Kaka!Habari za mishughuliko?

Naomba 'kushea' haka kataswira, wenzetu MALIWATO YA UMMA ni bure na hasa ukizingatia kuwa uko SITE SENTA halafu huna kitu au una ATM kadi tu. yaani kodi inafanya nini jamanii.

Nawasilisha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. kama jibu huna, ni kwamba KODI ZETU ZINALIWA NA THE SO CALLED MAFISADI......... HALI NI MBAYA..HATA KODI NYINGINE TUNAZOLIPA HUWA HAZIFIKI KWENYE MAMLAKA INAYOHUSIKA JAMANI. IMAGINE JUZI JUZI TU HAPA $77MIL ZA TTCL ZIMELAMBWA, NA TZS 9MILL ZA CONSOLIDATED HOLDING ZIMETOWEKA, JE TUSIOWAJUA?.......NI WENGI MNO...........'INAUMA'ZOTE HIZI ZINGETOSHA KUNUNUA MABASI YA WANAFUNZI NA KUJENGA VYOO VYA UMMA KWENYE MIJI MIKUU YOTE........INAUMA SANA!!!!

    ReplyDelete
  2. pesa tunolipia tz,ni kwa ajili ya kukeep those toılets clean.
    ikiwa bure nani atajitolea kusafisha?

    msafishaji anahitaji hela kesurvive
    buddy,msiwe mnalaumu tu kwa kila kitu.kuna nchi tele public toilets is not free,sio tz tu

    ReplyDelete
  3. UNASHANGAA HILO??? HUKU KWETU KINONDONI TUMEAMBIWA TUWE TUNALIPIA GARI YA TAKA SH: TSH.2000/= KILA MWEZI ILA CHAAJABU GARI HILO HALIPITI MPAKA MWISHO WA MWEZI MWINGINE.....HIVI KWELI ULIPIE TAKA KWA SH. 2000/= KWA TAKA MFUKO 1 KILA MWISHO WA MWEZI???? KAMA SIO UFISADI NININI JAMANI??? HII NCHI LABDA TUMUITE BILL GATES AJE ATUONGOZE MIAKA 10 TU TUMLIPE PESA ZOZOTE ANAZOTAKA THEN UTAONA MAMBO YATABADILIKA LAKINI SISI KWA SISI.....WIZI MTUPU

    ReplyDelete
  4. NA BILIONI 4.9 MISHAHARA YA WAFANYAKAZI HEWA SEKTA YA AFYA KATI YA 2005 NA 2009. HIYO NI SEKTA MOJA TU ..... WABONGO KWELI TU VICHWA VYA MBUZI!!!!

    ReplyDelete
  5. jamani!!! nalo hili la mishahara hewa lauma!!! Watendaji wako wapi jamani? ina maana hakuna professionals huko mawizarani! Bwana naona tuwe tunawajibisha watu publically kuwatoa nishai na kama onyo kwa watendaji wengine.
    Kuhusu magari ya taka....magari yenyewe ni TAKA tosha, kwani likija kuzoa na kumwaga vilevile linamwaga njiani bila kujali, sasa inauma hiyo buku 2 unatoa ya nini?
    Kuhusu nani atawalipa wahudumu wa vyoo, wanatakiwa kulipwa na manispaa husika ambazo huwa zinakusanya kodi kibao kwetu.
    tunahitaji private management ya the whole nation si mchezo.

    ReplyDelete
  6. Jamani hili neno "maliwato" limetoka wapi? Najua unataka kusema choo. Lakini pia ni muhimu kunukuu kuwa katika lugha fulani inayohusishwa sana na kiswahili, neno "liwati" linamaana isiyopendeza kwa wenye heshima zao.

    ReplyDelete
  7. HAPA NI KUTWANGA MAJI KWENYE KINU,USHAURI MNAOUTOA HAUFIKI KOKOTE. JK YUPO USA ANAKULA KUKU.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...