


Rajabu Furaji na Bwana Hareen Wasantha, Mkurugenzi na ni Kocha wake.

Mh. Balozi, wenyeji wake, baba mzazi, Kocha na Maofisa wa Ubalozi
Mandy Juma Rajabu Furaji ni kijana mdogo wa Kitanzania aliyebahatika kupata ufadhili wa kuhudhuria chuo maalum cha kufundishia mchezo wa Tennis kiitwacho Tennis Avenue Academy hapa nchini Uingereza.
Kijana Mandy akiongozana na baba yake Bwana Juma Rajabu Furaji na wenyeji wao hapa Uingereza, Bwana na Bibi Mansela, walipata nafasi ya kutembelea Ofisi za Ubalozi wa Tanzania hapa nchini Uingereza, na kupokewa na Mheshimiwa Balozi, Mwanaidi Senare Maajar, pamoja na maofisa wengine wa Ubalozini hapo.
Baada ya kufanyiwa majaribio kadhaa na Walimu na Wataalamu wa Chuo hiko wamefurahishwa na wameridhia na kipaji, kiwango na umakini wa kijana Mandy na kumzawadia Scholarship {Ufadhili} kwa Umahili wake alionao kwenye mchezo huo maarufu wa Tennis.
Ikumbukwe kuwa mchezo huo wa Tennis ni aghari sana nchini Uingereza na kwenye nchi zilizoendelea.
Mandy ataendelea na mafunzo yake ya Tennis chini ya Kocha wake na ambaye ni Mkurugenzi wa chuo hiko cha Tennis Avenue Academy kilichopo maeneo ya New Malden Surrey Bwana Hareen Wasantha.
Congratulations my little cousin,and well done my brother for raising such a talent,beautiful gal!!very proud of Mandy.Auntie Bello.xx
ReplyDeleteCaro unazidi kuwa mzuri
ReplyDeleteHAHAHA.. I CAN SEE MY BRODA ZULLU MANSELLA THERE AND WIFEY.. HONGERENI SANA.. KEEP IT UP
ReplyDeleteMandy, Amanda?
ReplyDeleteKumsaidia/kumuombea mwanao/yeyote yule mafanikio ktk maisha ya dunia ni jambo muhimu lakini la muhimu zaidi ni kufanikiwa kesho ahera (kwa wenye imani ya dini).
ReplyDeleteHuyu mtoto anapelekwa Ulaya kujifunza mchezo wa tennis ambao huenda ndio ukaja kuwa chanzo cha kipato ktk maisha yake siku za usoni panapo majaaliwa ya Allah kitu ambayo si kibaya lakini wazazi/walezi wengi siku hizi hawaweki uzito unaostahili kumuandaa mtoto kwa maisha ya kesho ahera (kuijua dini yake na kuifuata kwa vitendo kwani IMANI BILA MATENDO NI BURE!!!)
Hakuna atakayetimiza matendo ya IMANI YAKE bila mafundisho sasa kwa huyu mtoto sijui hilo limezingatiwa kwamba akiwa huko atasoma vyote (michezo na dini) au tunaogopa hata kuulizia ili asije kukoso "bahati" kama ambavyo wengi wanaamini au elimu ya dini yake haikupewa uzito unaostahili kama ilivyozooeleka na wengi siku hizi.
Wazazi/walezi wake wanawajibika na hili hata kama hawatalipa uzito unaostahili kwa sababu kila mmoja wetu ni mchunga na kesho ahera ataulizwa juu ya vile alivyovichunga!!
Nawapa heko mliomsaidia dogo kuonyesha kipaji chake, tena basi bila wafadhili wala wawekezaji. Vyama vya michezo mingine igeni hivyo.
ReplyDeletekaka JUMA usiache kufunga huko kwani sherehe naona nyingi zinaendelea vumilia urudi tule IDDY huku twakusubiri
ReplyDeleteI saw this gal on EATV last week, she's brilliant mashallah!!!Shes so young yet so talented and she knew what she was talking about!!I dont know her but am really PROUD of her and Her Dad--baba umefanya kazi nzuri sana...she wouldnt be where she is witout ur efforts!!!
ReplyDeleteAll the Best!!
Afrocentric
kumamako michuzi mbona unabania msg na unajifanya blog ya jamii? msenge mkubwa.
ReplyDeleteSasa ina maana huyo mtoto shule ya masomo ya akademiks ndio basi tena? Au atakuwa anasoma tenis huku akisoma na akademiks pia?
ReplyDeleteVinginevyo kama mmemkatisha masomo huko ni kumharibia fyucha yake ya baadae
safi sana baby!!
ReplyDeleteutafika mbali my young sister kwa vile kipaji unacho Mungu yu pamoja na ww pamoja na juhudi zako.
hongera sana Mungu atakupa zaidi.
Dogo-this is getting damn real...Big up to Mandi and appreciate your dedication to ensure delivery.
ReplyDeleteMdau uliyesema kuhusu madrassa ziko nyingi sana huku uingereza kuliko Tz. UK ina misikiti karibu elfu mbili.
ReplyDeletebaadhi ya madrasa na muslim primary school www.noorulislam.co.uk
www.idci.co.uk
www.islamchannel.tv kuna vipindi vingivya dini ya kiislam.
www.muslimdirectory.co.uk hapo utapata information zote na kila mji kuna msikiti gani.
LONDON MUSLIM CENTRE www.eastlondonmosque.org.uk
kuna shule za kiislam zaidi ya 140.
hongera mandy Mungu atakusaidia sana maana pia wewe unabidii n very tlented utafika mbalii....keep it up....
ReplyDeleteur daddy is very proud of u so make so usimuangushee.......aminia
WEWE ANON WA Fri Sep 04, 10:12:00 AM...MITUSI MIZITO MIZITO NAMNA HIYO NI YA NINI HUMU NDANI, MBONA HUNA HESHIMA WEWE? WATU WAPO KATIKA MFUNGO, MATUSI HUKO HUKO KWENU.
ReplyDeleteASHKMATIT
Michuzi pia nakulaani naona una watu wako. Labda nikuulize ni utaratibu gani unatumika kupost message? I can feel the pain of the brother up there.
ReplyDeleteThis is for Academshan Mandy will continue to go to school as usualy and attend the tennis academic as well so she doingf exactly wot she was doing before which is going to IST and train.lucky gal.luv u.auntie.B
ReplyDelete- wadau mlozungumzia kuhusu imani ya msichana, big up!..fyi, huyo msichana is a well balanced individual, which includes her spiritual orientation..zaidi ya kutoa maoni yenu (kitu ambacho ni rahisi kufanya), muombeeni kwa dhati mafanikio juu ya yale yalompeleka ughaibuni, pamoja na kuendelea na moyo huo wa kujitambua ili imani yake isitetereke sababu majaribu yatakua mengi sana aliko na katika mchezo anaoufatilia (mwaweza linganisha na Sania Mirza wa India)
ReplyDeleteRe: Anony wa 4 Sept 07:36 Unajua acha waosha vinywa wamfanyie Michuzi, yeye anafanya global ya kwake peke yake lakini ni yeye huyohuyo anaisema ni ya jamii. Mtu unajipinda kuchangia halafu Michuzi anabania sasa nini hiyo? Ila hukumu ilizidi kosa mitusi ilikuwa mizito inaonyesha mdau alikuwa amechukia sana.
ReplyDelete