Home
Unlabelled
cosmopolitan football club enzi hizo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
waliosimama wa pili shoto pompidou, watatu kulia mohamed msuba, pili kulia kitwana douglas, waliokaa wa kwanza shoto mohamed msomali. baadae alikuwa kocha wa mseto morogoro, wa pili mohamed kassim, kipa mfaume, saidi nasoro, jamil ambae alienda uae baadae, samahani mohamed aden mkubwa wa ismail aden bado yuko shuleni tabora. nawakilisha Hussein dodoma
ReplyDeleteJamani samahani nilikuwa nauliza hutu Kocha Mansour Magram yupo wapi? na ana fanya nini?mzima kweli?? samahani kwa kuuliza kwani sipo nyumba takribani 7 years.
ReplyDeleteGilikipa ni Mfaume...tulimaliza naye form six hapo Tabora Boys 1965..sijui leo hii yu wapi?
ReplyDeleteWaliochuchumaa wa kwanza ni Mohamed Msomali huyu mzee alikuwa anaishi Moro aliipandisha Moro United chati kipindi fulani mara ya mwisho nilimuona kwenye mkutano wa mambo ya mpira water front
ReplyDeletecosmo ilikuwa timu yenye 'ukaribu' na wasomali?
ReplyDeleteKwa anony wa 4:36 hapo juu, kocha Magramu alishafariki kitambo sasa. Mungu amuweke pema peponi, Amiin.
ReplyDeleteWandugu,
ReplyDeleteWaliochutama toka kushoto Mohammed Msomali, anafuatia ni Emile Kondo [NA SIO MOHAMMED KASSIMkama alivyotaja Mdau hapo juu!!!]
Aliesimama wa tatu toka kulia, nadhani, ni Msuba. Pia, nadhani Kipa aliechutamawa tatu toka kushoto [baada ya Emile Kondo] ni Mfaume.
Nawakilisha Storming [Mdau wa www.uksokainbongo.blogspot.com
ENZI HIZO NI YOUGN, SUNDERLAND NA COSMOPOLITAN NDO TIMU TANZANIA HAPO KARUME MAMBO YALIKUWA BWIIII
ReplyDeletewaliochuchumaa, watatu kutoka kulia ni Abdulmouty Ajmy.Alikuwa goalkeeper mahiri na mdogo kuliko wote katika team.
ReplyDelete