Kaka michuzi pole na majukum ya kila siku zaidi katika kutuhabarisha mambo mapyaswali langu ni kutaka kujua mheshimiwa nanii alipotangazia taifa ifikapo october mabasi yote au magari yote ya abiria yawe na mikanda kwenye siti alikuwa anamaanisha kweli au alikuwa anatania maana mpaka sekunde hii ambayo ni week ya nenda kwa usalamanaona ma vehicle inspector wanakagua na kuruhusu magari ya abiria ambayo hayajafunagamikanda kwenye siti Tatizo naona viongozi wanakuwa wakali pale linapotokea tatizo tuu je hivi tutafika???
Mdau(abiria)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. We mdau mbona una kihere here, si ungoje hiyo october ifike...ndo kwanza tupo 28 sept we ushakuja juu kama moto wa kifuu!

    ReplyDelete
  2. TANZANIA ZAIDI UIJUAVYO!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...