
DJ Bonny Luv
Kamati ya maandalizi ya Bash la labor day Washington Dc,inasikitika kuwataarifu wadau na mashabiki wa Dj Bonny Luv kuwa kutokana na sababu za kifamilia,ujio wa Dj huyu mahiri umesitishwa mpaka hapo itakapoangazwa tena.
Poleni kwa usumbufu wote utakaotokea.
Ratiba ya Bash ipo pale pale kama
ilivyokua imepangwa.
Karibuni sana kapitali,
asanteni nyote
Mpaka itakapotangazwa tena lini? Kama haji kieleweke mipango ya Bonny imefutwa, semeni haji, period.
ReplyDeleteNa kama mipango imebadilika maana yake ratiba ya bash haipo "pale pale." Watu mmekaa kiwanja miaka kibao na bado kujieleza hamuwezi!
Hivi DC nzima hakuna DJ wa kibongo mpaka kui import Bonny? Kwanza debe lake lilikuwa linazimika zimika OHIO, mmetupunguzia mashuzi, bora haji!
Huo ni uamuzi wa busara. Boni, shughulikia visa kwanza. Hapa marekani kuna viza ya Artists, yaani watu wanao kuja ku-entertain. hupewa kati ya miezi sita mpaka mwaka. haina utata. waambie hapo ubarozini kwamba unakwenda kupiga mziki na waulize jinsi gani unaweza kulipa kodi. hapo watakuona wewe ni mtu muungwana na bora na una manufaa katika nchi yao. Papa wemba na koffi olomide wamenyimwa visa ilikuwa mwaka jana sababu ya mambo kama haya. wanakuja shopping na wanaishia kupiga mziki, ni makosa. hivyo shughulikia visa na hakuna tatizo lolote. Na mimi Onyago sina roho mbaya hata kidogo, nimetoa maoni sababu nina kupenda. Onyago
ReplyDeletehUYU dJ ANA MAPOZI SANA NAKUMBUKA HATA eASTER ILIKUWA AJE AKALETA MAPOZI.
ReplyDeletewe wil miss him..hop nothin bad abt de family...
ReplyDeleteA.K.A KAKOSA VISA
ReplyDeleteD.C PEOPLE GET DENNIS SHENGENA FROM MINNESOTA. HE IS BETTER THAN BONNY LUV, WITH BETTER EQUIPMENTS & IT WILL BE CHEAP FOR HIM TO FRY TO D.C. I LISTEN TO HIM ON BONGO RADIO ONLINE EVERY SATURDAY AND HE IS PRETTY GOOD. HE IS JERRY COTTO, JOE JOHNSON, CHRIS PHABBY, & SAYDOU COMBINE AND MAKE ONE DJ. THINK ABOUT IT!!(For those old enough to remember these old Dar Clubs Dj's) YOU WILL DANCE YOUR BEHIND OFF ALL NIGHT.
ReplyDeleteHapo ndo ninaipendea marekani, ukienda kuomba visa kijinga jinga wanakupiga chini bila kujali weee nani kama mayor wakindoni walivyomfanyia.
ReplyDeleteMillion bili za nauli sio mchezo wewe. Na visa pia
ReplyDeletejamani mshaambiwa ni sababu za kifamilia, hamuelewi? labda mkewe kamnyima ruhusa maana ma-singo ladies marekani wamekuwa very aggressive! wanaweza kukubaka!
ReplyDelete