Vipi kaka michuzi?
Safari hii mdau wa millioni saba wa blog ya jamii anapata nini?
Tuambie bwana, sio ukae kimya tu wakati hii ni blog maarufu sana kama si ya kwanza Tanzania kwa kuwa na wasomaji wengi.
Tujulishe basi.
Mdau J. Steven
---------------------------------------------------------------------
Asante Mdau J. Steven kwa kukumbusha hilo. Ukweli ni kwamba niko kimya sababu hadi dakika hii sijapata sponsa wa Mdau wa Milioni 7, ndio maana sijatia neno kwenye hilo. Akipatikana tu nitatangaza zawadi kw mshindi
-Michuzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. michuzi mtafutia mdau wa million 7 at least the flanazzz ya bwawa la maini.

    ReplyDelete
  2. ili kuonyesha kuwa wana jamii wa blogu ya jamii tunajali..ni KHERI
    kumtuza mdau wa milioni 7,8,9...na kuendelea kwa kuchangishana au kutumia pesa hizo kwa ajili ya kundi lolote la jamii linalohitaji msaada kama wazee wasiojiweza, hospitali,yatima na kadhalika..

    kwa kufanya hivyo tutaonekana tunajali na kulipeperusha libeneke vizuri zaidi.

    kumbukumbu ya matendo hayo yatabaki milele..
    kuliko kutuzana $i$i Kwa S!S!

    ReplyDelete
  3. Michuzi acha kasumba ya kusubiri Sponsors. Mbona kila kukicha naona matangazo kwenye blog yako, huo mchuzi/mkwanja unaolipwa kwa kuweka matangazo hayo inabidi tugawane kidogo kidogo na wadau, hiyo ndiyo dhana ya kugawana umasikini. Yaani wewe unataka mkwanja wote uwe unaishia kwako tu? Kwanza jina lenyewe ni michuzi, kwa hiyo una fweza nyingi sana. This time jaribu kutoa zawadi wewe mwenyewe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...