

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kweli huyu jamaa ni kifaa. Lakini mbona haya yanafanywa na dj peter moe pia ama nakosea?
ReplyDeletetunavyojua sisi,peter moe siku hizi jumamosi anapiga zhong hua ,ni patam balaa!lkn kila mtu na mtazamo wake
ReplyDeleteBonny luv,
ReplyDeleteumekuwa kwenye muziki industry sikunnyingi, na umewafundisha kazi vijana wengi. Sasa chakufanya tengeneza a Dj team yako , alafu tumia redio clouds ku promote hiyo team tunajua kabisa kama mko mzalendo kwahiyo ni full team tunapata full entertaiment hiyo location nzuri sana
Hujakosea mdau, peter moe (mwanafunzi wa bonilove) anapiga zhong hua garden chini ya clouds fm (kwa vijana ma yooo yoo)
ReplyDeleteBonilove anapiga mzalendo pub (kwa watu wazima kama mimi) akishirikiana na ndugu zake venture na mackay na mwanafunzi wake mwingine oscar...etiwanaitwa kilosa academia kwakwakwaaaaaa
anzisha matamasha kama Dj awards! anzisha Dj trainning course etc etc
ReplyDeletehuko bongo mambo yamebadilika aisee,cyo lzm mtu upewe promo na radio flan ndio upate w2,mbona maisha club wanajaza.inategemea una target watu gani...ila hao watu wazima mnaosema sio watokaji wa kila w'end!alafu inatakiwa muhusika uwe na mahusiano mazr na watu wako!pia kiukweli hiyo grooveback tumeicha juu,ni nguvu ya vijana!clouds wana saidia ni m2 wao!kaka pia akubali
ReplyDelete