICHUZI HII NIMEIBAMBA KWA MTANDAO LEO EBU IRUSHE WADAU WAONE HALI YA CHENGE ITAKAVOKUWA MBAYA

    PROSECUTION of BAE Systems, Europe’s biggest defence contractor, for alleged bribery came a step nearer on Thrusday October 1st when Britain's Serious Fraud Office (SFO) said it was referring the case to the country's attorney-general for permission to proceed. The SFO had been pressing BAE for an admission of guilt and a payment believed to be between £500m ($795m) and £1 billion for its dealings with officials in countries thought to include the Czech Republic, Romania, South Africa and Tanzania. The company has co-operated with the SFO but finally refused the deal, judging the figure too high and the case too weak.

    The investigation is the biggest and most contentious in British corporate history. Arms sales are a famously dirty business and allegations that BAE, like some of its rivals, paid kickbacks to get foreign contracts have long swirled. In 2006 a separate investigation into payments to Saudi officials and members of the royal family supposedly in exchange for a large arms contract in the 1980s was shelved by the SFO, on concerns that Saudi Arabia would otherwise cease to help combat terrorism.

    BAE has maintained throughout that it made no irregular payments there or anywhere else, though it admitted last year that it had not always been ethically fastidious. It has, the company says, left itself open to accusations of “poor record-keeping”. That may now cost BAE dear for Britain, accused for years of dragging its feet where corporate bribery is concerned, seems bent on making up for lost time.

    Though Britain signed the OECD convention against bribery in 1997 and passed a law against it in 2001, the first successful prosecution of a British company for the offence of overseas corruption was concluded only on September 25th. Mabey & Johnson, a maker of steel bridges, was fined £6.6m by a London court after admitting to having bribed decision-makers in Jamaica and Ghana between 1993 and 2001. It also owned up to breaking UN sanctions governing Iraq’s “oil-for-food” programme in 2001 and 2002.

    The company, which replaced five of its eight directors last year, reported itself to the SFO in February 2008, hoping for leniency. This is the model that the SFO hopes will prevail as it cracks down on corporate bribery: confession, co-operation and penalties set high enough to punish and deter but not so high as to cripple.

    America’s Department of Justice, meanwhile, has also taken a robust interest in BAE’s overseas affairs. Since 2007 it has been looking into payments to officials in Saudi Arabia and elsewhere. There is no firm evidence that BAE’s American business has yet suffered as a result but the firm appealed last month against the award of a contract for trucks to an American rival. If the investigation goes against it, however, America’s penchant for jumbo penalties could make £1 billion look like peanuts.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...