Siebel Systems CEO Tom Siebel at his office in San Mateo

Tech mogul injured by elephant in Serengeti

Today he's home in Woodside, recuperating from serious injuries. A little more than a month ago, Silicon Valley billionaire Tom Siebel was in the Serengeti, where a charging elephant attacked him and a guide.

"It was all happening so fast. There was no place to hide, no place to run," the 56-year-old Siebel, founder of the Siebel Systems software company, told the Mercury News in an exclusive interview Wednesday.

The elephant plowed into the guide and then turned on Siebel, breaking several ribs, goring him in the left leg and crushing the right. Siebel said they were able to radio for help only after the animal lost interest and wandered away, but it was three hours before he received any medical treatment.

Siebel sold his business to Oracle four years ago and now divides his time between his Woodside home, an office in Palo Alto and a ranch in Montana, where he raises cattle and competes in team roping events. He said he was on a photo safari in Tanzania last month when the elephant attacked without warning.

Early on the morning of Aug. 1, Siebel said, he and a guide went to a watering hole, where they hoped to observe a variety of game that were known to gather in the quiet early morning hours. They were watching a group of elephants from 200 yards away — "keeping a respectful distance," Siebel said — when one turned and without warning began to charge.
For source and more on the story

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. h ahah ahah hahaha! Tatizo Tembo hawapendi ile flash ya camera. Flash ndio iliowamfanya huyo tembo ashikwe na hasira. Huwa wageni wengi wanatahadharishwa kutopiga picha Tembo.

    ReplyDelete
  2. Huyu jamaa alifikiri ni tembo wa India nini? Oooh SERENGETI it is on the headlines again!

    ReplyDelete
  3. safi sana tembo wetu hongereni. next time kill'em fuckers!! Abromovich yupo huko so once he steps on your reach please don't hesitate launch a thunderous attach tembo

    ReplyDelete
  4. Michuzi hii habari imepostiwa nusu nusu, ni bora ikapostiwa kamili ili wasomaji wapate habari iliyokuwa kamili. Imekuwa desturi ya hawa watalii especially wenye uwezo zaidi kuwa wabishi na kutowasikilia guides, uwapo mbugani kuna sheria zake na guides wanazijua zote, mfano ukikutana na tembo usiku, unazima gari na taa zote, tembo watanusa nusa tu na kuondoka ukiwa mbishi lazima wakufanyizie kwani uko kwenye anga zao. Watalii wabishi wengi wasiosikiliza maelekezo ndio yanawakuta kama yaliyomkuta tajiri huyo, ukifuatilia habari hii zaidi uaona kuwa guide wake alirusha mpaka risasi na akamkosa tembo alie chaji, washukuru Mungu alikuwa mmoja, wangekuwa wengi wasingetoka salama. Mfano wa watalii wabishi ni mmoja alikuja Nairobi kwa ndege yake na akawa anataka kuja kuangalia mbuga za Tanzania, akashauriwa na wakenya kuwa akodishe rubani mzalendo (mkenya) kwa sababu ya uzoefu wa kuendesha ndege milimani akakataa (nafikiri ni kwa kuwadharau waafrika) rubani wake aliirusha ndege yake na bahati mbaya siku hiyo ilikuwa ya mawingu mengi akaishia mlima Kenya akagonga na wakafa wote. Wa namna hii wanatakiwa waelimishwe wasiwe wabishi.

    ReplyDelete
  5. Angalau kwenye hii article wamesema Serengeti huko Tanzania, Maanake nimeisoma hii link kujua kwamba wamesema Serengeti ipo wapi? Hawa Watani wetu wa jadi walie tuu. Maana hawa Abramovich yupo TZ

    ReplyDelete
  6. very good public stant, kudo to our tembos. they should do more of this to publicise our serengeti. please tembos advices simba to do the same. To our beloved tourists, we have real wild animals in Tanzania, not alikes of India and Kenya, they are not toys or stuffed imitatants; welcome to our national parks, take picture at your own risk!
    dogo

    ReplyDelete
  7. mimi nafikiri watu wetu wa bugani lazima wawe na ufahamu na tabia za wanyama,na wawaeklimishe wageni wao umuhimu wa kuwa na tahadhari kuepusha ajali za kipumbavu kama hizo,mimi naamini mnyama pori anaweza kubadilika muda wowote kwa hiyo unapoenda kuwaangalia kaa mbali au utumie gari,etc sio kwenda kumshika pembe nyati,nafikiri watu wetu wawe smart zaidi bila hivyo hizi ajali zitafanya wa tanzania tuonekane sio makini kwenye utalii na watalii hawatakuja ,kweli sikio lakufa halisikii dawa

    ReplyDelete
  8. it was only three hours before they receive medical treatment,bongo tambarare,ndio maana wakenya wanadai serengeti na kilimanjaro ni zaosababu hata hospital hatuna mpaka nairobi.

    ReplyDelete
  9. watu wengine na theory zao eti tembo hawapendi flash nani kakudanganya hivyo.
    Tembo wakiwa kwenye must ndo wanakuwa hatari au kama wana memory za majangili au usumbufu kutoka kwa binadamu ndio wanakuwa na hasira pindi wanapoona binadamu, na sababu nyingine ni kuwa tembo wanaoingia kwenye sexual maturity nao wanapenda kuattack wenzao au hata wanyama wa aina nyingine.
    Then sababu nyingine ni kama jamaa radio yake ilikuwa na mawasiliano halafu wakati huohuo tembo huyo nae alikuwa kwenye mawasiliano na tembo mwingine yale mawimbi ya radio yanamsumbua na hawapendi kabisa.
    Mdau kama wewe ni guide omba mchango uende mweka

    ReplyDelete
  10. ametangza utalii wetu, safi.

    ReplyDelete
  11. Mie inabidi nishindwe kushangaa kama kweli huyo Tembo alikasirishwa na flash ya Kamera kama anony wa hapo juu anavyoconclude,ina maana huyo guide aliyekuwa na mzungu hajui athari ya flash ya kamera na kumtahadharisha mzungu kabla? nadhani huo ndio wajibu wake na ukizingatia madhara yake ni kwake na mzungu pia. Kutokana na mtazamo huo bado siamini kama sababu ni flash,na hasa ukizingatia maelezo kuwa uongozi wa mamlaka bado unafanya uchunguzi kujua sababu iliyomkasirisha huyo Tembo!

    ReplyDelete
  12. Hawa wazungu wanafikiria tembo na simba ni kama pet unaweza tu mchezea. Ukiwaona kwenye animal channel wanavyofanya then unajua haya ni matatizo ya kujitakia.

    ReplyDelete
  13. huyu tembo lazima alikuwa kwenye heat kakosa demu mihasira yake kaimalizia kwa mtasha bahati yako angekutengua kiuno hizi enyimba huwa zikipandisha munkari ni balaa miti inajua hilo
    miss michu

    ReplyDelete
  14. NOTE: sababu nyingine ni kama jamaa radio yake ilikuwa na mawasiliano halafu wakati huohuo tembo huyo nae alikuwa kwenye mawasiliano na tembo mwingine yale mawimbi ya radio yanamsumbua na hawapendi kabisa.

    -Ukituthibitishia Kwa Kutolea Ufafanuzi Zaidi Basi Utakua Umetupa ELIMU Ya Kutosha, Na Haina Ubishi Mimi Nitakua nimejifunza Kitu!

    ReplyDelete
  15. Ugua pole mfadhili wetu wa ICT village Dodoma. Pona haraka na naomba usiishitaki kampuni ya tours iliyohatarisha maisha yako kwa kukosa professionism

    ReplyDelete
  16. Anonymous Fri Sep 04, 09:36:00 AM umeniua mbavu
    U ar such a good comedian
    Keep it up

    ReplyDelete
  17. Nimechelewa kutoa maoni,ila inashangaza sana kusikia watu wanaandika porojo bila kujua tukio lilivyotokea,sio rahisi hata kidogo kwa mtu anaekaa mjini kujua tabia za wanyama,kwani tabia ya mnyama inaweza kubadilka wakati wowote kwa namna usivyotarajia,kwani ni watu wangapi wamepigwa na ng'ombe wao wanowafuga hawasemi?Kwa hiyo ndugu chunga sana mdomo wako na fikiri kabla haujandika maoni yako.Muhimu kwa wageni wetu na pia kwa Guides kuwa makini sana na tabia hizi za wanyama ambazo hubadilika mara kwa mara kulingana na mazingira.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...